Aayaaah BUJIBUJI kumbe ni wa KIKE

Aayaaah BUJIBUJI kumbe ni wa KIKE

Halafu imebidi nikachungulie activities zake za leo, inaonesha Bujibuji yumo humu lakini hataki kujibu:

Last Activity: Today 18:40

Aisee.... umeguswa sana na hii kadhia iliyomkuta mr/miss? BUJIBUJI
 
Last edited by a moderator:
jamani hebu muacheni mpenzi wangu Bujibuji inatosha sasa! mpotezeeni mwanaume mwenzenu looh

Mwanaume yupi nani alikudanganya bujibuji ni mwanaume Eshy m.s hamis tu kwangu niwamiliki wote wewe na bujibuji
 
Last edited by a moderator:
yule kamanda aliyejiyolea kula ban kwasababu yampigamsuli anaitwa nani vilee!?? inabidi tumuenzi


Mkuu yule nae alikua walewale nayeye alipata haki yake alikuwa anatumia ID ya senator001 baadae ikabainika ni Perry tunashukuru ile wiki ilirudisha heshima jukwaa la Elimu si unaona kulivyotulia?
 
Last edited by a moderator:
User Name: Bujibuji
User Title: JF Senior Expert Member
Last Activity: Today 19:45

Kumbe dakika kumi zilizo pita baby alikuwa anachungulia tu nyuzi
Baby buji njoo usipoteze bahati
Njoo nitakulea mimi
 
Kumbe dakika kumi zilizo pita baby alikuwa anachungulia tu nyuzi
Baby buji njoo usipoteze bahati
Njoo nitakulea mimi




User Name: Bujibuji
User Title: JF Senior Expert Member
Last Activity: Today 19:52
 
Acha kuhangaika na hao mashemale njoo ujitulize kwangu halafu ujue jf nzima nakuonaga wewe tu na ujue tumeanzia mbali kipindi kile cha airtel yatosha.

mmmh isijekuwa ni mdada unanienjoy tu hapa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom