Anachofanyiwa Masanja ni kinyume na utu

Anachofanyiwa Masanja ni kinyume na utu

NInashare nanyi ujumbe nilioukuta kwenye Whatsapp Group
View attachment 2385474

Hizi picha zimesambaa sana mitandaoni these few days.

Mtanisamehe kama ninawakwaza kwa kuiweka hiyo. Lakini nina lengo la kuijadili kidogo.

Huyu Mch. Masanja anapitia wakati mgumu sana kipindi hiki kutokana na mtiririko wa matukio yaliyomtokea na hasa kadhia iliyojiri baada ya kifo cha Katibu wa Kanisa lake. Yamesemwa mengi na yeye ameongea mengi pia.
Kuna jambo ambalo naona jamii haijastukia nalo ni kutumika kwenye vita baina ya Masanja na wanaopambana naye.

Kuna jambo linalazimishwa ambapo ikifikia hatua watu kuitaka polisi ichukue hatua ya kumhoji Masanja na Mkewe kuhusu kifo kile. Hata baada ya ufafanuzi wa polisi kuhusiana na uchunguzi wa awali, lakini bado watu hao wenye malengo hasi wamehamia kwenye kuisambaratisha familia.

Inaonekana lengo kubwa ni kuhakikisha familia ya huyu mtumishi isiwe na utulivu hata wa kutafakari na kujirejeleza baada ya matukio haya waliyopitia.

PICHA
Hizi picha zinasambazwa kwa lengo mahsusi kumchafua ama kudhalilisha mwanamke na hata kumshambulia marehemu. Sisi leo tunajipa uhalali wa kuhukumu wakati tunajua kabisa kwa usahihi hatuna wema ama usafi wowote kiroho, kimawazo hata kitabia. Picha za mtoto zinasambazwa kama silaha ya kuhukumu na hata watetezi wa watoto wamekaa kimya.

Je lengo la wasambazaji ni kutaka mtoto adhuriwe? Inawezekana Masanja asifanye lolote kumdhuru mtoto. Je vipi kuhusu ndugu na washabiki wake? Je vipi ikiwa lengo la wanaosambaza hizi picha ni maandalizi ya kisaikolojia kwamba wamdhuru mtoto ili jumba bovu limuangukie Masanja?

Tujifunze kuwa na kiasi. Tuishi kwa kudumisha mila na desturi nzuri kwamba kumsema marehemu ni sasa na kumkaripia mtoto ambaye hajazaliwa bado. Tumsitiri huyu malaika wa Mungu kwani hapo baadaye akijakuwa mtu mzima na kukutana na stories zilizomchafua akiwa bado hajitambui anaweza kugeuka animal au akaathirika kisaikolojia.

Simtetei Masanja kwani hata mimi hapo mwanzo nilipeperushwa na upepo wa hawa wanaomchafua lakini nilipoona amezengumza neno la msamaha nikaanza kujenga picha namna jamii inavyoweza kujiponya kwa eneo la kusamehe na kuachilia. Msimkoseshe amani mke wake kwa sababu ya malengo maovu ya wanaomchafua.

Msimdhuru mtoto kwa kuharibu uwepo wake kupitia keyboards zetu.

Mungu wa Mbinguni awajaze hekima na awape kutafakari kisha kutenda yaliyo sahihi.
Atusamehe makosa yetu na kuponya magonjwa yetu
Atusamehe makosa yetu kama tunavyowasamehe waliotukosea

Mimi sijauelewa kabisa uzi huu, nimetoka kapa kabisaa!! Mwenye uelewa au mleta uzi mwenyewe anifafanulie tafadhali!
 
Ongezea nguvu kwenye uzi wako kwa kujibu hizi hoja:

1.Watu hao wenye malengo hasi wamehamia kwenye kuisambaratisha familia
(Je ni yeye pekee mwenye familia? hakuna watu maarufu zaidi yake na wana familia? je familia yake ina nini cha ajabu kiasi watu wapanie kuisambaratisha?wana nufaikaje?)

