google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,667
- 13,876
life without information is nothing
Mkuu ni zaidi ya ngumu kumesa, imenipa shock kama siku niliyosikia kile kiwanja chetu pale Mianzini Arusha kimeshambuliwa na bomu aiseee...
Mkuu ni zaidi ya ngumu kumesa, imenipa shock kama siku niliyosikia kile kiwanja chetu pale Mianzini Arusha kimeshambuliwa na bomu aiseee...
Mzee umebadilisha namba yako ya simu nini? hupatikani kaka
Duuuh hii kali. Ukifanikiwa kupata namba ya simu itupie na sisi tujaribu bahati maana mimi ni mgonjwa wa makalioNinamfahamu mkuu
Alithibitisha kwa maneno yake mwenyewe au?
Wanajf sio mbaya kwa wale waliokuwa hawajui wakajuwa
Maana hii nyumba ni yetu sote bujibuji ni mwanamke mwenye makalio makubwa tena malaiiini sana na akitembea yanatetemeka sana
Akinyeshewa mvua ni balaaa au akitoka bafuni na kanga moja akiwa na majimaji mwilini
Cha ajabu avatar yake ni maarufu hapa jf na niyakiume kwanini mtoto mzuri kama bujibuji anaweka avatar ya kiume?
Kumbe kuna wanaume wengi pia wanatumia avatar za kike
Huu ni muda wa kuwaweka wazi kwa wale wanaowajuwa kama nilivyofanya kwa baby bujibuji.
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.
Mkuu wewe unaamini kuhusu suala la Bujibuji?Mkuu kwanza jthibitisha jinsia yako ukaguzi unaanzia hapa hapa usije kuwa Bujibuji
Mkuu grafani11 hii ni shock si kidogo maana kwa maelezo na majibizano na huyu jamaa alikuwa anajibu kiumeni zaidi sasa kuniambia ni Ke hapo nashindwa kumesa
Kweli mkuu hii nizaidi ya ile habari ya kiwanja chetu kupigwa kitu kizito
Sijabadilisha mkuu ni ile ile na haitobadilika kabisa mkuu nipo bana
Mmmmhhhh...mbona majangaboflo mbona alishatibitisha kuwa siyo rizki, na hana maneno na mtu.
Amejibu shutuma zake au ameingia mitini? Nimejaribu kufuatilia toka mwanzo bado sijaona uzi wake bila shaka kuna harufu ya ukweli...
Ipo jukwaa gani mkuu?
Ok. Ngoja nichungulie kidogo nione...Nafikiri la photo inasema bibi harusi nafikiri mkuu
Nimeiona mkuu, ahsante.Nafikiri la photo inasema bibi harusi nafikiri mkuu