Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 2,209
- 4,706
Wadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu wapendwa naambiwa Mtume wetu Mohamed wakati wa uhai wake hapa duniani alijaaliwa kupata Mabinti kadhaa ambao walibahatika kuolewa.
Naomba kujua kama suala hilo ni kweli je Mabinti hao walipofariki walizikwaje? Na Waume zao au Baba yao?
Karibuni tujadili tukitoa ushahidi kupitia maandiko matakatifu
Lugha zisizo na staha hazitakubalika