Anachofanyiwa Masanja ni kinyume na utu

Anachofanyiwa Masanja ni kinyume na utu

Kiki sasa hivi ni kalyinda,ya Masanja yamebaki kuwa suala la kifamilia. Ila mkewe kakonda sana daah maisha haya ni misuko suko anyway matatizo ni daraja.

Masanja ajifunze kuchunga mdomo wake ilikua too much, aige kwa mwenzie AY walishatosana na mkewe zamaaani ila wananzengo wakakosa cha kumsakamia maana hakua na maneno mengi ya kumpamba mkewe
AY na yule Mnyarwanda wameachana lini?
 
Huyo masanja wenu ni mpumbavu na asiyejielewa..

Limwanamke lime cheat na limezaa na jamaa afu unaendelea kuishi na hilo limwanamke,hana akili ngoja anyoshwe..

Yeye ndio atakuwa wa kwanza kufukuza mwanamke Malaya?

Alivyomuua yule jamaa ndio imemsaidia nini? Aue basi na huyo mtoto..

Mwisho ustaa na mambo ya ndoa ni vitu viwili tofauti..
Dah! Umeupiga mwingi mwaisa
 
Masanja alitakiwa alie hadharani weeee!! Na huku mkewe pia akiitikia....yani wapokezane kulia..

Kisanii zaidi.......lkn Masanja akiwa serious ndo kabisaaa! Watu wanafurahiiiii!!.....wata muua maksudi. Waaaatu! Acha kabisa mie ni maarufu sana lkn hamnijui.....uongo?? Nani ananijua ajitokeze hapa?
Ahahaahaha acha ubwege ...umaarufu upi unao

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_20221014-093635.png
    Screenshot_20221014-093635.png
    221.2 KB · Views: 13
  • Screenshot_20221014-093600.png
    Screenshot_20221014-093600.png
    43.1 KB · Views: 13
Kiki sasa hivi ni kalyinda,ya Masanja yamebaki kuwa suala la kifamilia. Ila mkewe kakonda sana daah maisha haya ni misuko suko anyway matatizo ni daraja.

Masanja ajifunze kuchunga mdomo wake ilikua too much, aige kwa mwenzie AY walishatosana na mkewe zamaaani ila wananzengo wakakosa cha kumsakamia maana hakua na maneno mengi ya kumpamba mkewe
suala la kalynda siyo issue, ni la wapumbavu wavivu wa kufikiri na kufanya kazi wataka vya bure. kumekuwa deci na makampuni kibao ya upatu na wengi wamelizwa yet wavivu wa kufikiri bado wanajiingiza.
 
Umeongea maoni yako, Kila mtu anatoa maoni yake kuhusu kifo cha Katibu, na wengi wao wanataka uchunguzi wa ndani ufanyike, waliokua karibu kabisa na marehem wahojiwe ili ukweli uwekwe bayana.
Umefananisha kumjadili marehem ni sawa na kumjadili au kumsema mtoto aliyetumboni hajazaliwa.
Lakini kumbuka marehem alikuwaa mtu mzima na anayetegemewa. Tukisema amejinyonga tu na ujumbe kaacha wa wazi kabisa na wananchi waache kuliongelea hilo, basi wategemezi wake watakua hawajatendewa haki.
Mtoto aliyetumboni ni tofauti kwa sababu hategemewi ila atakuja kutegemea.
So hata kama kuna kumsamehe, lakini vyombo vya usalama kwa raia vilifanyie kazi tukio la kujinyonga kwa mtumishi.
 
Inaonekana hata wewe unapitia wakati mgumu sana, yeye mwenyewe maisha yake alimua kuyaweka public hiki unachokiona ni access tu ya public things
 
Mambo yamekuwa mazito zaidi. Swala la watoto tena wa Massanja kusemekana ni wa marehemu katibu linazua taswira mpya zaidi.
 
Masanja anapenda ligi na walimwengu anasahau nafsi yake ni ipi.
Anasahau mke alienae ni binadamu na anaweza kufanya lolote.
Picha ya mtoto na kifo cha katibu ndio vinaleta utata.
Asijiabishe achunge tu kondoo alioitiwa na bwana.
 
Back
Top Bottom