zitto

  1. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari wawataka CCM bara, Lissu na Zitto na watu wa bara waache kuongelea mambo ya Zanzibar

    Mida hii niko hapa darajani Zanzibar nakula urojo Kama kawaida hapa siasa huongelewa hadi basi huku watu wakipata urojo Wanaongelea mambo ya serikali umoja wa kitaifa Zanzibar wanasema hayo mambo waachiwe wenyewe wazanzibari sababu uchaguzi wa Zanzibar pekee sio wa muungano hivyo sio sahihi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Zitto na Lissu kuzungumza na Waandishi wa Habari kwa pamoja kesho saa 8 mchana kuhusiana na yaliyojiri baada ya Uchaguzi Mkuu

    TAARIFA: Kiongozi wa @ACTwazalendo, @zittokabwe na Makamu M/kiti wa @ChademaTz, @TunduALissu kuzungumza katika Mkutano wa pamoja na waandishi kesho Novemba 23, 2020 saa 8 mchana kupitia Zoom kuhusu kilichojiri baada ya Uchaguzi TZ na Umuhimu wa Jumuiya za Kimataifa kwa Tanzania. ===== Dear...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi: Kati ya pesa na heshima ya nchi yetu, tutasimamia heshima. Tuko tayari kuwasikiliza na kujadiliana kwa heshima

    Prof Kabudi ambaye ni waziri wa mambo ya nje amesema Tanzania haiwezi kuyumbishwa na vitisho vya kunyimwa misaada. Kabudi amesisitiza kuwa Tanzania ni nchi huru inayoheshimu utu wa mtu na kamwe haitayumbishwa na nchi yoyote kwa vitisho vya kukatiwa misaada. Kuhusu uchaguzi Prof Kabudi amesema...
  4. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Kesho Mahakama inatoa amri ya kuachiwa Mazrui

    "Polisi wanajibu hoja, kesho tunatarajia mahakama itatoa Amri ya kuachiwa Nasoro Mazurui. Sisi viongozi wa ACT- Wazalendo hatutalala hadi tuhakikishe viongozi wote waliokamatwa kwa hila wameachiliwa" Zitto Kabwe Amenukuliwa Zitto kabwe kiongozi mkuu wa ACT-Wazalendo kupitia ukurasa rasmi wa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Lissu na Zitto kuipaka matope na kuisaliti Nchi yake hakujafanywa na mpinzani yeyote Duniani

    Kitendo cha Lissu na ZItto kutembea nchi za Nje na kuipaka matope na kuisaliti nchi yake na wananchi wake ni kitendo cha kinyama na ajabu na hakuna Mwanasiasa wa Upinzani Dunian aliyefanya aibu hiii. Tumewashuhudia wapinzani wazalendo Dunian kama akina Raila , Joe Biden, Julius Malema etc ...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Zitto na Maalim Seif, Mkijiunga na Serikali ya Kitaifa huko Zanzibar nyinyi ni wasaliti!

    Kwako ndugu Zitto Kwako ndugu Maalim Wazanzibari wameona! Afrika imeona! Dunia Imeona! Dhulma ya kutisha waliyofanyiwa Wazanzibari, torture, mauaji, uporaji wa dhahiri haki ya wazanzibari kuchagua viongozi wao. Halafu leo hii kwa sababu ya vyeovyeo na maslahi yatokanayo na vyeo hivyo nasikia...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Hadi sasa wafuasi 13 wa ACT-Wazalendo wamepoteza maisha kwa vurugu za uchaguzi

    Kwa upande wetu @ACTwazalendo na kutokana na Taarifa tulizokusanya mpaka sasa: Wananchi 13 wameuawa kwa kupigwa risasi na mabomu katika maeneo mbalimbali ya Zanzibar, Watu 130 Wamejeruhiwa, Watu 120 Wamekamatwa na Polisi, mtu Mmoja Amebakwa na Watu 14 Wametekwa Akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa Chama...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Polisi wavamia Ofisi za ACT-Wazalendo Vingunguti alizokuwepo Zitto Kabwe

    Jeshi la Polisi @tanpol wamevamia Ofisi ya ACT -Wazalendo Kata ya Vingunguti ili kumkamata Kiongozi wa Chama, Zitto Kabwe aliyekuwa Ofisini hapo kuratibu Maandamano kwa Njia ya Buguruni kuelekea Tume ya Taifa ya Uchaguzi ===
  9. W

    JamiiForums Tanzania Kwani demokrasia ni kuchagua wabunge wa CHADEMA na ACT-Wazalendo?

