mtetezi wa MAGU
Member
- Dec 15, 2022
- 21
- 142
Kwanini alikuwa akiua watu kama unavyadai? Sababu ya huyu mtu kutekeleza mauaji ya watu hasa ilikuwa nini?Katika kipindi cha Mwezi mzima Kijana Ally Dangote Amekuwa akitafutwa kwakutekeleza mauaji ya watu mbali mbali katika maene o ya Longdong,Ungalimited na Sinon Kijana huyu alikuwa anatafutwa na Joshua la Polisi majira ya Leo mchana wanannchi Wenye hasira kali wamemtia Nguvuni na kumpokonya Uhai...
Ni kweli mob justice ni mbaya. Lakini ukiona katajwa hilo jina inaonekana ni mtu maarufu kwa shughuli hiyo na anafahamika kwa hilo.Pole kwa familia,ndugu na jamaa,may his soul R.I.P.
Mob justice ni mbaya,wangempeleka mbele ya vyombo vya sheria,haki itendeke,ukute alisingiziwa au kafananishwa.
Kibaka apumzike kwa amani kwa lipi jema alilofanyaApumzike Kwa Amani
Joshua la polisi. Edit hapoKatika kipindi cha Mwezi mzima Kijana Ally Dangote Amekuwa akitafutwa kwakutekeleza mauaji ya watu mbali mbali katika maene o ya Longdong,Ungalimited na Sinon Kijana huyu alikuwa anatafutwa na Joshua la Polisi majira ya Leo mchana wanannchi Wenye hasira kali wamemtia Nguvuni na kumpokonya Uhai...
Ally Dangote sio vijana wa Sa7ya kweli?Katika kipindi cha Mwezi mzima Kijana Ally Dangote Amekuwa akitafutwa kwakutekeleza mauaji ya watu mbali mbali katika maene o ya Longdong,Ungalimited na Sinon Kijana huyu alikuwa anatafutwa na Joshua la Polisi majira ya Leo mchana wanannchi Wenye hasira kali wamemtia Nguvuni na kumpokonya Uhai...
Unawapata wapi wanatembea na silaha za moto?Kwanini hakuna Mob Justice kwa mafisadi wa fedha za Umma na extra judicial killings chini ya baraka za serikali ? rejea watu kuokotwa kwenye viroba, Ben Saa 8, Azori & E.t.c ... Wezi wa kuku na viTVndio wanauwawa wa Matrillion wanasindikizwa na Escort hotelini
Hivi we jamaa upo serious kweli? Au mgeni nchi hii!Pole kwa familia,ndugu na jamaa,may his soul R.I.P.
Mob justice ni mbaya,wangempeleka mbele ya vyombo vya sheria,haki itendeke,ukute alisingiziwa au kafananishwa.
Huyo janja wacha wamuue ni mhuni mbaya.. nammanya kwetu Arusha ni kimbaka hatari ashakuwa na roho ya malaika izraeli. Amekulia mitaa ya uswahilini in short wananchi wamefanya kazi yao. Jela alishaenda sana na kutoka.Pole kwa familia,ndugu na jamaa,may his soul R.I.P.
Mob justice ni mbaya,wangempeleka mbele ya vyombo vya sheria,haki itendeke,ukute alisingiziwa au kafananishwa.
🤣🤣🤣🤣Unawapata wapi wanatembea na silaha za moto?
Nipo serious mkuu, ukute alifananishwa au labda ni yeye, ndo maana nikasema, ni vema angetiwa nguvuni, halafu afikishwe mbele ya vyombo vya sheria, haki itendeke. Hiyo mob justice, ingekuwa vema ikaelekezwa kwa wezi wa mali za umma, ambao wanajulikana na karibia kila mtanzania, ila sheria hazichukui mkondo wake, jamii ingeheshimika kuliko kumuua mtu tena yawezekana hakupewa hata nafasi ya kusikilizwa lakini ndo hivyo.Hivi we jamaa upo serious kweli? Au mgeni nchi hii!
Eti may his soul bla bla bla.... kwa jambazi muuaji