Anachofanyiwa Masanja ni kinyume na utu

Anachofanyiwa Masanja ni kinyume na utu

Hizi kadhia ya viwango vya chini huwa sifuatilii lakini ninachojua ni kuwa ''If you don't live by the praises of men you won't die by their criticisms''. Unapofanya maisha yako ya binafsi kuwa wazi kwa umma, basi jiandae kuzomewa kwa mabaya yote yatakayokupata.
Umeongea vyema kbsaa[emoji123]
 
NInashare nanyi ujumbe nilioukuta kwenye Whatsapp Group
View attachment 2385474

Hizi picha zimesambaa sana mitandaoni these few days.

Mtanisamehe kama ninawakwaza kwa kuiweka hiyo. Lakini nina lengo la kuijadili kidogo.

Huyu Mch. Masanja anapitia wakati mgumu sana kipindi hiki kutokana na mtiririko wa matukio yaliyomtokea na hasa kadhia iliyojiri baada ya kifo cha Katibu wa Kanisa lake. Yamesemwa mengi na yeye ameongea mengi pia.
Kuna jambo ambalo naona jamii haijastukia nalo ni kutumika kwenye vita baina ya Masanja na wanaopambana naye.

Kuna jambo linalazimishwa ambapo ikifikia hatua watu kuitaka polisi ichukue hatua ya kumhoji Masanja na Mkewe kuhusu kifo kile. Hata baada ya ufafanuzi wa polisi kuhusiana na uchunguzi wa awali, lakini bado watu hao wenye malengo hasi wamehamia kwenye kuisambaratisha familia.

Inaonekana lengo kubwa ni kuhakikisha familia ya huyu mtumishi isiwe na utulivu hata wa kutafakari na kujirejeleza baada ya matukio haya waliyopitia.

PICHA
Hizi picha zinasambazwa kwa lengo mahsusi kumchafua ama kudhalilisha mwanamke na hata kumshambulia marehemu. Sisi leo tunajipa uhalali wa kuhukumu wakati tunajua kabisa kwa usahihi hatuna wema ama usafi wowote kiroho, kimawazo hata kitabia. Picha za mtoto zinasambazwa kama silaha ya kuhukumu na hata watetezi wa watoto wamekaa kimya.

Je lengo la wasambazaji ni kutaka mtoto adhuriwe? Inawezekana Masanja asifanye lolote kumdhuru mtoto. Je vipi kuhusu ndugu na washabiki wake? Je vipi ikiwa lengo la wanaosambaza hizi picha ni maandalizi ya kisaikolojia kwamba wamdhuru mtoto ili jumba bovu limuangukie Masanja?

Tujifunze kuwa na kiasi. Tuishi kwa kudumisha mila na desturi nzuri kwamba kumsema marehemu ni sasa na kumkaripia mtoto ambaye hajazaliwa bado. Tumsitiri huyu malaika wa Mungu kwani hapo baadaye akijakuwa mtu mzima na kukutana na stories zilizomchafua akiwa bado hajitambui anaweza kugeuka animal au akaathirika kisaikolojia.

Simtetei Masanja kwani hata mimi hapo mwanzo nilipeperushwa na upepo wa hawa wanaomchafua lakini nilipoona amezengumza neno la msamaha nikaanza kujenga picha namna jamii inavyoweza kujiponya kwa eneo la kusamehe na kuachilia. Msimkoseshe amani mke wake kwa sababu ya malengo maovu ya wanaomchafua.

Msimdhuru mtoto kwa kuharibu uwepo wake kupitia keyboards zetu.

Mungu wa Mbinguni awajaze hekima na awape kutafakari kisha kutenda yaliyo sahihi.
Atusamehe makosa yetu na kuponya magonjwa yetu
Atusamehe makosa yetu kama tunavyowasamehe waliotukosea

Dah, macho ya marehemu hayo
 
Tatizo lako unafikiri kila mtu Tanzania ni mdini na Ana hofu ya Mungu
 
Kiki sasa hivi ni kalyinda,ya Masanja yamebaki kuwa suala la kifamilia. Ila mkewe kakonda sana daah maisha haya ni misuko suko anyway matatizo ni daraja.

Masanja ajifunze kuchunga mdomo wake ilikua too much, aige kwa mwenzie AY walishatosana na mkewe zamaaani ila wananzengo wakakosa cha kumsakamia maana hakua na maneno mengi ya kumpamba mkewe
Picha yq monica ya sasa tafadhali Numbi
 
pt_6849133732594846604150_0_c4cf16390d0c8b3b329c6d3ba1b8d8b1.jpg

Picha yq monica ya sasa tafadhali Numbi
 
Masanja anapenda ligi na walimwengu anasahau nafsi yake ni ipi.
Anasahau mke alienae ni binadamu na anaweza kufanya lolote.
Picha ya mtoto na kifo cha katibu ndio vinaleta utata.
Asijiabishe achunge tu kondoo alioitiwa na bwana.
Kwanza kwa nini Masanja anatumia nguvu kubwa Sana kumsafisha mkewe!???
 
Katibu alipaswa kufahamu mke wa mtu ni sumu, kuua ni kosa kisheria lkn kwa hili la masanja, familia ya katibu na vyombo vya sheria wanakuwa wazito kumpambania katibu make ni kama kifo alikitafuta kwa kujitakia, pengine wa kushikilia bango kumtia hatiani comedian, wanajaribu kuvaa viatu vya masanja na kupima uzito, automatically nao jibu linakuja hata wao wangepata chance ya kumuua anayetomba mkewe wangefanya hivyo,kwa scenario hiyo that why hakuna anayekipa uzito kifo cha katibu.
Imeisha hiyo
 
Mm binfs nashnga inakuaje jamaa huyu na safari zake za USA prof wenywee hawaendi USA Kam kwenda mbagala dili gani hzo
Maprof kitu gani babu mi nafanya kazi na NGO moja mzee napaa kila mwezi wiki mbili ndani na nje ya nchi. Na ni 5 star hotel tu ndio nafikia,kama sehemu haina 5 wanatafuta angalau 3 star mkoa jirani ndo nafikia afu nakodiwa private hadi mkoa husika kupiga kazi na nageuka siku hiyohiyo. Hata mawaziri hawanifikii mzee kwa hili life la saizi. Japo katikati hapa nilipotezaga kazi kama 3yrs ya msoto. Ni maprof wachache wenye misafari
 
Then do not generalise kwenye public, ongelea the common things
Kwa hiyo unanielekeza cha kufanya sio? Jifunze kutoa maoni na siyo kutoa amri butu
 
uko sahihi lakini hatuwezi kuwa na mtazamo mmoja. yeye mwenyewe anapaswa kujifunza kuwa kimya na masuala yake binafsi yawe private. Si kila anachofanya ikiwa ni pamoja na shughuli hata biashara zake, kilimo, mke etc kila mtu ajue.

Hakuna mwenye tabia kama ya masanja ya kuanika maisha yake hadharani aliyebaki salama. Hakuna.
Kuna jamaa alikuwa na mke nzuri sana alikuwa anatangaza na kumuonesha hadi baa alibahatka kuzaa naye mtoto mmoja kuna lijamaa la mgodini lilimçhukua mazima hakurudi
 
Back
Top Bottom