Kati ya aliyempa Zawadi ya Jezi Balozi wa Uingereza yenye Jina lake na lenye Cheo chake nani ana Akili na nani hana Akili?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
57,947
112,392
Hongereni sana Uongozi wa Simba SC kwa Kumbeshimisha Mheshimiwa Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bw. David Concar kwa Kumzawadia Zawadi ya Jezi yenye Jina lake kwa nyuma.

Poleni sana kwa Wengine kwa kuendelea kuwa Washamba kwa Kumzawadia Mheshimiwa Balozi huyo wa Uingereza Jezi yenye Jina ( Cheo cha Balozi ) kwa nyuma.

Ni Akili ya Kawaida tu ukitaka Kumheshimisha Mtu yoyote ( na hii ni psychologically proved ) ni kwamba ukilitaja Jina lake au Kuliandika anafurahi zaidi.

Sasa unampa Zawadi ya Jezi Balozi wa Uingereza nchini Tanzania yenye Cheo chake cha BALOZI umeambiwa Balozi David Concar atakuwa Balozi wa Uingereza hapa nchini Tanzania Milele? Je, akija Balozi mpya bado Klabu yenu itakuwa imemheshimisha Balozi huyu wa sasa Bw. David Concar aliyewatembeleeni tu kwa bahati mbaya na kutoa Lawama kuwa ana Upendeleo kwani ukweli ni kwamba Klabu iliyokuwa ipo katika Schedule yake ya kuitembelea ni ya Simba SC iliyo ya 7 kwa Ubora Afrika, iliyotoka Kushiriki Michuano mikubwa Barani Afrika ( ya AFL ) na siyo ile ya 18 kwa Ubora Afrika na iliyokosa kuingia Makundi ya CAFCL kwa miaka 25 ( tokea mwaka 1998 )

Kidogo mngeandika Balozi Concar ningewaona mna Akili ila kwa Kuandika tu Cheo cha BALOZI katika Jezi ni kuonyesha kuwa hampo vizuri kwa Mambo makubwa makubwa, ya Kimataifa na yanayohitaji Akili Kubwa na Exposure ili kuweza Kuyakabili.

Hongereni sana Viongozi wa Chama langu Simba SC kwa kuonyesha Utaalam, Ubobezi na Uweledi katika Mambo ya Kimataifa ( Diplomasia ikiwemo ) na GENTAMYCINE sikushangaa nilipoona mkimkabidhi Zawadi ya Jezi Mheshimiwa Balozi yenye Jina lake Mgongoni la David Concar ALIFURAHI mno na kule Kwingineko walipomzawadia Jezi yao ( Dawa ya Mbu ) yenye Cheo chake cha BALOZI kwa nyuma aliipokea huku akiwa AMENUNA huku Mshamba Mmoja aliyekuwa pembeni yake akiwa anacheka akidhani yuko Kwao Hergeisa na Mogadishu.
 
Screenshot_2023-11-01-07-20-01-54.jpg
dish limecheza
 
... Bw. David Concar aliyewatembeleeni tu kwa bahati mbaya na kutoa Lawama kuwa ana Upendeleo kwani ukweli ni kwamba Klabu iliyokuwa ipo katika Schedule yake ya kuitembelea ni ya Simba SC iliyo ya 7 kwa Ubora Afrika, iliyotoka Kushiriki Michuano mikubwa Barani Afrika ( ya AFL ) na siyo ile ya 18 kwa Ubora Afrika na iliyokosa kuingia Makundi ya CAFCL kwa miaka 25 ( tokea mwaka 1998 )
Upo sahihi kabisa, ametamka mwenyewe kuwa yupo impressed na uelekeo wa Simba SC, ambayo amesema already ni top club in Africa yenye ambition ya kuwa stronger...

Hongereni sana Uongozi wa Simba SC kwa Kumbeshimisha Mheshimiwa Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bw. David Concar kwa Kumzawadia Zawadi ya Jezi yenye Jina lake kwa nyuma.

Poleni sana kwa Wengine kwa kuendelea kuwa Washamba kwa Kumzawadia Mheshimiwa Balozi huyo wa Uingereza Jezi yenye Jina ( Cheo cha Balozi ) kwa nyuma.

Ni Akili ya Kawaida tu ukitaka Kumheshimisha Mtu yoyote ( na hii ni psychologically proved ) ni kwamba ukilitaja Jina lake au Kuliandika anafurahi zaidi.

Sasa unampa Zawadi ya Jezi Balozi wa Uingereza nchini Tanzania yenye Cheo chake cha BALOZI umeambiwa Balozi David Concar atakuwa Balozi wa Uingereza hapa nchini Tanzania Milele? Je, akija Balozi mpya bado Klabu yenu itakuwa imemheshimisha Balozi huyu wa sasa Bw. David Concar aliyewatembeleeni tu kwa bahati mbaya na kutoa Lawama kuwa ana Upendeleo kwani ukweli ni kwamba Klabu iliyokuwa ipo katika Schedule yake ya kuitembelea ni ya Simba SC iliyo ya 7 kwa Ubora Afrika, iliyotoka Kushiriki Michuano mikubwa Barani Afrika ( ya AFL ) na siyo ile ya 18 kwa Ubora Afrika na iliyokosa kuingia Makundi ya CAFCL kwa miaka 25 ( tokea mwaka 1998 )

Kidogo mngeandika Balozi Concar ningewaona mna Akili ila kwa Kuandika tu Cheo cha BALOZI katika Jezi ni kuonyesha kuwa hampo vizuri kwa Mambo makubwa makubwa, ya Kimataifa na yanayohitaji Akili Kubwa na Exposure ili kuweza Kuyakabili.

