Aayaaah BUJIBUJI kumbe ni wa KIKE

Aayaaah BUJIBUJI kumbe ni wa KIKE

bujibuji hawezi kuomba ushauri wa vile,kuna kitu amelenga zaidi ya msaada.get to know,
kila kitu unachokiona hakiko kama kilivyo!
 
Nlikuwa nimelala mkuu lusungo nimeamka na kupata shock ya moyo. BUBUji ni mwana Jf pekee ambaye ni rafiki yangu na ni mwanaume nashangaa huo uzi wa giLesi umekuwa merged na Id yake!

Hahaha basi ndio yeye mkuu ni demu jamaa teh
 
Last edited by a moderator:
bujibuji hawezi kuomba ushauri wa vile,kuna kitu amelenga zaidi ya msaada.get to know,
kila kitu unachokiona hakiko kama kilivyo!

Isome hyo sentensi yenye red itakupa jibu; we are virtual, no way to tell whats real whats not!
 
No, sijawahi onana nae uso kwa uso but at least I can tell he is a bloke

kama haujaonana naye mkuu utawezaje kumsemea, labda kama ulishawahinkuongea naye japo kwa simu. ujue hata mimi nimeshtuka nikajua huenda hiyo post alipost tu kuchangamsha jukwaa, lakini nilipotembelea profile yake nimeona vitu kadhaa vinavyoonesha kuwa huenda kweli ni female.
 
50/50 mkuu, ikiwa ni F basi anajirahid sana kujiblend
 
Nlikuwa nimelala mkuu lusungo nimeamka na kupata shock ya moyo. BUBUji ni mwana Jf pekee ambaye ni rafiki yangu na ni mwanaume nashangaa huo uzi wa giLesi umekuwa merged na Id yake!

Angekuja mwenyewe kutueleza. ...Ila nahisi huyu alikuwepo kwenye ile white party na ni kidume haswaa......
 
Last edited by a moderator:
Mods wameamua kukomoa. ..Nashangaa mpaka muda huu hawajaufuta huu uzi kama wanavyofanyaga kwenye nyuzi nyingine.
 
Jirani tatizo ni kwamba wengi wa members hapa huichukulia JF kwa mitazamo tofauti...

Wapo ambao hupita tu kupata habari, wapo ambao huifanya JF ni kijiwe cha porojo, wengine ndio sehemu ya kusaka michuchu n.k...

Sasa kwa mantiki hiyo ni ngumu sana kudeal na personalities za watu humu, maadam mtu hakupunguzii wala kuongeza chochote, just ignore em...

Mimi kuna watu kadhaa hapa nawajua ID's zao nyingine lakini nimechagua kuwa kimya kwa kuwa hawasababishi maafa yoyote...

Am still wondering, all this for what?

Pamoja na benefit ya anonymity ya JF ID bado tu??

Nimechoka ghafla jirani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom