zao

Jujube (), sometimes jujuba, known by the scientific name Ziziphus jujuba and also called red date, Chinese date, and Chinese jujube, is a species in the genus Ziziphus in the buckthorn family Rhamnaceae.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Serikali iwahurumie waliofanya kazi private. Itoe tamko wapewe stahiki zao

    Serikali iruhusu watu waliofanya kazi private kuchukua mafao yao badala ya kusubiri miaka 60 ya kustaafu kwan mikataba ya private ni ya mda mfuli mf. Mwaka mmoja, miwili au mitano. Mtu aruhusiwe kuchukua hela zake kama ilivokua wakati wa Kikwete. Watu wapewe stahiki zao hata kama mtu...
  2. Anapost wanaume walionunua magari na chattings zao status wakati mimi niko kwenye hali ngumu kiuchumi

    Mens niko kwenye ndoa miaka 3,tangu mwaka jana nimekua kwenye hali isiyo nzuri financially,sasa majuzi nacheki status naona wife kapost mwanaume rika langu kanunua ndiga akapost na chattings zao za kupongezana. Sikuona wivu kwamba jamaa rika langu kavuta chuma mimi sina ila nilifedheheka baada...
  3. LATRA njooni Mbagala, wenye mabasi ya kwenda Kusini wanajipangia nauli zao

    Habari za muda huu. Nawasihi na kuwaomba LATRA mkoa wa Pwani wake huku Mbagala stendi ya shamba, maana haya magari ya kwenda Mkuranga, Kibiti, Kimanzichana mpaka Rufiji wao wamejipangia nauli zao. Mfano Jana abiria wa Kimanzichana Mbagala wamelipishwa nauli 4,000 wakati nauli Hali ni 3,100 tu...
  4. R

    Wanaficha costs za safari na sababu ya kuwa huko maana Watanzania wamekuwa wakilalamika matumizi ya hovyo ya fedha zao

    Haiwezekani Second on Top nationa l ranking administratively/power atoke nchini for 30 days halafu uwaambie wenye akili eti alikuwa kwenye kazi maalum. Watu si wajinga wajue! 1. Mnaficha gharama z safari be it matibabu or else other bussiness 2. Mnaficha ugonjwa Yatajulikana maana huko...
  5. Fatah wasema Israel haitaweza kuimaliza Hamas. Ni sehemu ya harakati zao kuikomboa Palestina

    Waziri mkuu wa Palestina katika serikali ya Mahmoud Abbas ameweka wazi kuwa Israel inajidanganya kusema inataka kuwamaliza Hamas. Hiyo haitatokea. Akizungumza na CNN, Mohammad Shtayyeh amesema Hamas ni sehemu ya harakati za wapalestina kwa hivyo haiwezekani na haikubaliki kuwamaliza. Kauli...
  6. Kwanini wamasai wengi wameridhika na kazi za ulinzi? Je, huwa ni ndoto zao?

    Walinzi wengi ni wamasai na wanaonekana kuipenda na kutokuchoshwa na kazi hii ya ulinzi , je ndiyo ndoto yao kubwa na yenye sifa?
  7. Kwanini Watanzania wengi hawafanikiwi kutokana na kazi zao?

    Dr. John C. Maxwell ni Mwalimu mashuhuri wa uongozi duniani. Kabla ya kufika barani Afrika, aliamini yafuatayo kuhusu mafanikio, kwamba: 1. Mafanikio yanatokana na kufanya kazi kwa bidii. 2. Wamarekani wanaongoza kwa kufanya kazi kwa bidii. Lakini baada ya kufika Afrika, alibadilisha mtazamo...
  8. Niliwahi kusema hapa propaganda za viongozi wa Simba kuna siku wataumbuka na sasa arobaini zao zimefika!

    Viongozi wa Simba wamekuwa wakiishi kwenye tabia za ovyo sana kwenye kuendesha klabu yao, uongo uongo umekuwa sehemu ya maisha yao kwa muda mrefu wakiwadanganya wanachama wao mambo mengi na kwa bahati mbaya ni wanachama wachache wenye akili timamu waliokuwa wanagundua ilo jambo! Viongozi hawa...
  9. Waafrika mnaibiana wenyewe. Huu ni ukweli. Wanasiasa wanafilisi nchi zao

    Siasa za weusi ni nyeusi tii Kwa mfano nauli mpya mwananchi anaunafuu gani. Wanasiasa wanamiliki magari nauli kupanda mbunge anabariki tu. Huku akionheza madaladala. Ni nani anasimama kumtetea maskini
  10. Pauline Gekul ni zao la malezi ya Chadema, rejea Mahojiano ya Dkt. Slaa na Dar24

    Dkt Wilbroad Slaa alipoulizaa kuhusu suala la Tundu Lissu kupigwa risasi,anasema "siwezi kuzungumzia sababu utekaji upo ndani ya Chadema" “Kuna watu wananiuliza kuhusu Tundu Lissu kupigwa risasi, kuwa sipendi kulizungumzia hilo kwa kuwa sina taarifa zake za uhakika. “Nitoe mfano iliwahi...
  11. U

    Je, Mabinti wa Mtume wetu walipofariki walizikwa na Waume zao?

