asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
si kweli mm namfahamu Bujibuji ni pandikiza la jibaba limeenda hewani mithili ya twiga anavyojivutavuta
vp Gilesi humfahamu?
si kweli mm namfahamu Bujibuji ni pandikiza la jibaba limeenda hewani mithili ya twiga anavyojivutavuta
hebu tunong'oneze.........
hahahahahahahahaaaaaaa binamu umenichekesha kwelikweli?
vibaya hivyo Lady doctor
hahahahahaaa mie nangojeaga mods wafanye kazi yao..... Nisije fanyiwa harusi ya msuto kuvaa shera bila mume
Duh! hii ni aibu lakini kwa wazee wa kushinda PM............
Mkuu we hushindi huko?
Kama kule kwenu mtaa wa chini watu wa aina hiyo wamejaa kibao
unataka Evelyn Salt aniache mkuu?
Ha ha ha kanambia amehama kule now anafanya mafunzo ya ubatizo
Mkuu hulali?
nguvu unayotumia humu jukwaani , ungeielekeza kwenye Rasimu ya katiba , Tanganyika yangu tukufu ningeipata aseeeeh.............
We mbona hulali?
Umewezaje ku quote kama hujalala?
Btw Mi siitaki Tanganyika
Habari yako
Njema Mkuu kwema? Ulisema upo nchi gani? Nipo ng'ambo now...
Ha ha haaa niko +61 karibu sana
vp Gilesi humfahamu?
habari ndo hiyo binamu watu twachezeana akili humu ujue