2.Kuna jambo ambalo naona jamii haijastukia nalo ni kutumika kwenye vita baina ya Masanja na wanaopambana naye.(vita vya kisiasa? umaarufu? au kanisa? ni watumishi wa ngapi wa Mungu walio wahi pitia vita kama hizi? Mbona tuna Mitume, Manabii, wachungaji na maaskofu wenye makanisa makubwa na waumini wengi kila kona ya nchi na hawana vita na mtu? angalia picha za kanisani kwake hata watu 50 hawafiki vita ni vya nini?. wenye vita naye wana nufaika vipi?)
3.Hizi picha zinasambazwa kwa lengo mahsusi kumchafua ama kudhalilisha mwanamke na hata kumshambulia marehemu (, hiyo picha ni ya mtoto wake au ya kutengenezwa?katika mamilion ya wanawake kwa nini adhalilishwe yeye? kuna marehemu wengi kwa nini ashambuliwe yule pekee?)

Nionavyo mimi:

Habari ya huyu ndugu imepata nguvu sana kwa sababu yeye binafsi na familia yake ni watu wa kujianika sana mitandaoni (kawaida una vuna unacho panda).
Amini kuna wanawake wazuri sana,kuna familia nzuri sana,kuna wenye mafanikio kila nyanja na wako kimya na maisha yao, wameweka mipaka.
Habari zake zitaendelea kusambaa kwa kadri alivyo panda, na si kwa sababu ni mkosefu sana HAPANA.
Kuna sisi wengine mkiyajua ya kwetu, unaweza fikiri tuko tumbo moja na shetani,
 
Na huu ndio ulipo ubora wa familia za wachagga.
Mtoto ameshaxaliwa mkuzeni, muhudumieni...
Mambo hii mbegu ya huyu na yule yaacheni.

HATA HIVYO WADADA WA MJINI TUNAMSHUKURU MUNGU MASANJA KATUCHEZEA SANA....
Amewachezeaje nawakati ni Mtumishi wa Mungu
 
NInashare nanyi ujumbe nilioukuta kwenye Whatsapp Group
View attachment 2385474

Hizi picha zimesambaa sana mitandaoni these few days.

Mtanisamehe kama ninawakwaza kwa kuiweka hiyo. Lakini nina lengo la kuijadili kidogo.

Huyu Mch. Masanja anapitia wakati mgumu sana kipindi hiki kutokana na mtiririko wa matukio yaliyomtokea na hasa kadhia iliyojiri baada ya kifo cha Katibu wa Kanisa lake. Yamesemwa mengi na yeye ameongea mengi pia.
Kuna jambo ambalo naona jamii haijastukia nalo ni kutumika kwenye vita baina ya Masanja na wanaopambana naye.

Kuna jambo linalazimishwa ambapo ikifikia hatua watu kuitaka polisi ichukue hatua ya kumhoji Masanja na Mkewe kuhusu kifo kile. Hata baada ya ufafanuzi wa polisi kuhusiana na uchunguzi wa awali, lakini bado watu hao wenye malengo hasi wamehamia kwenye kuisambaratisha familia.

Inaonekana lengo kubwa ni kuhakikisha familia ya huyu mtumishi isiwe na utulivu hata wa kutafakari na kujirejeleza baada ya matukio haya waliyopitia.

PICHA
Hizi picha zinasambazwa kwa lengo mahsusi kumchafua ama kudhalilisha mwanamke na hata kumshambulia marehemu. Sisi leo tunajipa uhalali wa kuhukumu wakati tunajua kabisa kwa usahihi hatuna wema ama usafi wowote kiroho, kimawazo hata kitabia. Picha za mtoto zinasambazwa kama silaha ya kuhukumu na hata watetezi wa watoto wamekaa kimya.

Je lengo la wasambazaji ni kutaka mtoto adhuriwe? Inawezekana Masanja asifanye lolote kumdhuru mtoto. Je vipi kuhusu ndugu na washabiki wake? Je vipi ikiwa lengo la wanaosambaza hizi picha ni maandalizi ya kisaikolojia kwamba wamdhuru mtoto ili jumba bovu limuangukie Masanja?

