CYBERTEQ
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 7,341
- 4,076
hahaaa, jf kiboko. ama kweli uwongo ni kazi, lazima siku moja utaumbuka tu!
lakini Bujibuji ?!! staki kuamini kwamba wewe ni mwanamke mkuu, kama ni kweli basi wewe ni mwanamke wa shoka tena mwenye maono mapana sana, kwa heshima na taadhima kabisa ningeomba kufahamiana na wewe lau nikuone.
Natanguliza shukrani.

Last edited by a moderator: