Anachofanyiwa Masanja ni kinyume na utu

Anachofanyiwa Masanja ni kinyume na utu

Shida ni moja
Kuna aliekufa alafu ni kama huyo mchungaji hajali,aliekufa nae ameacha mjane!Mjane na aliekufa wote wana familia zao na marafiki zao kama wanaona mauzauza unadhani hao wote watanyamaza?
Usisahau wameondokewa na mpendwa
 
Masanja jisandu lukelesha
Hii show mbona ndogo sana. Sisi Wachagga mtoto akizaliwa ndani ya nyumba yako huyo ni wako, hata akizaliwa Mchina.
Na huu ndio ulipo ubora wa familia za wachagga.
Mtoto ameshaxaliwa mkuzeni, muhudumieni...
Mambo hii mbegu ya huyu na yule yaacheni.

HATA HIVYO WADADA WA MJINI TUNAMSHUKURU MUNGU MASANJA KATUCHEZEA SANA....
 
Na wewe kakuonja? Jamani mbona inakuwa kama anayenyimwa ni mimi tu? Au na mimi nijichetue?
 
Nakubaliana nawe
Hili jambo lina mashambulizi sehemu tatu, upande wa katibu na famili yake, upande wa huduma ya Masanja ( feel free), na upande wa Masanja na Mkewe ( familia nzima), katika mazingira haya lazima Masanja alitakiwa ajue huduma au chochote huanzia ndani ( familia yake), na mambo ya ndani ya familia huwa ni siri sio ya kuzungumza nje, then angeenda next step kwenye huduma yake, then familia ya katibu na mwisho kabisa ndio ingekuja public na sio lazima
 
Polisi wameshasema wanaendelea nanuchunguzi.

Kama una nia njema peleka clues polisi waweze kufanyiakazi. Kujimwambafy mitandaoni ni dalili mnapikapika taarifa
Mbona kupitia mitandao hii Serikali ime unda tume kuchunguza kufeli kwa wanafunzi wa sheria, Law School of Tanzania -LST?
Kupitia mitandao hii hii tuna taka simu ya Katibu, simu ya mke wa Masanja na ya Masanja zichunguzwe mawasiliano yao miezi 6 nyuma. Siyo huo utumbo wa Muliro utadhani kafumaniwa....ana kurupuka with no Evidence. Ana ropoka tu. Anadhani tupo karne ya 12 eti?
 
NInashare nanyi ujumbe nilioukuta kwenye Whatsapp Group
View attachment 2385474

Hizi picha zimesambaa sana mitandaoni these few days.

Mtanisamehe kama ninawakwaza kwa kuiweka hiyo. Lakini nina lengo la kuijadili kidogo.

Huyu Mch. Masanja anapitia wakati mgumu sana kipindi hiki kutokana na mtiririko wa matukio yaliyomtokea na hasa kadhia iliyojiri baada ya kifo cha Katibu wa Kanisa lake. Yamesemwa mengi na yeye ameongea mengi pia.
Kuna jambo ambalo naona jamii haijastukia nalo ni kutumika kwenye vita baina ya Masanja na wanaopambana naye.

Kuna jambo linalazimishwa ambapo ikifikia hatua watu kuitaka polisi ichukue hatua ya kumhoji Masanja na Mkewe kuhusu kifo kile. Hata baada ya ufafanuzi wa polisi kuhusiana na uchunguzi wa awali, lakini bado watu hao wenye malengo hasi wamehamia kwenye kuisambaratisha familia.

Inaonekana lengo kubwa ni kuhakikisha familia ya huyu mtumishi isiwe na utulivu hata wa kutafakari na kujirejeleza baada ya matukio haya waliyopitia.

PICHA
Hizi picha zinasambazwa kwa lengo mahsusi kumchafua ama kudhalilisha mwanamke na hata kumshambulia marehemu. Sisi leo tunajipa uhalali wa kuhukumu wakati tunajua kabisa kwa usahihi hatuna wema ama usafi wowote kiroho, kimawazo hata kitabia. Picha za mtoto zinasambazwa kama silaha ya kuhukumu na hata watetezi wa watoto wamekaa kimya.

Je lengo la wasambazaji ni kutaka mtoto adhuriwe? Inawezekana Masanja asifanye lolote kumdhuru mtoto. Je vipi kuhusu ndugu na washabiki wake? Je vipi ikiwa lengo la wanaosambaza hizi picha ni maandalizi ya kisaikolojia kwamba wamdhuru mtoto ili jumba bovu limuangukie Masanja?

Tujifunze kuwa na kiasi. Tuishi kwa kudumisha mila na desturi nzuri kwamba kumsema marehemu ni sasa na kumkaripia mtoto ambaye hajazaliwa bado. Tumsitiri huyu malaika wa Mungu kwani hapo baadaye akijakuwa mtu mzima na kukutana na stories zilizomchafua akiwa bado hajitambui anaweza kugeuka animal au akaathirika kisaikolojia.

