Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,126
4,169
Hii ni kali.
👇

"Tumeshuhudia hujuma za wazi Uchaguzi wa Mtambwe; tena katika wakati ambao nchi ipo kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa(SUK), wananchi wametulia na ipo Kamati ya Maridhiano ya Vyama vinavyounda SUK. Haikutarajiwa uhuni huu katika zama hizi."

Zitto.png
 
Huyu jamaa ana mambo ya ajabu,ni juzi tu amenukuliwa akisema hawezi kuacha kuingia kwenye uchaguzi,hata kama tume huru hakuna,katiba mpya hakuna wala mazingira hayaridhishi,halafu anazuga analalamika.Yeye atulie,CCM wakitaka kumpa Jimbo,wampe,wakikataa abaki tu kama mwanasiasa ambaye ni average.Huyu jamaa inasemekana ni mlafi sana wa pesa,huo ndiyo udhaifu wake,hata JPM ameondoka akimjua hivyo.
 

Analalamika nini? Kwani alitegemea jambo la tofauti? Viongozi wa vyama vya upinzani nao ni pasua kichwa, unategemea usawa katika nchi inayotukuza uchawa?
 
Snich tu huyo yaaan wakiweka jiwe na huyo zito nachagua jiwe.Hakuna kitu kinaniuma kama kunseama marehem wakati alipo kua hai hilo domo lake lilikua kimya kafa ndo akafungua bakuri lake ngese kabisa huyo.
 
Chadema imejaa wapumbavu wengi sana wanajiona wao ndio wapinzani pekee na wengine wote wanawaona ni CCM! Majinga sana kwa sababu ni vigumu na haiwezekani wapinzani wengine wote wafuate njia zao.
Waache ujinga huo.
 
Back
Top Bottom