Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,741
- 861,140
Mtaji kiuno na jembe [emoji23]Katibu huko uliko usijali mtoto atamlea vizuri boss wako.tunajua kabisa wanaume ambao juma dede hafanyi kazi kiviile hawanaga wivu. Atamlea tu.

Masanja jisandu lukelesha
Hii show mbona ndogo sana. Sisi Wachagga mtoto akizaliwa ndani ya nyumba yako huyo ni wako, hata akizaliwa Mchina.
Manushi ChiniWewe mchaga wa wapi broo!tuanzie hapo kwanza
App la Mange limenizingua kinoma shost....mke wa katibu anasemaje kwaniKuna mtu kafa lakin Ndio maana yanatokea haya yote na mke wa Katibu kafunguka kdigoo anasema akiwa salama ataongea yote
Ni ushamba wake Masanja kwa kukubali kuweka picha za familia mtandaoni. Kwa ufupi don’t expose your family kwa mitandaoNInashare nanyi ujumbe nilioukuta kwenye Whatsapp Group
View attachment 2385474
Hizi picha zimesambaa sana mitandaoni these few days.
Mtanisamehe kama ninawakwaza kwa kuiweka hiyo. Lakini nina lengo la kuijadili kidogo.
Huyu Mch. Masanja anapitia wakati mgumu sana kipindi hiki kutokana na mtiririko wa matukio yaliyomtokea na hasa kadhia iliyojiri baada ya kifo cha Katibu wa Kanisa lake. Yamesemwa mengi na yeye ameongea mengi pia.
Kuna jambo ambalo naona jamii haijastukia nalo ni kutumika kwenye vita baina ya Masanja na wanaopambana naye.
Kuna jambo linalazimishwa ambapo ikifikia hatua watu kuitaka polisi ichukue hatua ya kumhoji Masanja na Mkewe kuhusu kifo kile. Hata baada ya ufafanuzi wa polisi kuhusiana na uchunguzi wa awali, lakini bado watu hao wenye malengo hasi wamehamia kwenye kuisambaratisha familia.
Inaonekana lengo kubwa ni kuhakikisha familia ya huyu mtumishi isiwe na utulivu hata wa kutafakari na kujirejeleza baada ya matukio haya waliyopitia.
PICHA
Hizi picha zinasambazwa kwa lengo mahsusi kumchafua ama kudhalilisha mwanamke na hata kumshambulia marehemu. Sisi leo tunajipa uhalali wa kuhukumu wakati tunajua kabisa kwa usahihi hatuna wema ama usafi wowote kiroho, kimawazo hata kitabia. Picha za mtoto zinasambazwa kama silaha ya kuhukumu na hata watetezi wa watoto wamekaa kimya.
Je lengo la wasambazaji ni kutaka mtoto adhuriwe? Inawezekana Masanja asifanye lolote kumdhuru mtoto. Je vipi kuhusu ndugu na washabiki wake? Je vipi ikiwa lengo la wanaosambaza hizi picha ni maandalizi ya kisaikolojia kwamba wamdhuru mtoto ili jumba bovu limuangukie Masanja?
Tujifunze kuwa na kiasi. Tuishi kwa kudumisha mila na desturi nzuri kwamba kumsema marehemu ni sasa na kumkaripia mtoto ambaye hajazaliwa bado. Tumsitiri huyu malaika wa Mungu kwani hapo baadaye akijakuwa mtu mzima na kukutana na stories zilizomchafua akiwa bado hajitambui anaweza kugeuka animal au akaathirika kisaikolojia.
Simtetei Masanja kwani hata mimi hapo mwanzo nilipeperushwa na upepo wa hawa wanaomchafua lakini nilipoona amezengumza neno la msamaha nikaanza kujenga picha namna jamii inavyoweza kujiponya kwa eneo la kusamehe na kuachilia. Msimkoseshe amani mke wake kwa sababu ya malengo maovu ya wanaomchafua.
Msimdhuru mtoto kwa kuharibu uwepo wake kupitia keyboards zetu.
Mungu wa Mbinguni awajaze hekima na awape kutafakari kisha kutenda yaliyo sahihi.
Atusamehe makosa yetu na kuponya magonjwa yetu
Atusamehe makosa yetu kama tunavyowasamehe waliotukosea
Wajaluo mtu alizaa na mke wako unampongeza kakusaidia ni kitu Cha kawaida na mtoto anakuwa wa nyumba aliozaliwaMasanja jisandu lukelesha
Hii show mbona ndogo sana. Sisi Wachagga mtoto akizaliwa ndani ya nyumba yako huyo ni wako, hata akizaliwa Mchina.
NInashare nanyi ujumbe nilioukuta kwenye Whatsapp Group
View attachment 2385474
Hizi picha zimesambaa sana mitandaoni these few days.
Mtanisamehe kama ninawakwaza kwa kuiweka hiyo. Lakini nina lengo la kuijadili kidogo.
Huyu Mch. Masanja anapitia wakati mgumu sana kipindi hiki kutokana na mtiririko wa matukio yaliyomtokea na hasa kadhia iliyojiri baada ya kifo cha Katibu wa Kanisa lake. Yamesemwa mengi na yeye ameongea mengi pia.
Kuna jambo ambalo naona jamii haijastukia nalo ni kutumika kwenye vita baina ya Masanja na wanaopambana naye.
Kuna jambo linalazimishwa ambapo ikifikia hatua watu kuitaka polisi ichukue hatua ya kumhoji Masanja na Mkewe kuhusu kifo kile. Hata baada ya ufafanuzi wa polisi kuhusiana na uchunguzi wa awali, lakini bado watu hao wenye malengo hasi wamehamia kwenye kuisambaratisha familia.
