Anachofanyiwa Masanja ni kinyume na utu

Anachofanyiwa Masanja ni kinyume na utu

Maisha ya Wananchi ni mzigo kwa kwenda mbele au mke wa mtu au mme wa mtu wahuni hawaangalii hiyo...Masanja anaongelewa kwa sababu muda mwingi alionekana mwenye furaha ila ndoa nyingi hazipo sawa hiyo daslm pekee karibu Wanandoa 300 wanaomba kuvunja ndoa kila mwezi kutokana na taarifa za karibuni hapo katikati tulipewa taarifa ya walioenda kupima DNA na majibu yake ila humu tunavyomchambua Masanja utadhani sisi tupo salama sana wakati wake zetu wenyewe hatujui wanagawa kwa Katibu gani? ...
Katibu wa shirikisho la ngumi za ridhaa
 
Sasa bwashee,wewe unamuonea huruma Sanja boy!ila Kuna mtu kafa,Kuna dada kafiwa na mumewe,Kuna wazazi wamefiwa na mtoto wao!Kuna mtoto kafiwa na baba yake,atakuwa akiwa yatima kabisa!!!harafu wewe unamtetea huyo pastor wa mchongo,
Ipo hv,Hawa polisi waliofanya uchunguzi wa kifo Cha katibu hatuwaamini kabisa,maana ni wale wale walioua kule msoma!!sie kama jamii tunataka tujue ukweli!
We hapo kwenye picha unaonaje?hiyo chata ni ya katibu kabisa
Kama polisi hawaaminiki kwenye hili, je mnashindwa nini kufungua kesi.

Maana kinachofanyika kwanza hapa mnajenga picha hasi kisha mnamuweka mtu kwenye hiyo picha.

Nawashauri mpeleke ushaidi wenu kumhusu masanja kuhusika na kifo kwenye mamlaka zinazoweza kuchukua hatua kama siyo polisi.

Je unajua hii post yako itadumu miaka mingi mbele? Mtoto mnayemtumia kama silaha kwenye vita yenu ya Masanja mnatarajia atakuwa ktk hali gani akijakugundua haya mnayomfanyia sasa akiwa bado hana ufahamu?
 
NInashare nanyi ujumbe nilioukuta kwenye Whatsapp Group
View attachment 2385474

Hizi picha zimesambaa sana mitandaoni these few days.

Mtanisamehe kama ninawakwaza kwa kuiweka hiyo. Lakini nina lengo la kuijadili kidogo.

Huyu Mch. Masanja anapitia wakati mgumu sana kipindi hiki kutokana na mtiririko wa matukio yaliyomtokea na hasa kadhia iliyojiri baada ya kifo cha Katibu wa Kanisa lake. Yamesemwa mengi na yeye ameongea mengi pia.
Kuna jambo ambalo naona jamii haijastukia nalo ni kutumika kwenye vita baina ya Masanja na wanaopambana naye.

Kuna jambo linalazimishwa ambapo ikifikia hatua watu kuitaka polisi ichukue hatua ya kumhoji Masanja na Mkewe kuhusu kifo kile. Hata baada ya ufafanuzi wa polisi kuhusiana na uchunguzi wa awali, lakini bado watu hao wenye malengo hasi wamehamia kwenye kuisambaratisha familia.

Inaonekana lengo kubwa ni kuhakikisha familia ya huyu mtumishi isiwe na utulivu hata wa kutafakari na kujirejeleza baada ya matukio haya waliyopitia.

PICHA
Hizi picha zinasambazwa kwa lengo mahsusi kumchafua ama kudhalilisha mwanamke na hata kumshambulia marehemu. Sisi leo tunajipa uhalali wa kuhukumu wakati tunajua kabisa kwa usahihi hatuna wema ama usafi wowote kiroho, kimawazo hata kitabia. Picha za mtoto zinasambazwa kama silaha ya kuhukumu na hata watetezi wa watoto wamekaa kimya.

Je lengo la wasambazaji ni kutaka mtoto adhuriwe? Inawezekana Masanja asifanye lolote kumdhuru mtoto. Je vipi kuhusu ndugu na washabiki wake? Je vipi ikiwa lengo la wanaosambaza hizi picha ni maandalizi ya kisaikolojia kwamba wamdhuru mtoto ili jumba bovu limuangukie Masanja?

Tujifunze kuwa na kiasi. Tuishi kwa kudumisha mila na desturi nzuri kwamba kumsema marehemu ni sasa na kumkaripia mtoto ambaye hajazaliwa bado. Tumsitiri huyu malaika wa Mungu kwani hapo baadaye akijakuwa mtu mzima na kukutana na stories zilizomchafua akiwa bado hajitambui anaweza kugeuka animal au akaathirika kisaikolojia.