Hongereni sana Viongozi wa Chama langu Simba SC kwa kuonyesha Utaalam, Ubobezi na Uweledi katika Mambo ya Kimataifa ( Diplomasia ikiwemo ) na GENTAMYCINE sikushangaa nilipoona mkimkabidhi Zawadi ya Jezi Mheshimiwa Balozi yenye Jina lake Mgongoni la David Concar ALIFURAHI mno na kule Kwingineko walipomzawadia Jezi yao ( Dawa ya Mbu ) yenye Cheo chake cha BALOZI kwa nyuma aliipokea huku akiwa AMENUNA huku Mshamba Mmoja aliyekuwa pembeni yake akiwa anacheka akidhani yuko Kwao Hergeisa na Mogadishu.
Hii jezi yenye cheo chake akihamishwa au kuondoka inabidi aiache maana hiyo ni ya ofisi ili atakayekuja aitumie, yenye jina.lake ni yake ataondoka nayo na ni kumbukumbu nzuri sana kwake
 
Kuna utofauti, Simba wametoa zawadi kwa mtu binafsi ila Yanga wametoa zawadi kwa taasisi (balozi)
Faida ipo kwa Yanga kwasababu ile jezi itakaa ofisini, hata ikitokea huyo balozi kastaafu, au kaacha kazi au kaamishwa basi ile jezi itabakia kuwa sehemu ya kumbukumbu pale ofisini. Cheo cha ubalozi hakistaafu, kitabakia ofisini milele ila mtu hufa, huama, huacha kazi, n.k.
 
What a poor thinking.....!!
 
Hongereni sana Uongozi wa Simba SC kwa Kumbeshimisha Mheshimiwa Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bw. David Concar kwa Kumzawadia Zawadi ya Jezi yenye Jina lake kwa nyuma.

Poleni sana kwa Wengine kwa kuendelea kuwa Washamba kwa Kumzawadia Mheshimiwa Balozi huyo wa Uingereza Jezi yenye Jina ( Cheo cha Balozi ) kwa nyuma.

Ni Akili ya Kawaida tu ukitaka Kumheshimisha Mtu yoyote ( na hii ni psychologically proved ) ni kwamba ukilitaja Jina lake au Kuliandika anafurahi zaidi.

Sasa unampa Zawadi ya Jezi Balozi wa Uingereza nchini Tanzania yenye Cheo chake cha BALOZI umeambiwa Balozi David Concar atakuwa Balozi wa Uingereza hapa nchini Tanzania Milele? Je, akija Balozi mpya bado Klabu yenu itakuwa imemheshimisha Balozi huyu wa sasa Bw. David Concar aliyewatembeleeni tu kwa bahati mbaya na kutoa Lawama kuwa ana Upendeleo kwani ukweli ni kwamba Klabu iliyokuwa ipo katika Schedule yake ya kuitembelea ni ya Simba SC iliyo ya 7 kwa Ubora Afrika, iliyotoka Kushiriki Michuano mikubwa Barani Afrika ( ya AFL ) na siyo ile ya 18 kwa Ubora Afrika na iliyokosa kuingia Makundi ya CAFCL kwa miaka 25 ( tokea mwaka 1998 )

Kidogo mngeandika Balozi Concar ningewaona mna Akili ila kwa Kuandika tu Cheo cha BALOZI katika Jezi ni kuonyesha kuwa hampo vizuri kwa Mambo makubwa makubwa, ya Kimataifa na yanayohitaji Akili Kubwa na Exposure ili kuweza Kuyakabili.

Hongereni sana Viongozi wa Chama langu Simba SC kwa kuonyesha Utaalam, Ubobezi na Uweledi katika Mambo ya Kimataifa ( Diplomasia ikiwemo ) na GENTAMYCINE sikushangaa nilipoona mkimkabidhi Zawadi ya Jezi Mheshimiwa Balozi yenye Jina lake Mgongoni la David Concar ALIFURAHI mno na kule Kwingineko walipomzawadia Jezi yao ( Dawa ya Mbu ) yenye Cheo chake cha BALOZI kwa nyuma aliipokea huku akiwa AMENUNA huku Mshamba Mmoja aliyekuwa pembeni yake akiwa anacheka akidhani yuko Kwao Hergeisa na Mogadishu.
Kwa ujio huu wa Balozi Naiona simba inaenda kupata fungu zito la kumalizia uwanja wa Mo simba Arena.. ni muda tu
 
Hii jezi yenye cheo chake akihamishwa au kuondoka inabidi aiache maana hiyo ni ya ofisi ili atakayekuja aitumie, yenye jina.lake ni yake ataondoka nayo na ni kumbukumbu nzuri sana kwake
Ni kama Simba wamemlenga mtu mmoja kwa wakati atakakuwepo, na pengine jezi kaishapeleka nyumbani kwake kwasababu ni mali yake.
Ila ni kama Yanga wamelenga kuifanya kundi kubwa la watu ijue. Jezi italazimika kukaa ofisini, wageni wakija ni lazima watahitaji kujua kuhusu hiyo jezi iliyotundikwa ukutani, pia akija balozi mpya lazima atataka kujua kuhusu hiyo jezi kutoka kwa mtangulizi wake. Kwa kumbukumbu kwa mlengwa huenda Simba wamewin ila kwa kuitangaza timu Yanga wamewin
 
Back
Top Bottom