Anachofanyiwa Masanja ni kinyume na utu

Anachofanyiwa Masanja ni kinyume na utu

Kasema ni kweli katibu na monica walikuwa na mahusiano na alishwah kukuta ujumbe wa karatasi kaandikiwa katibu,na siku wameenda honeymoon Dubai monica alimpigia simu mke wa katibu analia kwanin wameenda hawjaampa taarifa,na anasema mmewe alikuwa muoga sana haamin kama kajinyonga na kwa sababu gani ajiue?mengine ni anahofia usalama wake kuna watu wanatumwa kujua alipo na hawajui anaogopa sana ana mpango wa kusafiri nje ataongea kila kitu na kuweka wazi
Hii show itakuwa kali, damu ya mtu haipoteagi kizembe. Ukweli utajulikana tu
 
Kasema ni kweli katibu na monica walikuwa na mahusiano na alishwah kukuta ujumbe wa karatasi kaandikiwa katibu,na siku wameenda honeymoon Dubai monica alimpigia simu mke wa katibu analia kwanin wameenda hawjaampa taarifa,na anasema mmewe alikuwa muoga sana haamin kama kajinyonga na kwa sababu gani ajiue?mengine ni anahofia usalama wake kuna watu wanatumwa kujua alipo na hawajui anaogopa sana ana mpango wa kusafiri nje ataongea kila kitu na kuweka wazi

Aiseee Masanja ni mafia sana ,kugongewa mke sio mchezo lazima atakuwa kaplay part ya kummaliza katibu,Jummanne Muliro malizia uchunguzi fasta.

Tusipepese macho na kuficha mambo ,mke wa masanja ameliwa na katibu ,ujue mtu kwa nje unaweza ukamuona very decent lakini hauwezi kuamini mambo yake behind the scenes!

Tena m/ke akiwa na mafanikio anapata kila kitu na mmewe yupo busy possibility ya kuliwa na wanaume walio karibu nae ni kubwa...Masanja akubali tu yaishe asijitutumue na kufunika kikombe ,sio wa kwanza yeye kuchapiwa!
 
Attachments

  • JamiiForums-443627714_375x463.jpg
    JamiiForums-443627714_375x463.jpg
    21.7 KB · Views: 15
NInashare nanyi ujumbe nilioukuta kwenye Whatsapp Group
View attachment 2385474

Hizi picha zimesambaa sana mitandaoni these few days.

Mtanisamehe kama ninawakwaza kwa kuiweka hiyo. Lakini nina lengo la kuijadili kidogo.

Huyu Mch. Masanja anapitia wakati mgumu sana kipindi hiki kutokana na mtiririko wa matukio yaliyomtokea na hasa kadhia iliyojiri baada ya kifo cha Katibu wa Kanisa lake. Yamesemwa mengi na yeye ameongea mengi pia.
Kuna jambo ambalo naona jamii haijastukia nalo ni kutumika kwenye vita baina ya Masanja na wanaopambana naye.

Kuna jambo linalazimishwa ambapo ikifikia hatua watu kuitaka polisi ichukue hatua ya kumhoji Masanja na Mkewe kuhusu kifo kile. Hata baada ya ufafanuzi wa polisi kuhusiana na uchunguzi wa awali, lakini bado watu hao wenye malengo hasi wamehamia kwenye kuisambaratisha familia.

Inaonekana lengo kubwa ni kuhakikisha familia ya huyu mtumishi isiwe na utulivu hata wa kutafakari na kujirejeleza baada ya matukio haya waliyopitia.

PICHA
Hizi picha zinasambazwa kwa lengo mahsusi kumchafua ama kudhalilisha mwanamke na hata kumshambulia marehemu. Sisi leo tunajipa uhalali wa kuhukumu wakati tunajua kabisa kwa usahihi hatuna wema ama usafi wowote kiroho, kimawazo hata kitabia. Picha za mtoto zinasambazwa kama silaha ya kuhukumu na hata watetezi wa watoto wamekaa kimya.

Je lengo la wasambazaji ni kutaka mtoto adhuriwe? Inawezekana Masanja asifanye lolote kumdhuru mtoto. Je vipi kuhusu ndugu na washabiki wake? Je vipi ikiwa lengo la wanaosambaza hizi picha ni maandalizi ya kisaikolojia kwamba wamdhuru mtoto ili jumba bovu limuangukie Masanja?