Tujifunze kuwa na kiasi. Tuishi kwa kudumisha mila na desturi nzuri kwamba kumsema marehemu ni sasa na kumkaripia mtoto ambaye hajazaliwa bado. Tumsitiri huyu malaika wa Mungu kwani hapo baadaye akijakuwa mtu mzima na kukutana na stories zilizomchafua akiwa bado hajitambui anaweza kugeuka animal au akaathirika kisaikolojia.

Simtetei Masanja kwani hata mimi hapo mwanzo nilipeperushwa na upepo wa hawa wanaomchafua lakini nilipoona amezengumza neno la msamaha nikaanza kujenga picha namna jamii inavyoweza kujiponya kwa eneo la kusamehe na kuachilia. Msimkoseshe amani mke wake kwa sababu ya malengo maovu ya wanaomchafua.

Msimdhuru mtoto kwa kuharibu uwepo wake kupitia keyboards zetu.

Mungu wa Mbinguni awajaze hekima na awape kutafakari kisha kutenda yaliyo sahihi.
Atusamehe makosa yetu na kuponya magonjwa yetu
Atusamehe makosa yetu kama tunavyowasamehe waliotukosea
Samahani! Hizo picha za nani? Ni nani hao katika picha?
 
Na huu ndio ulipo ubora wa familia za wachagga.
Mtoto ameshaxaliwa mkuzeni, muhudumieni...
Mambo hii mbegu ya huyu na yule yaacheni.

HATA HIVYO WADADA WA MJINI TUNAMSHUKURU MUNGU MASANJA KATUCHEZEA SANA....
Mie stakuchezea ukinipa manka, kumbe Masanja kawatafuna sana aisee 😂😂😂
 
ALITUCHANGANYA...jirani, rafiki ya jirani, dada yake yule rafiki, bosi ya yule dada yake yule rafiki....
Masanjaaaaas......heeeeei amejanasa

WASIOMJUA MASANJA NA SKETI hawanielewi
Ila katibu alivyomlia epo lake yeye kaamua amdedishe moja kwa moja
 
Huyo masanja wenu ni mpumbavu na asiyejielewa..

Limwanamke lime cheat na limezaa na jamaa afu unaendelea kuishi na hilo limwanamke,hana akili ngoja anyoshwe..

Yeye ndio atakuwa wa kwanza kufukuza mwanamke Malaya?

Alivyomuua yule jamaa ndio imemsaidia nini? Aue basi na huyo mtoto..

Mwisho ustaa na mambo ya ndoa ni vitu viwili tofauti..
Kuna muda huwa akili zako zinafanya kazi vizuri kumbe
 
p_6849155160684733737332_0_53a03e24bd8cd8c070c6d154b6ba155c.jpg

Mke wa AY anajiita nani insta?
 
Kama polisi hawaaminiki kwenye hili, je mnashindwa nini kufungua kesi.

Maana kinachofanyika kwanza hapa mnajenga picha hasi kisha mnamuweka mtu kwenye hiyo picha.

Nawashauri mpeleke ushaidi wenu kumhusu masanja kuhusika na kifo kwenye mamlaka zinazoweza kuchukua hatua kama siyo polisi.

Je unajua hii post yako itadumu miaka mingi mbele? Mtoto mnayemtumia kama silaha kwenye vita yenu ya Masanja mnatarajia atakuwa ktk hali gani akijakugundua haya mnayomfanyia sasa akiwa bado hana ufahamu?

Mkuu usipanic ,hata Escrow ,richmond,EPA yalianza maneno maneno na kuna watu walitetea kwamba ni uzushi lakini at the end jipu likatumbuka ,vyombo vya kufanya uchunguzi ni polisi na wamesema wanaendelea,hakuna mtu binafsi wa kufanya uchuguzi kwenye kifo cha katibu zaidi ya vyombo vya serikali kwahiyo wananzengo ni kama wanawakumbusha polisi wasidelay.
 
Back
Top Bottom