Mambo kwa ground ni magumu,wananzengo yetu macho [emoji849][emoji849]Na hako kamwanamke kake katakuwa kanajua ishu zake hivyo hana jeuri ya kumuacha.
Msanii kuna ufunuo na fundisho masanja anajaribu kupewa kwa njia ngumu.. ATULIE NA KUFANYA KITUBIO. kanisa lake lile lilikuwa dhihaka kubwa mbele za Mungu... Mengine yatajidhihiriNInashare nanyi ujumbe nilioukuta kwenye Whatsapp Group
View attachment 2385474
Hizi picha zimesambaa sana mitandaoni these few days.
Mtanisamehe kama ninawakwaza kwa kuiweka hiyo. Lakini nina lengo la kuijadili kidogo.
Huyu Mch. Masanja anapitia wakati mgumu sana kipindi hiki kutokana na mtiririko wa matukio yaliyomtokea na hasa kadhia iliyojiri baada ya kifo cha Katibu wa Kanisa lake. Yamesemwa mengi na yeye ameongea mengi pia.
Kuna jambo ambalo naona jamii haijastukia nalo ni kutumika kwenye vita baina ya Masanja na wanaopambana naye.
Kuna jambo linalazimishwa ambapo ikifikia hatua watu kuitaka polisi ichukue hatua ya kumhoji Masanja na Mkewe kuhusu kifo kile. Hata baada ya ufafanuzi wa polisi kuhusiana na uchunguzi wa awali, lakini bado watu hao wenye malengo hasi wamehamia kwenye kuisambaratisha familia.
Inaonekana lengo kubwa ni kuhakikisha familia ya huyu mtumishi isiwe na utulivu hata wa kutafakari na kujirejeleza baada ya matukio haya waliyopitia.
PICHA
Hizi picha zinasambazwa kwa lengo mahsusi kumchafua ama kudhalilisha mwanamke na hata kumshambulia marehemu. Sisi leo tunajipa uhalali wa kuhukumu wakati tunajua kabisa kwa usahihi hatuna wema ama usafi wowote kiroho, kimawazo hata kitabia. Picha za mtoto zinasambazwa kama silaha ya kuhukumu na hata watetezi wa watoto wamekaa kimya.
Je lengo la wasambazaji ni kutaka mtoto adhuriwe? Inawezekana Masanja asifanye lolote kumdhuru mtoto. Je vipi kuhusu ndugu na washabiki wake? Je vipi ikiwa lengo la wanaosambaza hizi picha ni maandalizi ya kisaikolojia kwamba wamdhuru mtoto ili jumba bovu limuangukie Masanja?
Tujifunze kuwa na kiasi. Tuishi kwa kudumisha mila na desturi nzuri kwamba kumsema marehemu ni sasa na kumkaripia mtoto ambaye hajazaliwa bado. Tumsitiri huyu malaika wa Mungu kwani hapo baadaye akijakuwa mtu mzima na kukutana na stories zilizomchafua akiwa bado hajitambui anaweza kugeuka animal au akaathirika kisaikolojia.
Simtetei Masanja kwani hata mimi hapo mwanzo nilipeperushwa na upepo wa hawa wanaomchafua lakini nilipoona amezengumza neno la msamaha nikaanza kujenga picha namna jamii inavyoweza kujiponya kwa eneo la kusamehe na kuachilia. Msimkoseshe amani mke wake kwa sababu ya malengo maovu ya wanaomchafua.
Msimdhuru mtoto kwa kuharibu uwepo wake kupitia keyboards zetu.
Mungu wa Mbinguni awajaze hekima na awape kutafakari kisha kutenda yaliyo sahihi.
Atusamehe makosa yetu na kuponya magonjwa yetu
Atusamehe makosa yetu kama tunavyowasamehe waliotukosea
Kwa hiyo mnawasaidia kupaza sauti siyo?Shida ni moja
Kuna aliekufa alafu ni kama huyo mchungaji hajali,aliekufa nae ameacha mjane!Mjane na aliekufa wote wana familia zao na marafiki zao kama wanaona mauzauza unadhani hao wote watanyamaza?
Usisahau wameondokewa na mpendwa
Kwa maelezo ya mkewe anaona mmewe kauawaKwahiyo kuna uwezekano mkubwa Masanja kausika na kifo cha katibu [emoji848]
😂😂😂Acheni upuuzi, huyo mtoto kafanana sana na Masanja
Katibu alipaswa kufahamu mke wa mtu ni sumu, kuua ni kosa kisheria lkn kwa hili la masanja, familia ya katibu na vyombo vya sheria wanakuwa wazito kumpambania katibu make ni kama kifo alikitafuta kwa kujitakia, pengine wa kushikilia bango kumtia hatiani comedian, wanajaribu kuvaa viatu vya masanja na kupima uzito, automatically nao jibu linakuja hata wao wangepata chance ya kumuua anayetomba mkewe wangefanya hivyo,kwa scenario hiyo that why hakuna anayekipa uzito kifo cha katibu.Yule dogo comedian akili yake ndogo sana nashangaa hata hao wanaojaa kwenye kijikanisa chake na wao ni walewale tu, yaani katengeneza sinema kaua mgoni wake anataka kuuaminisha umma kwamba dogo alijinyonga, ni vile tu marehemu naye hana ndugu wenye akili ingekua Kenya ama mahala pengine pangechimbika, hivi mtu anawezaje kusemekana amejinyonga na Tai ikakatika akachukua shuka, mbona mnaleta maigizo ambayo hata watoto wadogo hawafanyi? nchi ngumu sana hii
Yule mtutsi wameachana? Na mbwembwe zote za harusi? Hakuwa anampelekea moto vizuri nini?Kiki saiv ni kalyinda,ya masanja yamebaki kuwa suala la kifamilia. Ila mkewe kakonda sana daah maisha haya ni misuko suko anyway matatizo ni daraja.
Masanja ajifunze kuchunga mdomo wake ilikua too much,aige kwa mwenzie AY walishatosana na mkewe zamaaani ila wananzengo wakakosa cha kumsakamia maana hakua na maneno meengi ya kumpamba mkewe
Hee dunia inakwenda kasi sna ay nae kapigwa Chini kimy kimyaKiki saiv ni kalyinda,ya masanja yamebaki kuwa suala la kifamilia. Ila mkewe kakonda sana daah maisha haya ni misuko suko anyway matatizo ni daraja.
Masanja ajifunze kuchunga mdomo wake ilikua too much,aige kwa mwenzie AY walishatosana na mkewe zamaaani ila wananzengo wakakosa cha kumsakamia maana hakua na maneno meengi ya kumpamba mkewe
Upelelezi unaendelea mkuu.Msanii kuna ufunuo na fundisho masanja anajaribu kupewa kwa njia ngumu.. ATULIE NA KUFANYA KITUBIO. kanisa lake lile lilikuwa dhihaka kubwa mbele za Mungu... Mengine yatajidhihiri
Wew alikupitiaa au umesikia uzushiALITUCHANGANYA...jirani, rafiki ya jirani, dada yake yule rafiki, bosi ya yule dada yake yule rafiki....
Masanjaaaaas......heeeeei amejanasa
WASIOMJUA MASANJA NA SKETI hawanielewi
Sina upandeHuyo masanja wenu ni mpumbavu na asiyejielewa..
Limwanamke lime cheat na limezaa na jamaa afu unaendelea kuishi na hilo limwanamke,hana akili ngoja anyoshwe..
Yeye ndio atakuwa wa kwanza kufukuza mwanamke Malaya?
Alivyomuua yule jamaa ndio imemsaidia nini? Aue basi na huyo mtoto..
Mwisho ustaa na mambo ya ndoa ni vitu viwili tofauti..
Nawe na uhakika umegongewa na unaleaWabongo wengi ni Vilaza ( hili nna uhakika nalo nipo tayari kwenda hata motoni kama huu ni Uongo).
Unakuta jitu lipo, namkaanga masanja sababu alitetea tozo ?
Au sababu ni chawa wa CCM.
Unajiuliza huyu mwenzangu yupo timamu kichwani kweli?
Anaanika maisha yake hadharani, ( unataka celebrity aishi kama wewe? )
Sishangai hata walivyotapeliwa huko kalynda, Vilaza kibao.