    Ndugu zangu, Baada ya Watanzania kutafsiri kwa vitendo umuhimu wa maendeleo ya watu na vitu kumeibuka mjadala mpya wa eti kwa sababu wagombea wa ACT na CHADEMA hawajachaguliwa basi hakuna demokrasia. Hivi demokrasia ni lazima kuwe na wabunge mchanganyiko? La hasha! Kama hawata kaa chini...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

    MATOKEO - LIVE: Wakuu, Tunawaletea matukio na matokeo rasmi kwa nafasi ya Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yatakavyokuwa yakitangazwa. Orodha rasmi ya wagombea wanaowania Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kama ilivyo kwenye karatasi ya kupigia kura) 1...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto Kabwe apoteza jimbo la Kigoma Mjini

    Mgombea wa CCM jimbo la Kigoma mjini, Kilumbe Ng'enda ametangazwa mshindi baada ya kupata kura 27, 688 huku Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo akipata kura 20, 600. Akitangaza matokeo hayo msimamizi wa uchaguzi, jimbo hilo Mwailwa Pangani amesema kura zilizopigwa ni 50268. Zitto: Licha ya kuingiza...
  12. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Wanashangilia Meli ya DRC, Kigoma hamna meli toka Uhuru

    Amesema meli iliyopokelewa leo kwa mbwembwe na wanaCCM si ya Tanzania bali ni mali ya DRC. Ameongeza kuwa ni aibu Tanzania kutokuwa na meli na kutegemea ya DRC Chanzo: Zitto kabwe on all social media
  13. W

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Katiba ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na Maalim Seif siyo Wanachama tena

    Ndugu zangu, Katiba ya ACT Wazalendo inapinga mwanachama kumuunga mkono mgombea asiye mwanachama wa ACT. Fuatilia mwenyewe hapa chini, Bernard Membe akitumia vema turufu anaweza kuwavua uanachama hawa "wavamizi" ndani ya ACT.
  14. F

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa viongozi/wanasiasa wa juu

    Siasa zenye tija na manufaa kwa nchi yetu. Vyama vyote vya siasa vyenye nia njema na watu wa Nchi hii ni muda muafaka kutembelea maeneo ya vijijini na vitongojini ili kujionea hali ya maendeleo, bado changamoto ni kubwa sana tena kwenye yale mambo ya msingi kabisa hasa Maji, Umeme, Afya, Elimu...
  15. Dam55

    JamiiForums Tanzania GE2020 Siasa za Zitto: Serikali imegawa dawa ya Salfa ili kuua zao la korosho

    Anaandika mhe Zitto Kabwe mbobevu wa siasa za Tanzania na mtetezi wa watanzania. Mwaka huu Serikali ya CCM imeamua kuua kabisa zao la Korosho kwa kugawa dawa ya Salfa ambayo inakausha mikorosho. Wanasema wanawakopesha Wakulima Mfuko shs 32K kwa Ruzuku wakati Mfuko sokoni ni shs 35K. CCM wanatoa...
  16. Zitto

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto: Kura yangu nafasi ya Urais nitampigia Tundu Lissu (CHADEMA)

    MSIMAMO RASMI WA ACT WAZALENDO KUSHIRIKIANA NA CHADEMA. Hivyo basi, baada ya maelezo hayo, natangaza rasmi kwa Wanachama, Wafuasi, wapenzi wa ACT Wazalendo na Watanzania kwa Ujumla, kuwa: 1. Pale kwenye Kata ama Jimbo ambalo ACT Wazalendo tuna Mgombea, tunaomba Muwapigie Kura wagombea wa ACT...
  17. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto Kabwe kuunguruma Kigoma leo kwenye Mkutano wa Kampeni

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia ACT-Wazalendo, Ndugu Zitto Zuberi Kabwe atahutubia mkutano wa hadhara wa kampeni katika Kata ya Bangwe leo Oktoba 16, 2020. Zitto ambaye pia ni Kiongozi wa Chama anatarajia kuwaeleza wananchi hatima ya kura za mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano...
  18. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amempigia simu na kumpa pole Zitto Kabwe

    Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli amempigia simu na kumpa pole Mhe. Zitto Zuberi Kabwe aliyepata ajali ya gari jana Mkoani Kigoma.
  19. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe apata ajali Mkoani Kigoma, asafirishwa kwa ndege kwenda Dar

    Kiongozi wa chama ndugu Zitto Kabwe amepata ajali mida hii huko Kigoma kusini akiwa na watu wengine wanne jumla watu 5 wote wazima japo kiongozi ana majeraha anapelekwa hospitali habari zaidi kufuata baadaye. ====== Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ndugu Zitto Zuberi Kabwe amepata ajali...
  20. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ndugu Zitto wakati unagombea mwaka 2015, uliahidi kutoa mikopo kwa vijana hususani waendesha pikipiki

    Leo nataka kuteta kidogo na Ndugu Zitto Kabwe,Kijana uliejizolea umaarufu mitandaoni na kuyasahau matatizo ya wananchi wanyonge katika jimbo lako la Kigoma Mjini. Hakika umekuwa machachari kwa kujenga hoja,kukosoa Serikali ,kuponda na hata kutukana na kubeza kila kitu kinachofanywa na serikali...
Back
Top Bottom