Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe amesema yeye hakuondoka CHADEMA bali alifukuzwa.
Kupitia ukurasa wake wa twitter amesema kuwa alifukuzwa bila kikao cha Halmashauri Kuu, bali ilikuwa barabarani tu.
Amesema anachukulia hilo kama sehemu ya harakati, na hajabeba chuki kwa tukio...