Tujifunze kuwa na kiasi. Tuishi kwa kudumisha mila na desturi nzuri kwamba kumsema marehemu ni sasa na kumkaripia mtoto ambaye hajazaliwa bado. Tumsitiri huyu malaika wa Mungu kwani hapo baadaye akijakuwa mtu mzima na kukutana na stories zilizomchafua akiwa bado hajitambui anaweza kugeuka animal au akaathirika kisaikolojia.

Simtetei Masanja kwani hata mimi hapo mwanzo nilipeperushwa na upepo wa hawa wanaomchafua lakini nilipoona amezengumza neno la msamaha nikaanza kujenga picha namna jamii inavyoweza kujiponya kwa eneo la kusamehe na kuachilia. Msimkoseshe amani mke wake kwa sababu ya malengo maovu ya wanaomchafua.

Msimdhuru mtoto kwa kuharibu uwepo wake kupitia keyboards zetu.

Mungu wa Mbinguni awajaze hekima na awape kutafakari kisha kutenda yaliyo sahihi.
Atusamehe makosa yetu na kuponya magonjwa yetu
Atusamehe makosa yetu kama tunavyowasamehe waliotukosea
Umeongea jambo la msingi, uishi milele.
 
Shida masanja ana maadui wengi, aliwadhalilisha wengi enzi za ze comedy, ana maadui ambao wanaamini yeye ni janja janja hamtumukii mungu kiukweli, bado kuna watz wanapenda udaku mabingwa wa kushadadia jambo, kupunguzia stress kwenye visa na mikasa ya watu.
Masanja kilichomcost ni much knows 😂😂😂, ni mshamba tu aliefanikiwa kiufupi hana tofauti na Mc washawasha
 
Wewe ndo unazidi kumwangamiza kwa kuja na hii mada yenye hiyo picha. Mimi naona katibu alistahili alichokipata kama alikuwa anatembea na mke wa mtu. Mwanaume yeyote kuua ni rahisi sana akikuta unatembea na mkewe. Endapo Masanja kafanya hivyo kimafia nampongeza sana. Maumivu ya kuchapiwa hayaelezeki.
 
Kiki sasa hivi ni kalyinda,ya Masanja yamebaki kuwa suala la kifamilia. Ila mkewe kakonda sana daah maisha haya ni misuko suko anyway matatizo ni daraja.

Masanja ajifunze kuchunga mdomo wake ilikua too much, aige kwa mwenzie AY walishatosana na mkewe zamaaani ila wananzengo wakakosa cha kumsakamia maana hakua na maneno mengi ya kumpamba mkewe
AY mbona nimesikia ameoa mnyarwanda juzi tu hapa,au unaongelea mke yupi
 
Nimeshaandika yote sijui kama lipo nililosahau.

au niseme kama mlifanikiwa kumwondoa katibu, sembuse mkewe na hako kamalaika?
 
Kiki sasa hivi ni kalyinda,ya Masanja yamebaki kuwa suala la kifamilia. Ila mkewe kakonda sana daah maisha haya ni misuko suko anyway matatizo ni daraja.

Masanja ajifunze kuchunga mdomo wake ilikua too much, aige kwa mwenzie AY walishatosana na mkewe zamaaani ila wananzengo wakakosa cha kumsakamia maana hakua na maneno mengi ya kumpamba mkewe
Ay nliskia ..hv kisa ilikua ni nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndo unazidi kumwangamiza kwa kuja na hii mada yenye hiyo picha. Mimi naona katibu alistahili alichokipata kama alikuwa anatembea na mke wa mtu. Mwanaume yeyote kuua ni rahisi sana akikuta unatembea na mkewe. Endapo Masanja kafanya hivyo kimafia nampongeza sana. Maumivu ya kuchapiwa hayaelezeki.
Hivi kupasha kiporo na x ni dhambi?[emoji1] hawa walishatengeneza bond kabla ya mwenye pesa na ushawishi ku overtake
 
Nashauri.
Ukipenda kuoa mnyarwanda kwa sababu zako zo zote basi usioe wa Rwanda. Nenda mikoa ya Kagera, Kigoma, Geita na Shinyanga maeneo ya Kahama utawapata. Kwa kiasi hawa wamechanganya na tamaaduni za waha hivyo wana ka uvumilivu fulani katika ndoa. Hata hivyo, ukienda hayo maeneo tafuta wananzengo wakuoneshe yupi uoe.