    Wadau hamjamboni nyote? Ndugu zangu wapendwa naambiwa Mtume wetu Mohamed wakati wa uhai wake hapa duniani alijaaliwa kupata Mabinti kadhaa ambao walibahatika kuolewa. Naomba kujua kama suala hilo ni kweli je Mabinti hao walipofariki walizikwaje? Na Waume zao au Baba yao? Karibuni tujadili...
  12. A

    Zipi sababu za waume wengi kufa mapema kuliko wake zao?

  13. L

    Karakana ya Luban yasaidia vijana wa Afrika kutimiza ndoto zao

    Miaka 600 iliyopita, baharia wa China Zheng He aliongoza kikosi cha majahazi kusafiri hadi kwenye pwani ya mashariki ya Afrika mara nne, na kwamba Njia ya Hariri Baharini ilishuhudia historia ndefu ya mawasiliano kati ya China na Afrika. Miaka 600 baadaye, karakana za Luban zilipewa jina la...
  14. Nje ya Arusha Mjini na Mbeya Mjini kuna miji gani mingine wazawa wa asili wameziachia sana fursa ziende kwa majirani zao?

    Arusha Mjini - wazawa asili Kuna Wameru na Waarusha, niliwahi kuishi hapo miaka mitano, cha ajabu kilichonishangaza ni kwamba Mji huu kwenye mambo ya fursa upo kwa majirani zao Wachaga wa Moshi, niliweza kufanya uchunguzi kwenye mambo kama hotel nyingi sana za Wachaga, Kampuni nyingi za utalii...
  15. Simba wamalize tofauti zao, migogoro haitawasaidia

    Ni wakati wa kumaliza tofauti zenu baada ya kufungwa na mtani wenu kwa idadi ya mabao mengi {1-5} Maisha lazima yaendelee, haikuwepo sababu ya msingi kumtimua kocha Robertinho mzee wa Objective football, Takwimu zinaonesha amepoteza mechi moja tu tangu ajiunge nanyi kama Head coach. -Hakuna...
  16. Tuache unafiki, karibu kila Mtanzania kawahi kwenda kwa mganga ama kununua dawa zao ila wengi tunafanya kwa siri

    Kama hukuwahi kwenda unaeza ukajikuta unaenda siku moja aisee, Matatizo yakikupata unahaha mpaka unakufuru ili upate nafuu ukashawishika kwenda kwa mtaalam, wengine ndio mwanzo wa kupeleka kila shida kwa mganga ila wengine wakijionea sanaa zao huwarudi tena. Kuna wataalam wa kweli lakini wengi...
  17. N

    KERO BRELA huduma zao mbovu hadi uwahonge pesa ndio wanakamilisha kazi yako

    Ndugu zangu watanzania, sisi wajasiriamali tunaojaribu kufuata sheria na kuwa complied na sheria za Nchi tunapitia mengi sana. Wakati wa JPM ulikuwa ukifanya returns BRELA au mabadiliko yoyote kwenye kampuni yako ulikuwa unapata huduma kwa haraka sana. Nina miezi mitatu nimefile BRELA returns...
  18. Wasio na choo bora kujengewa na Serikali kwa fedha zao wenyewe

    Serikali ya Halmashauri ya Wilaya ya Momba imewaagiza watendaji wa vijiji na kata kutumia sheria ndogo za maeneo yao kutoza faini kwa wananchi ambao hawana vyoo bora na kuzitumia katika ujenzi wa vyoo bora kwa kaya ambazo zimetozwa faini hiyo kwa usimamizi mkali wa Serikali zao kwa kushirikiana...
  19. Mchengerwa: Rais Samia ni zao la jitihada za Bibi Titi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema taifa linajivunia utendaji kazi wa Mhe.Rais Dkt. Samia Suluhu, ambaye ni zao la hamasa ya Hayati Bibi Titi Mohamed katika kuwahamasisha wanawake nchini kushika nafasi za juu za uongozi...
  20. M

    Zitto Kabwe: ACT Wazalendo imehujumiwa wazi uchaguzi wa Mtambwe

    Hii ni kali. 👇 "Tumeshuhudia hujuma za wazi Uchaguzi wa Mtambwe; tena katika wakati ambao nchi ipo kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa(SUK), wananchi wametulia na ipo Kamati ya Maridhiano ya Vyama vinavyounda SUK. Haikutarajiwa uhuni huu katika zama hizi."
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…