Simtetei Masanja kwani hata mimi hapo mwanzo nilipeperushwa na upepo wa hawa wanaomchafua lakini nilipoona amezengumza neno la msamaha nikaanza kujenga picha namna jamii inavyoweza kujiponya kwa eneo la kusamehe na kuachilia. Msimkoseshe amani mke wake kwa sababu ya malengo maovu ya wanaomchafua.

Msimdhuru mtoto kwa kuharibu uwepo wake kupitia keyboards zetu.

Mungu wa Mbinguni awajaze hekima na awape kutafakari kisha kutenda yaliyo sahihi.
Atusamehe makosa yetu na kuponya magonjwa yetu
Atusamehe makosa yetu kama tunavyowasamehe waliotukosea
Masikio ni copyright ya Katibu hamna ubishi
 
Wabongo hayo ndio wanayoyaweza.
 
si huku pwani tunasem kitanda akizai haramu
 
Yule dogo comedian akili yake ndogo sana nashangaa hata hao wanaojaa kwenye kijikanisa chake na wao ni walewale tu, yaani katengeneza sinema kaua mgoni wake anataka kuuaminisha umma kwamba dogo alijinyonga, ni vile tu marehemu naye hana ndugu wenye akili ingekua Kenya ama mahala pengine pangechimbika, hivi mtu anawezaje kusemekana amejinyonga na Tai ikakatika akachukua shuka, mbona mnaleta maigizo ambayo hata watoto wadogo hawafanyi? nchi ngumu sana hii
 
NInashare nanyi ujumbe nilioukuta kwenye Whatsapp Group
View attachment 2385474

Hizi picha zimesambaa sana mitandaoni these few days.

Mtanisamehe kama ninawakwaza kwa kuiweka hiyo. Lakini nina lengo la kuijadili kidogo.

Huyu Mch. Masanja anapitia wakati mgumu sana kipindi hiki kutokana na mtiririko wa matukio yaliyomtokea na hasa kadhia iliyojiri baada ya kifo cha Katibu wa Kanisa lake. Yamesemwa mengi na yeye ameongea mengi pia.
Kuna jambo ambalo naona jamii haijastukia nalo ni kutumika kwenye vita baina ya Masanja na wanaopambana naye.

Kuna jambo linalazimishwa ambapo ikifikia hatua watu kuitaka polisi ichukue hatua ya kumhoji Masanja na Mkewe kuhusu kifo kile. Hata baada ya ufafanuzi wa polisi kuhusiana na uchunguzi wa awali, lakini bado watu hao wenye malengo hasi wamehamia kwenye kuisambaratisha familia.

Inaonekana lengo kubwa ni kuhakikisha familia ya huyu mtumishi isiwe na utulivu hata wa kutafakari na kujirejeleza baada ya matukio haya waliyopitia.

PICHA
Hizi picha zinasambazwa kwa lengo mahsusi kumchafua ama kudhalilisha mwanamke na hata kumshambulia marehemu. Sisi leo tunajipa uhalali wa kuhukumu wakati tunajua kabisa kwa usahihi hatuna wema ama usafi wowote kiroho, kimawazo hata kitabia. Picha za mtoto zinasambazwa kama silaha ya kuhukumu na hata watetezi wa watoto wamekaa kimya.

Je lengo la wasambazaji ni kutaka mtoto adhuriwe? Inawezekana Masanja asifanye lolote kumdhuru mtoto. Je vipi kuhusu ndugu na washabiki wake? Je vipi ikiwa lengo la wanaosambaza hizi picha ni maandalizi ya kisaikolojia kwamba wamdhuru mtoto ili jumba bovu limuangukie Masanja?

Tujifunze kuwa na kiasi. Tuishi kwa kudumisha mila na desturi nzuri kwamba kumsema marehemu ni sasa na kumkaripia mtoto ambaye hajazaliwa bado. Tumsitiri huyu malaika wa Mungu kwani hapo baadaye akijakuwa mtu mzima na kukutana na stories zilizomchafua akiwa bado hajitambui anaweza kugeuka animal au akaathirika kisaikolojia.

Simtetei Masanja kwani hata mimi hapo mwanzo nilipeperushwa na upepo wa hawa wanaomchafua lakini nilipoona amezengumza neno la msamaha nikaanza kujenga picha namna jamii inavyoweza kujiponya kwa eneo la kusamehe na kuachilia. Msimkoseshe amani mke wake kwa sababu ya malengo maovu ya wanaomchafua.

Msimdhuru mtoto kwa kuharibu uwepo wake kupitia keyboards zetu.

Mungu wa Mbinguni awajaze hekima na awape kutafakari kisha kutenda yaliyo sahihi.
Atusamehe makosa yetu na kuponya magonjwa yetu
Atusamehe makosa yetu kama tunavyowasamehe waliotukosea
Umenena vema sana japo ukiitazama picha unaona kabisa katibu[emoji4]
 
Back
Top Bottom