Mikutano ya hadhara sio fursa wala zawadi, Rais Samia lijue hili

Desprospero

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
887
2,201
Nilikuwa napitia hotuba mipasho ya Mwenyekiti wa CCM Taifa Samia Suluhu Hassan kwa vyama vya siasa. Samia anasema, "ndio maana tumetoa fursa hiyo ili vyama viende kwa wananchi mkajijenge mkue. Hatukutoa fursa hiyo ili mkatukane, kukashifu nakadhalika".

Samia tambua kuwa mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa sio fursa unayotoa wewe na kundi lako (Serikali), hapana. Hilo ni takwa la Katiba si hisani. Usidhani tumenywea kirahisi kwa kumbukumbu ya Magufuli. Ova!
 
1-si fursa (ya kuomba kupewa kwa kupiga magoti),
2-si zawadi kwa vyama "vikajikuze" kwa wananchi.
🤔🤔🤔🤔🤔🤔😄😄😄😄😄
 
CCM hujiona wao ndio wamestahili kutawala na kuimiliki Tanzania, yaan upinzani wanaonwa kama wavamiz wa Nchi!
 
Back
Top Bottom