Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,224
- 166,262
Tena mchungaji mwenyewe akiwa wa ki magumashi ndio tunamchapia kisawasawa, humo tunasukumizia hadi vijikoAfu kumchapia mchungaji sio dhambi.... Imeandikwa.
Tena mchungaji mwenyewe akiwa wa ki magumashi ndio tunamchapia kisawasawa, humo tunasukumizia hadi vijikoAfu kumchapia mchungaji sio dhambi.... Imeandikwa.
Kumbe katibu pia alikuwa anaitwa Masanja? Ahsante kwa taarifaUkiangalia kwa makini paji la uso, mpaka wa nywele na uso, utaona kabisa anafanana na masanja
Wewe inakuuma nini akimuanikamshauri masanja aache kumwanika mkewe kila mahali. mke ni utupu wa mume, si sahihi kuuanika kila mahali...petrol stations, car wash, garage, ukiwa shopping.....ukitibua/akitibua hata kidogo tu maneno lazima yawepo
Anapoanika mambo yake anakuwa na maana yashabikiwe. Kwa hiyo usiwachagulie watu kushabikia positively au negatively, wana haki ya kuchagua.Nadhani itakuwa faraja kumpotezea badala ya kuingilia uhuru wake.
Inabidi na kumpasa kila mmoja kuelewa kuwa uhuru hulinda utashi.
Mbona humwonei huruma mke wa katibu lakini? Hebu kama una namba zake nitumie nimfariji.... Imendikwa tuwapende na kuwafariji wajane ili tupate thawabu mbinguniMtoto hapo anatia huruma, anaingia kwenye mambo masikini ambayo hata hayajui....poor kid.
Usitujumlishe huko wote tafadhali, nyie kama mnaangalia hayo sijui machura, hayo ndo madhara yakeWENGI HUKU MAJUMBANI TUNA WATOTO AMBAO HATA KUTEMBEA NAYE AU KUMTAMBULISHA UNAOGOPA! MAANA UNAKUWA HUNA MFANANO NAE KABISA.
-:Wanawake hata umfanyie nini hawajulikani hawa viumbe!
Umejua nini kwenye hiyo pichaSasa na wewe ndio umefanya nini tofauti na hao wanaosambaza hizo picha? huoni kua kwa wewe kuanzisha hii thd pia umesambaza hizo picha na hiyo habari? mfano Mimi nilikua sijui chochote kuhusu hiyo picha ya huyo mtoto ila nimejua baada ya wewe kuanzisha hii thd.
Kalynda ndio nani? Kiki inatrend bibie sijui chochote ebu nipe mkasa maana naona Hili jina linatajwa Sana ila sijui kafanya niniKiki saiv ni kalyinda,ya masanja yamebaki kuwa suala la kifamilia. Ila mkewe kakonda sana daah maisha haya ni misuko suko anyway matatizo ni daraja.
Masanja ajifunze kuchunga mdomo wake ilikua too much,aige kwa mwenzie AY walishatosana na mkewe zamaaani ila wananzengo wakakosa cha kumsakamia maana hakua na maneno meengi ya kumpamba mkewe
Mtoto ni wa marehemu, kwa hiyo mashabiki wake lazima wadai haki ya Mtu wao.Naam
Lakini kuhusu mtoto naye kumuweka kama silaha ya vita. Amewakosea nini?
Afu kuna uwezekano lenyewe ndio limemdedisha jemedari na baharia katibu.Huyo masanja wenu ni mpumbavu na asiyejielewa..
Limwanamke lime cheat na limezaa na jamaa afu unaendelea kuishi na hilo limwanamke,hana akili ngoja anyoshwe..
Yeye ndio atakuwa wa kwanza kufukuza mwanamke Malaya?
Alivyomuua yule jamaa ndio imemsaidia nini? Aue basi na huyo mtoto..
Mwisho ustaa na mambo ya ndoa ni vitu viwili tofauti..
Kwani hapo awali alikuwaje?Umepatwa na nini siku hizi,au ndio uzee unakuandama
The same na kwa wamasaiMasanja jisandu lukelesha
Hii show mbona ndogo sana. Sisi Wachagga mtoto akizaliwa ndani ya nyumba yako huyo ni wako, hata akizaliwa Mchina.
Mmmmh!mke wa katibu nae kaibuka?,embu tudokeze kidogo alichosema kabla ya kufungukaKuna mtu kafa lakin Ndio maana yanatokea haya yote na mke wa Katibu kafunguka kdigoo anasema akiwa salama ataongea yote
Nadhani sio hivyo wengi ukifuatilia humu hadi kwenye social media walikuwa wanakerwa na kitendo Cha Masanja kumsifia Sana mke wake ndio maana wanamnangaHii ni vita ya kutaka kumuumiza Masanja?
Labda imetokana kwa kushiriki kwake katika kampeni za kiasa ?