Kibaka maarufu, Ally Dangote atiwa mbaroni Arusha

Jembe Jembe

JF-Expert Member
Jun 9, 2016
749
1,797
Vibaka hatari waliokuwa wakisakwa kwa muda mrefu akiwemo kibaka maarufu,Ally Dangote wakihusishwa na matukio ya uporaji ,uvunjaji na wizi wa pikipili katika maeneo mbalimbali jijini Arusha, wamenaswa wakiwa na mali mbalimbali za wizi.

Katika operesheni iliyoendeshwa na polisi jamii wa mitaa mitatu ya Makaburi ya Banian,kanisani na Tindiga ilifanikisha kumtia mbaroni kibaka maarufu anayejulikana kwa jina la Ally Dangote(19) mkazi wa Unga limited jijini Hapa.

Operesheni hiyo pia ilimnasa mwizi hatari wa pikipiki Hashimu Kibwerezi(20)mkazi wa Osterbay ambapo baada ya kuhojiwa vibaka hao walikiri kujihusisha na matukio ya uporaji na kuonesha baadhi ya mali walizokuwa wakipora ambazo zimekamatwa.

Mwenyekiti wa kamati ya polisi jamii mtaa wa kanisani,Abubakari Seif alithibitisha kukamatwa kwa vibaka hao akidai ni mafanikio makubwa kwa kumnasa kibaka Dangote kwani kwa muda mrefu aliwasumbua sana wananchi kwa kupora na wizi wa vitu vyao nyakati za mchana na usiku.

Alisema kuwa mara baada ya kuwakamata na kuwahoji walikiri kujihusisha na matukio ya uhalifu katika maeneo ya Unga limited, Esso, Dampo, Ngusero kwa Morombo na Uswahilini.

Selfu alisema kuwa vibaka hao walitoa ushirikiano na kuonesha bidhaa walizopora kwa kuwapelekea kwa watu waliodai ni madalali ambao wamekuwa wakishirikiana nao kutenda uhalifu huo.

"Baadhi ya vitu tulivyovikamata ni pamoja na Tv Flat screen 3, Tv moja ya kawaida, Deck 1, Sabufa 2 na Mota moja ya kusukuma maji"alisema.

Akiojiwa katika ofisi ya polisi jamii ,Mtaa wa kanisani ,kibaka Ally Dangote alikiri kujihusisha na matukio ya wizi na uporaji na kueleza kuwa pindi anapofanikiwa kupora huwa anapeleka hiyo mali kwa watu aliodai ni madalali na kuviuza kwa bei ya maelewano.

"Naitwa Ally Dangote nimekuwa nikiiba na kuvunja kila siku tangia nikiwa mdogo hadi sasa ,tumekuwa tukivunja milango na kuchukua bidhaa na kupeleka kwa madalali na tumekuwa tukiuza kati ya sh,80,000 hadi 200,000"alisema

Alisema yeye ni mwizi mzoefu na ana wenzake ambao hushirikiana nao katika matukio hayo na kwamba amekuwa akipelekwa kituo cha polisi na kupelekwa gerezani lakini anapotoka huendelea na kazi yake kwa sababu hana kazi halali ya kufanya.

Akizungumzia njia anayotumia katika kutekeleza uhalifu anasema kuwa huwa anavizia na kuingia ndani kwa kasi ya ajabu pia nyakati za usiku au mchana huwa anavunja milango kwa kutuma vifaa maalumu na kisha huingia ndani na kuiba na mara nyingi kazi hiyo huifanya akiwa peke yake ila kuna maeneo humlazimu kuwashirikisha wenzake

Kibaka mwingine Hashimu alikiri wizi wa pikipiki kwa kushirikiana na vibaka wengine aliodai hujulikana kama makonkodi ambapo wamekuwa wakivizia waendesha pikipiki na kuwapora majira ya mchana au usiku .

Mwenyekiti huyo alidai kuwa operesheni ya kuwasaka vibaka wengine inaendelea na vibaka waliopatikana wamewakabidhiwa kituo cha polisi pamoja na vielelezo vyao kwa ajili ya uchunguzi zaidi.

Baadhi ya wananchi walioporwa bidhaa zao,Sadi Hamadi na Vivian Kimambo wamepongeza hatua ya kukamatwa kwa vibaka hao akidai wamekuwa tishio katika makazi yao na kulitaka jeshi la polisi mkoani hapa kushirukiana na polisi jamii katika doria maeneo yao ili kukabilia na na wimbi la vibaka kwakuwa hivi sasa wanaogopa hata kutoka nje usiku kwa kuogopa vibaka.

"Huyu Dangote ni hatari sana kukamatwa kwake tunaomba jeshi la polisi wasimwachie ametutesa sana "alisema Vivian

Kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Justine Masejo hakuweza kupatikana kuongelea tukio hilo.

714268466.jpg
 
Ni yupi apo kikt wale
 
Pole
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom