zanzibar

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Hussein Mwinyi tushaondolewa CAF, Usije ukaifanya Zanzibar Mkoa

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Zanzibar imeondolewa kwenye mashindano ya CAF.Sasa Mh.Rais Dr Hussein Mwinyi utambue tu kuwa Zanzibar ni nchi ndani ya Muugano. Usije kutuweka kwenye ramani ya kuwa mkoa wa 32 wa Tanzania. Maana maoni ya wengi hapa wametufananisha na mikoa...
  2. JamiiForums Tanzania Zanzibar kuvuliwa uanachama wa CAF hii imekaaje kisiasa?

    Habari wadau..! Nyinyi niwajuvi na maguru wa siasa ,je hili swala la Zanzibar kutolewa shirikisho la mpira la CAF na kutoshiriki mashindano yote ya CAF limekaaje kisiasa?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Hussein Mwinyi wa Zanzibar, naomba nikukosoe kwa staha; usingilie Mahakama

    Udhalilishaji na Madawa ya kulevya ni tatizo kubwa katika nchi yetu, sote tunawajibu wa kuwafichua wadhalilishaji. Natoa maagizo kwa Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini yoyote atakae kamatwa kwa kosa la madawa ya kulevya au udhalilishaji nasisitiza asipewe dhamana. Ziara: Donge Chechewe Huu ni ujumbe...
  4. JamiiForums Tanzania Shaka amvaa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar; "Haiwezekani unahoji leo ushindi wa CCM ukiwa sehemu ya Serikali unahudumiwa kwa kila kitu''

    "Kuna watu wanasema eti Dkt. Hussein Mwinyi ameshinda kwa wizi, wanasahau kuwa CCM ni Chama kikubwa, kina mipango, uratibu unaeleweka, atambue msemaji wa hayo amehifadhiwa na kusitiriwa na Serikali ya CCM na sivinginevyo" "Haiwezekani unahoji leo ushindi wa CCM ukiwa sehemu ya serikali...
  5. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Msichana wa kazi abakwa na Boss wa Miaka 74, Polisi wadaiwa kupoteza Ushahidi

    MSICHANA WA KAZI KABAKWA NA MZEE WA MIAKA 74 AMBAYE NI BOSS WAKE MKAZI WA BUBU, ZANZIBAR, POLISI WADAIWA KUPOTEZA KESI! Mheshimiwa Rais Hussein Mwinyi aombwa Kuingilia kati sheria ifuate mkondo Bubu, Zanzibar. Mzee Sadalla Juma Sadalla mwenye umri wa miaka 74 mkazi wa Bubu, Zanzibar...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Zanzibar | Special Thread

    Nimehisi nijaribu kuanzisha huu uzi kwa ajili ya kupeana support ya baadhi ya changamoto. Kwa wale wote wanaoishi Zanzibar au wanaopanga kwenda kuishi Zanzibar, Au kwa wale wanaotaka kwenda kwa ajili ya matembezi na menginayo. Hii thread tutasaidiana kwa ajili kuelekezana mambo tofauti ikiwemo...
  7. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya Zanzibar yataja siku za utoaji wa chanjo dhidi ya ugonjwa wa kipindupindu

  8. JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mwani kinavyowaliza Wakulima Zanzibar. 'Tunapata ulemavu wa Migongo'

    Na Gaspary Charles WAKULIMA wa mwani kisiwani Pemba wameiomba serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kuingilia kati upatikanaji wa soko la zao hilo ili kuwanusuru na hali ngumu ya maisha wanayokabiliana nayo kutokana na wanunuzi kusitisha ununuaji zao hilo. Hayo yamebainishwa na wanakikindi cha...
  9. JamiiForums Tanzania Zanzibar inasubiri idhini ya Samia kuagiza chanjo ya COVID-19

    Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Mazrui alisema afya sio jambo la muungano ila kwa suala la chanjo inabidi wafanye kazi kama #jamhuri kwa kuwa mashirika ya kimataifa yanatambua #Tanzania Bara na #Zanzibar kama nchi moja, kwa hivyo hawawezi kupata chanjo kwa kutengwa. My Take: Bado naona...
  10. JamiiForums Tanzania A third force in Zanzibar Politics A.M.Babu

    Nyaraka kutoka kwenye old archive:
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Zanzibar hawana Zanzibar air?

    Hivi masuala ya anga ni ya Muungano? Zanzibar hawawezi anzisha shirika Lao la ndege?? Hatuwezi rekebisha wakawa na shirika lao la ndege? Binafsi naona kama Utalii sio suala la Muungano basi na masuala ya biashara ya ndege na anga itenganishwe..ibaki kwenye ulinzi Tu... Zanzibar ikiwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali Zanzibar kuendelea kuwahudumia majeruhi ajali iliyoua wanne Shinyanga

    Unguja. Makamu wa Rais Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amesema Serikali itaendelea kuwahudumia majeruhi waliopata ajali katika basi la kampuni ya Classic mkoani Shinyanga. Ajali hiyo ilitokea Juni 2, 2021 katika kijiji cha Buyubi kata ya Didia mkoani Shinyanga baada ya dereva wa basi hilo...
  13. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Wageni kutoka nchi tisa watafanyiwa vipimo vya haraka kabla ya kuingia

    Wizara ya Afya ya Zanzibar imetangaza watu kutoka nchi tisa ambazo tayari zimethibitisha kuwa na maambukizi ya virusi vipya watalazimika kufanyiwa vipimo vya haraka kabla ya kuingia Zanzibar Nchi zilizotajwa ni India, Uganda, Marekani, Uingereza, Peru, DR Congo, Afrika Kusini, Ufilipino na Brazil
  14. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Kila Mzanzibar anayetaka Chanjo ya COVID-19 atapata, hakuna mgeni ataingia bila cheti cha Vipimo vya Corona

    Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Afya wa serikali ya Mapinduzi , Mh Nassoro Mazrui , lengo ni kudhibiti maambukizi ya wimbi la tatu Bado haijafahamika kama wageni kutoka Tanganyika nao watahusishwa au la . Chanzo : ITV ==== WANAOINGIA ZANZIBAR SHURTI CHETI CHANJO YA COVID-19...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Gari iliyotumika Zanzibar na yenyewe inakaguliwa ubora na TRA

    Nawasalimu nyote na napenda kuulizia nina gari yangu ambayo nilikuwa naitumia huku Kwa wazee wa Madrasa na natarajia sasa kurudi nyumbani bara. Je ukiachana na malipo ya kawaida ambayo ni salio la Kodi, nalazimika pia kupitia mlolongo wa ukaguzi chini ya TRA? Kama ndivo nijipange make nimeona...
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya Heri James kuwa DC, Mwenyekiti Mpya wa UVCCM kutokea tena Zanzibar?

    Ikumbukwe kwamba Kabla ya Heri James kuwa Mwenyekiti wa UVCCM nafasi hiyo ilishikwa na Hamad Masauni, japo baadaye aling'olewa kwa kashfa ya kufoji umri, baada yake akaja Sadifa, ambaye rekodi yake ya lugha chafu sidhani kama itakuja kuvunjwa. Hawa wote walitoka Zanzibar. Sasa swali langu ni...
  17. JamiiForums Tanzania Dkt. Shein aongoza Kikao cha Kamati Maalum - Zanzibar

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Ndg. Ali Mohamed Shein leo Juni 19, 2021 ameongoza kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kiswandui Kikao hicho kilihudhuriwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg. Hussein Ali H...
  18. JamiiForums Tanzania Sheikh Farid: Tunashukuru tumeachiwa ni mwanzo mwema wa Rais Mwinyi na Samia

    Sheikh Farid: Tunamshukuru Mwenyezi Mungu, kiufupi tunashukuru sisi tumeachiwa lakini huu ni mwanzo mwema ya busara ya marais wetu, Rais wa Zanzibar na Rais wa Tanzania, Amiri Jeshi mkuu, mama Samia Suluhu. Wamefanya busara kubwa sana kuondoa hii hali ya mtanziko ya muda mrefu sana wa hii Kesi...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Masheikh wa Uamsho wafutiwa kesi, warejea uraiani

    Bismillahir Rahmaanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA SHEIKH MSELEM SHEIKH FARID WAKO NYUMBANI ZANZIBAR Masheikh zetu wawili wako majumbani kwao na familia. Tutaendelea kukupeni taarifa awamu kwa awamu. Lengo ni kutoa taarifa za kweli na zilizozingatia mambo yote muhimu. Aidha viongozi wa...
  20. JamiiForums Tanzania Tanganyika tunalipa Kodi mara 2 Zanzibar wanalipa Kodi mara 1

    Ukinunua gari Zanzibar utalipa Kodi na ukifika Tanganyika utalipa tena kubwa tu, na sio gari tu fridge, TV, Simu n.k Ni hivi ni rahisi kuingiza vitu Zanzibar kutoka nje hasa falme za Kiarabu lakini si rahisi kuvitoa Zanzibar kuviingiza bara. Tuendeleee na mazungumzo au tuachane nayo?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…