Siji kutongoza mwanamke yoyote humu kumbe watu wanatabia ya kutumia majina ya kike kumbe wanaume au majina ya kiume kumbe wanawake .Haya majanga kwa kweli
Ni kweli kabisa ushahidi Upo hapa, https://www.jamiiforums.com/mahusia...fanyeje--------yasitingishike-nitembeapo.html
Mi ninakataa kabisa, Bujibuji Ni mwanaume.