mpalu
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 2,521
- 876
Uuuuwiiii. Naogopa kucheka niko gari ya watu.
hatari sana...Bujibuji a.k. a gilesi wa ukweli
Uuuuwiiii. Naogopa kucheka niko gari ya watu.
Wanajf sio mbaya kwa wale waliokuwa hawajui wakajuwa
Maana hii nyumba ni yetu sote bujibuji ni mwanamke mwenye makalio makubwa tena malaiiini sana na akitembea yanatetemeka sana
Akinyeshewa mvua ni balaaa au akitoka bafuni na kanga moja akiwa na majimaji mwilini
Cha ajabu avatar yake ni maarufu hapa jf na niyakiume kwanini mtoto mzuri kama bujibuji anaweka avatar ya kiume?
Kumbe kuna wanaume wengi pia wanatumia avatar za kike
Huu ni muda wa kuwaweka wazi kwa wale wanaowajuwa kama nilivyofanya kwa baby bujibuji.
Kuna watu mnajiamini.... mithili ya kuingia na roast ya kitimoto msikitini....
Atakuwa alimkagua,sasa sijui alimkaguaje
Lazima uishiwe pozi maana inasikitisha
Atakuwa alimkagua,sasa sijui alimkaguaje
inasikitisha, kuhuzunisha na kufurahisha...... Patamu hapo lol!
Ha ha ha
Nashangaa kawa mdogo kama punje ya haradali angejitokeza yaishe....
yaani hi imekuwa kali ya mwezi humu JFkwa vidole na macho
hahahah
bujibuji ni demu???
i can't believe my mouse
haaaaaaaa atulie hivo hivyo hadi tusahau asijitokeze...... Aibuuuu
Teh teh teh
Hebu zikumbuke tena zile swaga zake za kiume na za kike...
Duuuh JF kiboko
hahahahahaaa chezea mods wewe!!!
Halafu kuna mijike nayo inatumia id na swga za kiume ujueee
hahahahahaaa chezea mods wewe!!!
Halafu kuna mijike nayo inatumia id na swga za kiume ujueee
Dah, kumbe ni kweli, siku zote kwa maandiko yake nafikiri ni mwanamme.
hahahahahaaa chezea mods wewe!!!
Halafu kuna mijike nayo inatumia id na swga za kiume ujueee