Mimi naona huwajui watanzania......watanzania hufurahi mtu akipata matatizo.......mwaka flani niliwahi kufiwa na mdogo wangu wa kike kwenye mazingira ya kutatanisha nakumbuka wapo walionifariji ila baadhi ya maadui zangu walitaka kuutumia msiba ule kunimaliza au kuniharibu kabisa kisaikorojia.....mimi nadhani hiki ndio kipindi ambacho masanja anaweza kuwafahamu marafiki wa kweli na wa uongo na hata kuwafahamu maadui zake waliokuwa wamejivisha ngozi ya kondoNInashare nanyi ujumbe nilioukuta kwenye Whatsapp Group
View attachment 2385474
Hizi picha zimesambaa sana mitandaoni these few days.
Mtanisamehe kama ninawakwaza kwa kuiweka hiyo. Lakini nina lengo la kuijadili kidogo.
Huyu Mch. Masanja anapitia wakati mgumu sana kipindi hiki kutokana na mtiririko wa matukio yaliyomtokea na hasa kadhia iliyojiri baada ya kifo cha Katibu wa Kanisa lake. Yamesemwa mengi na yeye ameongea mengi pia.
Kuna jambo ambalo naona jamii haijastukia nalo ni kutumika kwenye vita baina ya Masanja na wanaopambana naye.
Kuna jambo linalazimishwa ambapo ikifikia hatua watu kuitaka polisi ichukue hatua ya kumhoji Masanja na Mkewe kuhusu kifo kile. Hata baada ya ufafanuzi wa polisi kuhusiana na uchunguzi wa awali, lakini bado watu hao wenye malengo hasi wamehamia kwenye kuisambaratisha familia.
Inaonekana lengo kubwa ni kuhakikisha familia ya huyu mtumishi isiwe na utulivu hata wa kutafakari na kujirejeleza baada ya matukio haya waliyopitia.
PICHA
Hizi picha zinasambazwa kwa lengo mahsusi kumchafua ama kudhalilisha mwanamke na hata kumshambulia marehemu. Sisi leo tunajipa uhalali wa kuhukumu wakati tunajua kabisa kwa usahihi hatuna wema ama usafi wowote kiroho, kimawazo hata kitabia. Picha za mtoto zinasambazwa kama silaha ya kuhukumu na hata watetezi wa watoto wamekaa kimya.
Je lengo la wasambazaji ni kutaka mtoto adhuriwe? Inawezekana Masanja asifanye lolote kumdhuru mtoto. Je vipi kuhusu ndugu na washabiki wake? Je vipi ikiwa lengo la wanaosambaza hizi picha ni maandalizi ya kisaikolojia kwamba wamdhuru mtoto ili jumba bovu limuangukie Masanja?
Tujifunze kuwa na kiasi. Tuishi kwa kudumisha mila na desturi nzuri kwamba kumsema marehemu ni sasa na kumkaripia mtoto ambaye hajazaliwa bado. Tumsitiri huyu malaika wa Mungu kwani hapo baadaye akijakuwa mtu mzima na kukutana na stories zilizomchafua akiwa bado hajitambui anaweza kugeuka animal au akaathirika kisaikolojia.
Simtetei Masanja kwani hata mimi hapo mwanzo nilipeperushwa na upepo wa hawa wanaomchafua lakini nilipoona amezengumza neno la msamaha nikaanza kujenga picha namna jamii inavyoweza kujiponya kwa eneo la kusamehe na kuachilia. Msimkoseshe amani mke wake kwa sababu ya malengo maovu ya wanaomchafua.
Msimdhuru mtoto kwa kuharibu uwepo wake kupitia keyboards zetu.
Mungu wa Mbinguni awajaze hekima na awape kutafakari kisha kutenda yaliyo sahihi.
Atusamehe makosa yetu na kuponya magonjwa yetu
Atusamehe makosa yetu kama tunavyowasamehe waliotukosea
...Vinahusiana vipi, ya Serikali kuunda tume kuchunguza kufeli Kwa Wanafunzi wa Sheria LST...na haya ya Masanja???Mbona kupitia mitandao hii Serikali ime unda tume kuchunguza kufeli kwa wanafunzi wa sheria, Law School of Tanzania -LST?
Kupitia mitandao hii hii tuna taka simu ya Katibu, simu ya mke wa Masanja na ya Masanja zichunguzwe mawasiliano yao miezi 6 nyuma. Siyo huo utumbo wa Muliro utadhani kafumaniwa....ana kurupuka with no Evidence. Ana ropoka tu. Anadhani tupo karne ya 12 eti?