ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,850
Yote kabisa kabisa!!!?Kuna mtu kafa lakin Ndio maana yanatokea haya yote na mke wa Katibu kafunguka kdigoo anasema akiwa salama ataongea yote
ama anakariri aya na sentesi!!?
Yote kabisa kabisa!!!?Kuna mtu kafa lakin Ndio maana yanatokea haya yote na mke wa Katibu kafunguka kdigoo anasema akiwa salama ataongea yote
Kasema ni kweli katibu na monica walikuwa na mahusiano na alishwah kukuta ujumbe wa karatasi kaandikiwa katibu,na siku wameenda honeymoon Dubai monica alimpigia simu mke wa katibu analia kwanin wameenda hawjaampa taarifa,na anasema mmewe alikuwa muoga sana haamin kama kajinyonga na kwa sababu gani ajiue?mengine ni anahofia usalama wake kuna watu wanatumwa kujua alipo na hawajui anaogopa sana ana mpango wa kusafiri nje ataongea kila kitu na kuweka waziMmmmh!mke wa katibu nae kaibuka?,embu tudokeze kidogo alichosema kabla ya kufunguka
Duuhhh hatar issue mbona inaenda kuibuka upyaKasema ni kweli katibu na monica walikuwa na mahusiano na alishwah kukuta ujumbe wa karatasi kaandikiwa katibu,na siku wameenda honeymoon Dubai monica alimpigia simu mke wa katibu analia kwanin wameenda hawjaampa taarifa,na anasema mmewe alikuwa muoga sana haamin kama kajinyonga na kwa sababu gani ajiue?mengine ni anahofia usalama wake kuna watu wanatumwa kujua alipo na hawajui anaogopa sana ana mpango wa kusafiri nje ataongea kila kitu na kuweka wazi
Huyu Masanja hata hii inchu ya kanisa nahisi kuna mambo yake anaficha ila muda utaongea wakati ukifikaHuyo masanja wenu ni mpumbavu na asiyejielewa..
Limwanamke lime cheat na limezaa na jamaa afu unaendelea kuishi na hilo limwanamke,hana akili ngoja anyoshwe..
Yeye ndio atakuwa wa kwanza kufukuza mwanamke Malaya?
Alivyomuua yule jamaa ndio imemsaidia nini? Aue basi na huyo mtoto..
Mwisho ustaa na mambo ya ndoa ni vitu viwili tofauti..
Na watu wapo tayari kumchangia aseme kila kituDuuhhh hatar issue mbona inaenda kuibuka upya
I guess atakua mdogo kabisa, mbichi mtoto namba EAA vizia vizia page ya dadake Mshana Jr hashindwi kuweka nambaMbona humwonei huruma mke wa katibu lakini? Hebu kama una namba zake nitumie nimfariji.... Imendikwa tuwapende na kuwafariji wajane ili tupate thawabu mbinguni
Na hako kamwanamke kake katakuwa kanajua ishu zake hivyo hana jeuri ya kumuacha.Huyu Masanja hata hii inchu ya kanisa nahisi kuna mambo yake anaficha ila muda utaongea wakati ukifika
Unataka kutuambia tutafute hela...!?Hivi huku wote ma-boss hamna vibarua ngoja niingie kibaruani.
Hahaaaaa.....Na wewe kakuonja? Jamani mbona inakuwa kama anayenyimwa ni mimi tu? Au na mimi nijichetue?
Na wewe ukipoteza hela najua utajiua tu.Unataka kutuambia tutafute hela...!?
Kwani tulizipoteza mkuu..
Nasikia ninyi wachagga ukimfumani mke wako LIVE kabla ya hatua yoyote unauliza kapewa shilingi ngapi. Kama kapewa hela nzuri unamsamehe pale pale.Masanja jisandu lukelesha
Hii show mbona ndogo sana. Sisi Wachagga mtoto akizaliwa ndani ya nyumba yako huyo ni wako, hata akizaliwa Mchina.
Acheni upuuzi, huyo mtoto kafanana sana na MasanjaKuna mtu kafa lakin Ndio maana yanatokea haya yote na mke wa Katibu kafunguka kdigoo anasema akiwa salama ataongea yote
Ndio maana yakeNasikia ninyi wachagga ukimfumani mke wako LIVE kabla ya hatua yoyote unauliza kapewa shilingi ngapi. Kama kapewa hela nzuri unamsamehe pale pale.
Pesa kwanza.Ndio maana yake
Kwahiyo kuna uwezekano mkubwa Masanja kausika na kifo cha katibu [emoji848]Kasema ni kweli katibu na monica walikuwa na mahusiano na alishwah kukuta ujumbe wa karatasi kaandikiwa katibu,na siku wameenda honeymoon Dubai monica alimpigia simu mke wa katibu analia kwanin wameenda hawjaampa taarifa,na anasema mmewe alikuwa muoga sana haamin kama kajinyonga na kwa sababu gani ajiue?mengine ni anahofia usalama wake kuna watu wanatumwa kujua alipo na hawajui anaogopa sana ana mpango wa kusafiri nje ataongea kila kitu na kuweka wazi
Aisee!Na huu ndio ulipo ubora wa familia za wachagga.
Mtoto ameshaxaliwa mkuzeni, muhudumieni...
Mambo hii mbegu ya huyu na yule yaacheni.
HATA HIVYO WADADA WA MJINI TUNAMSHUKURU MUNGU MASANJA KATUCHEZEA SANA....