Wewe hapo unaesoma uzi huu ukipata mtoto ama tayari unae:
Haoni na hasikii
Hajitambui
Utindio wa ubongo
Ugonjwa wa kumfanya ahudumiwe kila kitu
Kwako wewe kutoka moyoni mwako, hii ni zawadi kutoka kwa Mungu?
Wikiendi hii timu ya mpira wa miguu ya Medeama ya nchini Ghana ilimenyana na timu ya mpira wa miguu ya Bechem
Mpaka dakika tisini zinakwishwa matokeo yalikuwa Bechem 1-2 Medeama
Chakufurahisha katika mechi hiyo Medeama walitanguliwa na Bechem Kwa goli moja amabalo lilisawazishwa na Jonathan...
Baada ya miezi mitano (5) tangu Msimu wa Tatu wa Stories of Change 2023 ulipotangazwa, kuanza na baadaye kufuatiwa mchakato wa Majaji kufanya uhakiki wa Vigezo vilivyowekwa, hatimaye usiku wa leo Oktoba 7, 2023, Washiriki waliofanikiwa kujishindia zawadi mbalimbali watafahamika/julikana.
Kuhusu...
Bado GENTAMYCINE naendelea kuzitibu Kucha zangu kwani nimezitesa katika Kuchakura Zawadi za Mchogo Pesa katika Majaba na nimeishia Kukosa na kuambulia Mchubuko mikononi kwani Michanga ilikuwa Mibichi na Imeshindiliwa Kunakotukuka.
Ila Clouds FM na hii Bahati Nasibu yenu ya Mchogo Pesa leo...
Lazima usome... mwanamke mmoja aliyeolewa alikuwa akitarajia zawadi ya siku ya kuzaliwa kutoka kwa mumewe.
Kwa miezi mingi alikuwa amevutiwa na pete nzuri ya almasi kwenye chumba cha maonyesho, na akijua mume wake angeweza kumudu, alimwambia kwamba hiyo ndiyo tu alitaka. Siku yake ya kuzaliwa...
Nilikuwa napitia hotuba mipasho ya Mwenyekiti wa CCM Taifa Samia Suluhu Hassan kwa vyama vya siasa. Samia anasema, "ndio maana tumetoa fursa hiyo ili vyama viende kwa wananchi mkajijenge mkue. Hatukutoa fursa hiyo ili mkatukane, kukashifu nakadhalika".
Samia tambua kuwa mikutano ya hadhara kwa...
Hizi ni chemsha bongo tatu tu ,na atakae patia chemsha bongo zote tatu bila kukosea namba hata moja, atapata zawadi ya Vocha ya mtandao atakao taka papo hapo.
Zinaenda kwa mfumo wa maswali hivo kuwa makini, Fikiria kabla hujajibu.
SWALI LA KWANZA
Je , ukiwa ndani ya mashindano na ukampita mtu...
Wadau wa jamii naomba kujua hili,
Je, ni sahihi kumwambia partner wako kwamba una zawadi ambayo alikupatia ex wako?
Hii taarifa ni sahihi kushare na partner wako au ni bora kukaa kimya au kutupa/kugawa zawadi uliyopewa na ex?
Mara nyingi huwa unatokea ugomvi linapokuja suala la kugawana pesa ya zawadi kati ya wachezaji. Ni vizuri zawadi igawiwe kwa kuzingatia mchango wa kila mmoja ili kila mmoja avune kwa kadri ya jasho lake. Hii ni kazi ngumu sana, lakini ni vizuri ukitumika utaratibu unaozingatia mchango wa kila...
Waafrica we are too selfish just imagine unazaliwa Hadi unakufa bila kuacha Jambo lolote la maana hapa Duniani .
MTU Kama Mama Teresa Hawa watu wamekufa ni Muda mrefu lakini majina Yao yanaishi kama wapo hai.
Tupambane tuwaze Sana kitu Cha kuiachia hii Dunia Mtu Kama Robert Heriel Mtibeli na...
Zawadi Inayoitwa Maisha:
Safari Yangu Kutoka kwa Uraibu wa Heroin Hadi Kupona Kujiunga na ukarabati ulikuwa uamuzi bora zaidi ambao nimewahi kuchukua. Sikuzote nilisema kwamba sitawahi kutumia dawa za kulevya. Nikitazama nyuma, nilifanya kila kitu nilichosema singefanya. Mara ya kwanza...
Yaani nimezaliwa tarehe kama ya leo unanipa zawadi au hela kwamantiki gani? Kwamba unanipa zawadi kwa kuzaliwa? Unanipa hela sababu nimezaliwa leo?
Sijaelewa naomba kueleweshwa.
Siku zote nilisema kwamba sitawahi kutumia dawa za kulevya. Nikitazama nyuma, nilifanya kila kitu nilichosema singefanya. Mara ya kwanza nilipotumia dawa za kulevya, nilianza na bangi. Sikuipenda, lakini niliizoea. Sikujisikia vizuri ikiwa sikuitumia. Nilikuwa na kazi nzuri basi; palikuwa...
Kwa mwenendo wa nchi yetu ulivyo sasa.
Itoshe tu kusema,endelea kupumzika kwa amani mheshimiwa John Joseph Pombe Magufuli.
Imefikia mahali mpaka watesi wako wanakumiss huku duniani.
Kila niamkapo asubuhi naihoji nafsi yangu nilikua wapi? Nakosa jibu.
Ninapoaanza kunyanyua mwili wangu nasikilizia utimamu wa afya yangu ninajiuliza, ni kipi kinachonistahilisha afya hii njema, ili hali nimekua nikila junk food regularly na kulala na balimi kumi kichwani kila siku na kufika...
Moja ya mbinu ambazo hutumika na 'wawekezaji' wenye nia ovu ni kuandaa safari za nje ya nchi za 'kuwaelimisha' wafanya maamuzi wa nchi husika.
Safari hizi huambatana na ukarimu wa hali ya juu kwenye mahoteli ya kisasa na utalii wa maeneo mbalimbali ya kuvutia kwenye hizo nchi.
Pamoja na hayo...
UONGOZI wa Young Africans Sports Club umetoa taarifa ya kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Me. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa hafla ya kuipongeza klabu hiyo kwa kucheza mchezo wa Fainali ya Kombe la Shikirisho la CAF, Msimu huu.
Katika taarifa hiyo mbali na mambo mengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.