Angalizo:

Mahari yao ni kubwa jiandae na 2-4 milion Tsh.
Dawa ni kuoa Clones tu za hao watu. Wako wengi na wala sio ishu sana
 
[emoji16][emoji16][emoji16].hizi dhambi nyingine.
Yaani ukisema huyo mtoto ni wa masanja ujue unatenda dhambi ya UONGO.
Tumuachie mwenyewe
 
NInashare nanyi ujumbe nilioukuta kwenye Whatsapp Group
View attachment 2385474

Hizi picha zimesambaa sana mitandaoni these few days.

Mtanisamehe kama ninawakwaza kwa kuiweka hiyo. Lakini nina lengo la kuijadili kidogo.

Huyu Mch. Masanja anapitia wakati mgumu sana kipindi hiki kutokana na mtiririko wa matukio yaliyomtokea na hasa kadhia iliyojiri baada ya kifo cha Katibu wa Kanisa lake. Yamesemwa mengi na yeye ameongea mengi pia.
Kuna jambo ambalo naona jamii haijastukia nalo ni kutumika kwenye vita baina ya Masanja na wanaopambana naye.

Kuna jambo linalazimishwa ambapo ikifikia hatua watu kuitaka polisi ichukue hatua ya kumhoji Masanja na Mkewe kuhusu kifo kile. Hata baada ya ufafanuzi wa polisi kuhusiana na uchunguzi wa awali, lakini bado watu hao wenye malengo hasi wamehamia kwenye kuisambaratisha familia.

Inaonekana lengo kubwa ni kuhakikisha familia ya huyu mtumishi isiwe na utulivu hata wa kutafakari na kujirejeleza baada ya matukio haya waliyopitia.

PICHA
Hizi picha zinasambazwa kwa lengo mahsusi kumchafua ama kudhalilisha mwanamke na hata kumshambulia marehemu. Sisi leo tunajipa uhalali wa kuhukumu wakati tunajua kabisa kwa usahihi hatuna wema ama usafi wowote kiroho, kimawazo hata kitabia. Picha za mtoto zinasambazwa kama silaha ya kuhukumu na hata watetezi wa watoto wamekaa kimya.

Je lengo la wasambazaji ni kutaka mtoto adhuriwe? Inawezekana Masanja asifanye lolote kumdhuru mtoto. Je vipi kuhusu ndugu na washabiki wake? Je vipi ikiwa lengo la wanaosambaza hizi picha ni maandalizi ya kisaikolojia kwamba wamdhuru mtoto ili jumba bovu limuangukie Masanja?

Tujifunze kuwa na kiasi. Tuishi kwa kudumisha mila na desturi nzuri kwamba kumsema marehemu ni sasa na kumkaripia mtoto ambaye hajazaliwa bado. Tumsitiri huyu malaika wa Mungu kwani hapo baadaye akijakuwa mtu mzima na kukutana na stories zilizomchafua akiwa bado hajitambui anaweza kugeuka animal au akaathirika kisaikolojia.

Simtetei Masanja kwani hata mimi hapo mwanzo nilipeperushwa na upepo wa hawa wanaomchafua lakini nilipoona amezengumza neno la msamaha nikaanza kujenga picha namna jamii inavyoweza kujiponya kwa eneo la kusamehe na kuachilia. Msimkoseshe amani mke wake kwa sababu ya malengo maovu ya wanaomchafua.

Msimdhuru mtoto kwa kuharibu uwepo wake kupitia keyboards zetu.

Mungu wa Mbinguni awajaze hekima na awape kutafakari kisha kutenda yaliyo sahihi.
Atusamehe makosa yetu na kuponya magonjwa yetu
Atusamehe makosa yetu kama tunavyowasamehe waliotukosea
Wacheni uzushi, mtoto anafanana na Masanja
 
Back
Top Bottom