Simtetei Masanja kwani hata mimi hapo mwanzo nilipeperushwa na upepo wa hawa wanaomchafua lakini nilipoona amezengumza neno la msamaha nikaanza kujenga picha namna jamii inavyoweza kujiponya kwa eneo la kusamehe na kuachilia. Msimkoseshe amani mke wake kwa sababu ya malengo maovu ya wanaomchafua.

Msimdhuru mtoto kwa kuharibu uwepo wake kupitia keyboards zetu.

Mungu wa Mbinguni awajaze hekima na awape kutafakari kisha kutenda yaliyo sahihi.
Atusamehe makosa yetu na kuponya magonjwa yetu
Atusamehe makosa yetu kama tunavyowasamehe waliotukosea
Katibu kaupiga mwingi sana
 
Nadharia pandikizi
Baada ya ndoa nagundua wife bado ana mawasiliano na x wake lakini kwa viapo vya kiimani anakana katakata tena kwa kushika msahafu na kujiapiza malipizi mabaya
Katikati ya mishe za maisha x wa wife kwa hali ya utatanifu mkubwa anakuja kuwa msaidizi wangu kwenye mishe zangu .. CV yake inapewa backup kubwa na mkewangu ambaye ni x wake!

Yanatokea mengi machache yenye viashiria vya mwendelezo wa mahusiano lakini kwa taswira yangu mbele ya jamii inabidi nilitatue hili kwa umakini wa hali ya juu
Kutokana na majukumu ya msaidizi wangu kuna nyakati inabidi awe karibu na mkewangu ambaye ni x wake! Napambana kwa hali na mali ili msaidizi wangu apate mke halali wa ndoa na hilo nalifanikisha kwa weledi mkubwa

Mimi na mke wangu tunapata watoto wawili wa haraka haraka.. Lakini badala ya furaha kuongezeka ndani ya familia.. Malaika hawa wanazua balaa jipya! Zinaanza kuenea tetesi za kwamba hawa si damu yangu, lakini vilevile kukiwa na viashiria vya mwendelezo wa mahusiano kati ya wawili hawa.. Hali ni tete mno na inabidi nifanye jambo la haraka lakini kwa umakini mkubwa sana

Nakesha nikitafuta njia sahihi ya kutatua hili tatizo moja kwa moja, niliposhindwa kabisa nawatafuta wasiri wangu na kunipa mkakati wenye kuogofya lakini ukiwa ndio bora zaidi

Napewa ramani nzima na gharama zake na uhakika wa kazi! Watenda kazi husika wananihakikishia hiyo sio kazi yao ya kwanza na wananitajia mifano kadhaa.. Nashawishika kuwaamini kwakuwa wana connection mpaka kwenye sifongo
Nawalipa kinachowahusu, huwa hawapokei nusu maana wana hakika na kazi yao! Mimi sitakiwi kuwepo wakati kazi ikifanyika hivyo natafutiwa ziara kuepusha mengi, yangu na ya jamii

Kazi inafanyika kwa ukamilifu napata taarifa nikiwa ziarani na natumiwa ujumbe wa mwendazake kwanini akaamua kufanya aliyofanya
Kwa haraka kabisa bila kuwaza mara mbili napost mitandaoni kumtangazia msamaha mkewangu mpenzi
Halafu baada tu ya mazishi narejea kutoka ziarani na kuwasuta wambea juu ya mkewangu na ndoa yangu! Najizuia kabisa kuwataja 'wanangu'

Namna ishu ilivyopelekwa kuanzia kifo mpaka mazishi naamini kweli wale walikuwa watu wa kazi! Nawapongeza kimoyomoyo.. Halafu katikati ya pongezi natumiwa picha za malaika wawiki copyright na mwendazake!
Napata kizunguzungu kibaya
Nahisi mapigo ya moyo yakipiga kwa nguvu sana
Nahisi koo likikauka kabisa huku meno yakitoa jasho la moto.. Masikioni kuna mivumo ya sauti za kutisha
Natamani nipige kelele na kukimbia huku nikisema sio mimi..

Ufahamu unanirejea na kujikuta nakodolea macho zile sura.. Kwa sekunde unapita mkanda kama wa cinema mwanzo wa matukio mpaka hapo...kumbe kuna hawa walisahaulika...

Kumbe huu sio mwisho basi ni mwanzo mwingine wenye kutisha mno...ninachowaza ni future yangu hasa ile siku nitakapotiwa pingu na kupelekwa jengo la serikali.. Breaking news na nderemo za haters,🥱
Bongo nyoko.... [emoji847][emoji119]
 
Umenikumbusha rafiki yangu mmoja mke wa mtu akanzisha utani anataka kunizalia mtoto(hatukuwa wapenzi). Nikiamini ni utani kuna siku akaniweka kitako. Akanipa mkakati akipata mimba anaenda kumtegea mumewe anayeishi naye mbali.
Nilichoka sana
 
Jamaa anafanyiwa cyber bullying kitu ambacho watu wengi wanaona sawa maana haijawai kuwatokea...imagine kila mtandao unakuta wanamjadili mtu huyo haswa page za umbea ...mtu aje kujinyonga bure !!kwa kweli kuvumilia maneno ya watu ni kazi unaandamwa kila siku.

Malipo ni hapahapa. Alipomfanyia Mbowe dhihaka na kusema kapewa pigo aliona raha. Ngoja naye aonje utamu wa ujinga wake.
 
NInashare nanyi ujumbe nilioukuta kwenye Whatsapp Group
View attachment 2385474

Hizi picha zimesambaa sana mitandaoni these few days.

Mtanisamehe kama ninawakwaza kwa kuiweka hiyo. Lakini nina lengo la kuijadili kidogo.

Huyu Mch. Masanja anapitia wakati mgumu sana kipindi hiki kutokana na mtiririko wa matukio yaliyomtokea na hasa kadhia iliyojiri baada ya kifo cha Katibu wa Kanisa lake. Yamesemwa mengi na yeye ameongea mengi pia.
Kuna jambo ambalo naona jamii haijastukia nalo ni kutumika kwenye vita baina ya Masanja na wanaopambana naye.

Kuna jambo linalazimishwa ambapo ikifikia hatua watu kuitaka polisi ichukue hatua ya kumhoji Masanja na Mkewe kuhusu kifo kile. Hata baada ya ufafanuzi wa polisi kuhusiana na uchunguzi wa awali, lakini bado watu hao wenye malengo hasi wamehamia kwenye kuisambaratisha familia.

Inaonekana lengo kubwa ni kuhakikisha familia ya huyu mtumishi isiwe na utulivu hata wa kutafakari na kujirejeleza baada ya matukio haya waliyopitia.

PICHA
Hizi picha zinasambazwa kwa lengo mahsusi kumchafua ama kudhalilisha mwanamke na hata kumshambulia marehemu. Sisi leo tunajipa uhalali wa kuhukumu wakati tunajua kabisa kwa usahihi hatuna wema ama usafi wowote kiroho, kimawazo hata kitabia. Picha za mtoto zinasambazwa kama silaha ya kuhukumu na hata watetezi wa watoto wamekaa kimya.

Je lengo la wasambazaji ni kutaka mtoto adhuriwe? Inawezekana Masanja asifanye lolote kumdhuru mtoto. Je vipi kuhusu ndugu na washabiki wake? Je vipi ikiwa lengo la wanaosambaza hizi picha ni maandalizi ya kisaikolojia kwamba wamdhuru mtoto ili jumba bovu limuangukie Masanja?

Tujifunze kuwa na kiasi. Tuishi kwa kudumisha mila na desturi nzuri kwamba kumsema marehemu ni sasa na kumkaripia mtoto ambaye hajazaliwa bado. Tumsitiri huyu malaika wa Mungu kwani hapo baadaye akijakuwa mtu mzima na kukutana na stories zilizomchafua akiwa bado hajitambui anaweza kugeuka animal au akaathirika kisaikolojia.

Simtetei Masanja kwani hata mimi hapo mwanzo nilipeperushwa na upepo wa hawa wanaomchafua lakini nilipoona amezengumza neno la msamaha nikaanza kujenga picha namna jamii inavyoweza kujiponya kwa eneo la kusamehe na kuachilia. Msimkoseshe amani mke wake kwa sababu ya malengo maovu ya wanaomchafua.

Msimdhuru mtoto kwa kuharibu uwepo wake kupitia keyboards zetu.

Mungu wa Mbinguni awajaze hekima na awape kutafakari kisha kutenda yaliyo sahihi.
Atusamehe makosa yetu na kuponya magonjwa yetu
Atusamehe makosa yetu kama tunavyowasamehe waliotukosea
Kwa hiyo na wewe unaendelea kusambaza hizi vitu kwa kivuli cha kusema kwamba unataka tujadili? Tujadili nini sasa hapo? Kubambikwa mtoto au kuhisiwa kuwa sio mtoto wako ni jambo la kawaida tu, hakuna cha ajabu hapo.
 
WENGI HUKU MAJUMBANI TUNA WATOTO AMBAO HATA KUTEMBEA NAYE AU KUMTAMBULISHA UNAOGOPA! MAANA UNAKUWA HUNA MFANANO NAE KABISA.
-:Wanawake hata umfanyie nini hawajulikani hawa viumbe!
Kweli kabisa wanawake ni watu wasiojulikana😅😅😅
 
Umenikumbusha rafiki yangu mmoja mke wa mtu akanzisha utani anataka kunizalia mtoto(hatukuwa wapenzi). Nikiamini ni utani kuna siku akaniweka kitako. Akanipa mkakati akipata mimba anaenda kumtegea mumewe anayeishi naye mbali.
Nilichoka sana
Kila nikimuangalia konde boy....[emoji3064][emoji2827]
 
Back
Top Bottom