Inaonekana lengo kubwa ni kuhakikisha familia ya huyu mtumishi isiwe na utulivu hata wa kutafakari na kujirejeleza baada ya matukio haya waliyopitia.
PICHA
Hizi picha zinasambazwa kwa lengo mahsusi kumchafua ama kudhalilisha mwanamke na hata kumshambulia marehemu. Sisi leo tunajipa uhalali wa kuhukumu wakati tunajua kabisa kwa usahihi hatuna wema ama usafi wowote kiroho, kimawazo hata kitabia. Picha za mtoto zinasambazwa kama silaha ya kuhukumu na hata watetezi wa watoto wamekaa kimya.
Je lengo la wasambazaji ni kutaka mtoto adhuriwe? Inawezekana Masanja asifanye lolote kumdhuru mtoto. Je vipi kuhusu ndugu na washabiki wake? Je vipi ikiwa lengo la wanaosambaza hizi picha ni maandalizi ya kisaikolojia kwamba wamdhuru mtoto ili jumba bovu limuangukie Masanja?
Tujifunze kuwa na kiasi. Tuishi kwa kudumisha mila na desturi nzuri kwamba kumsema marehemu ni sasa na kumkaripia mtoto ambaye hajazaliwa bado. Tumsitiri huyu malaika wa Mungu kwani hapo baadaye akijakuwa mtu mzima na kukutana na stories zilizomchafua akiwa bado hajitambui anaweza kugeuka animal au akaathirika kisaikolojia.
Simtetei Masanja kwani hata mimi hapo mwanzo nilipeperushwa na upepo wa hawa wanaomchafua lakini nilipoona amezengumza neno la msamaha nikaanza kujenga picha namna jamii inavyoweza kujiponya kwa eneo la kusamehe na kuachilia. Msimkoseshe amani mke wake kwa sababu ya malengo maovu ya wanaomchafua.
Msimdhuru mtoto kwa kuharibu uwepo wake kupitia keyboards zetu.
Mungu wa Mbinguni awajaze hekima na awape kutafakari kisha kutenda yaliyo sahihi.
Atusamehe makosa yetu na kuponya magonjwa yetu
Atusamehe makosa yetu kama tunavyowasamehe waliotukosea
Wakafanye DNA kuondoa utata.duuWENGI HUKU MAJUMBANI TUNA WATOTO AMBAO HATA KUTEMBEA NAYE AU KUMTAMBULISHA UNAOGOPA! MAANA UNAKUWA HUNA MFANANO NAE KABISA.
-:Wanawake hata umfanyie nini hawajulikani hawa viumbe!
Hivi yule mwanamke alie mzalia mtoto wa kwanza vingunguti kipindi ana hustle alikuja kumjali baada ya kutoboa?..Na huu ndio ulipo ubora wa familia za wachagga.
Mtoto ameshaxaliwa mkuzeni, muhudumieni...
Mambo hii mbegu ya huyu na yule yaacheni.
HATA HIVYO WADADA WA MJINI TUNAMSHUKURU MUNGU MASANJA KATUCHEZEA SANA....
Mamammae hivi masanja anajikuta nani?? Eti USA fyongo fyongo...ngoja hiyo damu imuibukie[emoji57][emoji57]Kasema ni kweli katibu na monica walikuwa na mahusiano na alishwah kukuta ujumbe wa karatasi kaandikiwa katibu,na siku wameenda honeymoon Dubai monica alimpigia simu mke wa katibu analia kwanin wameenda hawjaampa taarifa,na anasema mmewe alikuwa muoga sana haamin kama kajinyonga na kwa sababu gani ajiue?mengine ni anahofia usalama wake kuna watu wanatumwa kujua alipo na hawajui anaogopa sana ana mpango wa kusafiri nje ataongea kila kitu na kuweka wazi
Kumchangia nini?Na watu wapo tayari kumchangia aseme kila kitu
Eeh ndiwooo wana Siri kubwa sana ...free free everythingNa hako kamwanamke kake katakuwa kanajua ishu zake hivyo hana jeuri ya kumuacha.
Hakumjali ndomaana mabalaa kama haya yanawakuta.Hivi yule mwanamke alie mzalia mtoto wa kwanza vingunguti kipindi ana hustle alikuja kumjali baada ya kutoboa?..
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Khaaaaa[emoji849][emoji849]Katibu alipaswa kufahamu mke wa mtu ni sumu, kuua ni kosa kisheria lkn kwa hili la masanja, familia ya katibu na vyombo vya sheria wanakuwa wazito kumpambania katibu make ni kama kifo alikitafuta kwa kujitakia, pengine wa kushikilia bango kumtia hatiani comedian, wanajaribu kuvaa viatu vya masanja na kupima uzito, automatically nao jibu linakuja hata wao wangepata chance ya kumuua anayetomba mkewe wangefanya hivyo,kwa scenario hiyo that why hakuna anayekipa uzito kifo cha katibu.
Ni ulimbukeni wake tu mkuu....ndiyo sababu tunamshauri ajifunze kunyamaza. maana ukiona chako ni kizuri sana, kuna mwingine ana kizuri kuliko chakoHuyo mkewe mwenyewe namuona wa kawaida tu tofauti na anavyosifiwa.
Mama wa mtoto atajiuwa.Mkimchekea ataua na mtoto
KabisaMengine yatajidhihiri
Imagine[emoji848]Huyo mkewe mwenyewe namuona wa kawaida tu tofauti na anavyosifiwa.