Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,520
- 42,654
nimeshushuka.
But anyway, all this for what??
Ha ha ha hatujui kwakweli huenda wananufaika kiasi fulani
nimeshushuka.
But anyway, all this for what??
Tunaoijua JF ngoja tupite kimya kimya, naona watu mwashangaa mambo ya kawaida sana haya JF...
Avatars na ID's vyote ni fake, lakini uhalisia wetu katu haubadiliki...
Kazi kwenu wenye kupenda vya kunyongewa, ilihali vya kuchinja hamviwezi...
Hahahahaha mkuu Mimi dume tena la kinyakyusa sijawahi isaliti jinsia yangu kwa ID fake na wala sishindagi MMU wenye mambo hizo ni RAIA maarufu hapa MMU ndipo hutimizia malengo yao
mmmh keli ukistaajabu ya musa.........
Tunaoijua JF ngoja tupite kimya kimya, naona watu mwashangaa mambo ya kawaida sana haya JF...
Avatars na ID's vyote ni fake, lakini uhalisia wetu katu haubadiliki...
Kazi kwenu wenye kupenda vya kunyongewa, ilihali vya kuchinja hamviwezi...
LiverpoolFC siwezi kukanusha ukweli ni mwanamke tena mwenye ---- rojo sana mwanaume yeyote rijali lazima amtamani Bujibuji mkuu
Ha hà ha watu wamechoka aisee
tena tumechoka hasa
Hahahaha mkuu bado kuna sintofahamu coz jinsia zote amezitendea haki kwa ID zote labda Bujibuji aje aseme dhahiri yeye ke au me..
CC: DEMBA Evelyn Salt Madame B SHIEKA Ngalikihinja asakuta same grafani11 a.rahabu Heaven on Earth et al
mzee wa serikali 2 lusungo kuna nini kinaendelea hapa........?
Wakuu msameheni huyu Bujibuji si mmeona anavyo ishi kwa kujifichajificha mkiendelea kumsakama anaweza kuihama jamiiforums kabisa.
Aya bana..fake zone...fake name..fake account..fake evrythn!..mie napita hivii...