Sangomwile
JF-Expert Member
- Aug 17, 2012
- 3,227
- 1,105
Aisee,hii ni kama taarifa ya msiba kwa mtu wako wa karibu.
Kuna uzi ulishaletwa humu kwamba huyu boflo ni ME lakini sio rizki. ...Aliitwa kukanusha na hakutokea. ....
boflo mbona alishatibitisha kuwa siyo rizki, na hana maneno na mtu.
ME lakini a nafanya mambo ya KE
Ntakuwa wamwisho kuamini
View attachment 154492Mfano wa muonekano wa Bujibuji mashallah
Wewe mtoto bujibuji utatuuwa vinjemba nya jf Rich Pol njoo mwone bujibuji huku Excel njoo umwone totoz huku mnakosa bahati
Mkuu bado sijakupata vizuri, hapo umesema unamfahamu au umeeleza maana ya neno Bujibuji? Hii imenishtua kidogo...Wanajf sio mbaya kwa wale waliokuwa hawajui wakajuwa
Maana hii nyumba ni yetu sote bujibuji ni mwanamke mwenye makalio makubwa tena malaiiini sana na akitembea yanatetemeka sana
Akinyeshewa mvua ni balaaa au akitoka bafuni na kanga moja akiwa na majimaji mwilini
Cha ajabu avatar yake ni maarufu hapa jf na niyakiume kwanini mtoto mzuri kama bujibuji anaweka avatar ya kiume?
Kumbe kuna wanaume wengi pia wanatumia avatar za kike
Huu ni muda wa kuwaweka wazi kwa wale wanaowajuwa kama nilivyofanya kwa baby bujibuji.