Hats wewe?Na huu ndio ulipo ubora wa familia za wachagga.
Mtoto ameshaxaliwa mkuzeni, muhudumieni...
Mambo hii mbegu ya huyu na yule yaacheni.
HATA HIVYO WADADA WA MJINI TUNAMSHUKURU MUNGU MASANJA KATUCHEZEA SANA....
Hivi alininyongea wapi?Yule dogo comedian akili yake ndogo sana nashangaa hata hao wanaojaa kwenye kijikanisa chake na wao ni walewale tu, yaani katengeneza sinema kaua mgoni wake anataka kuuaminisha umma kwamba dogo alijinyonga, ni vile tu marehemu naye hana ndugu wenye akili ingekua Kenya ama mahala pengine pangechimbika, hivi mtu anawezaje kusemekana amejinyonga na Tai ikakatika akachukua shuka, mbona mnaleta maigizo ambayo hata watoto wadogo hawafanyi? nchi ngumu sana hii
Another mistake.
Judgement
With mental illness
When your dead, you can know it, and is the same way if your stupid.
That's life
Inasemekana kulikuwa na makubaliano na katibu ila katibu aliendelea kung'ang'ania damu yakeUkweli utatuweka huru. Mtoto kafanana na marehemu katibu wa kanisa, acheni watu waseme tu ukweli, tutajua mengi,
ndiyo dawaKuna jamaa alikuwa na mke nzuri sana alikuwa anatangaza na kumuonesha hadi baa alibahatka kuzaa naye mtoto mmoja kuna lijamaa la mgodini lilimçhukua mazima hakurudi
Basi shetani akamwambia ukila hili tunda hakika hamtokufa..... mtayajua mema na mabaya....Oh okay Mr preacher, now you are cursing, worse than Masanja haters, where are your standards that you proclaimed earlier?
Basi shetani akamwambia ukila hili tunda hakika hamtokufa..... mtayajua mema na mabaya....
Am not a preacher. Soma Id yangu vizuri kisha think the unthinkable positively
Alimtukana Lowasa 2015 wakati wa campaign kuwa amejinyea,laana haitamwacha
shida mama wa mtoto mke wakatibu hajamzaaNani kasema huyo ni mtoto wa Masanja.? Huyo si ni mtoto wa katibu
Lawama kwa Masanja kwa kumuexpose mtoto kupitia ku expose mambo ya ndani ya familia yake in public. Kuna vitu watu hufanya ila vina madhara, hasa kwa familia na watoto wasio jua hiki ni kile, hatuwatendei haki tuwaache wakue wajione wapime then wajipost waoMtoto hapo anatia huruma, anaingia kwenye mambo masikini ambayo hata hayajui....poor kid.