zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Gharama za imported goods kuwa chini kati ya Tanganyika na Zanzibar sio jambo jipya

    Leo nimeona mjadala mkubwa umekuwa ukiendelea kuhusiana na utofauti wa bei ya lita moja ya mafuta kati ya Zanzibar na Tanganyika. Na picha zikisambaa mitandaoni kuonesha Zanzibar lita moja ni 2600+ TZS wakati Tanganyika ni 3100+ TZS, huku swali kubwa likiwa inakuaje bei iko chini Zanzibar...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Bei ya petroli Zanzibar ni Tsh 2600 kwa lita. Bara bei ipo juu zaidi

    Kudadadeeeki walahi ayaaaaa ukisikia kulamba asali ni huko zenji aiseeeee ina maana vita vya ukraine effects zake hazifiki zenji? hivi kule wamachinga walitimuliwa? Sitashangaa kusikia hata mfumuko wa bei haujaathiriwa na vita vya ukraine au nchi mbili tofauti hizi?
  3. T

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour Zanzibar, Arusha na Dar es Salaam ni kupoteza muda na Gharama

    Uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour Marekani ni sahihi kabisa ila kuzindua Filamu Zanzibar, Arusha na Dar es Salaam ni kupoteza muda. Kama serikali ilikua serious ilipaswa filamu hiyo baada ya kuzinduliwa Marekani, ikazinduliwe Ulaya na Kisha Asia kama Japan, China, South Korea, Malaysia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Gerson Msigwa yupo sawa? Baba wa Rihanna akistaafu atakuja kuishi Zanzibar itasaidia nini Watanzania?

    Msikilize hapa huyu Mkuu wa kitengo cha Maelezo. Anajitambua kweli? 👇
  5. JamiiForums Tanzania Kuhusu kumiliki ardhi Zanzibar, wengi hatukumwelewa Rais Hussein Mwinyi

    Nimepitia kurasa kadhaa katika mitandao ya kijamii kama Facebook, magroup ya WhatsApp na Jamii Forums watu wakiijadili kauli ya Rais WA Zanzibar Dr. Hussein Ally Mwinyi alioitoa akikisisitiza kwamba Mtanzania Bara haruhusiwi kumiliki ardhi KISIWANI Zanzibar. Wengi wa wachangiaji wameonekana...
  6. JamiiForums Tanzania Muungano na Kitabu cha Watoto Kuhusu Zanzibar: The School Trip to Zanzibar

  7. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo na Miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    TAARIFA YA MIAKA 58 YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR. 1. UTANGULIZI Ni historia ya kupigiwa mfano kwa Taifa letu kwamba tunaadhimisha miaka 58 ya Muungano wetu. ambapo nchi mbili huru, Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, ziliungana rasmi siku ya tarehe 26-04-1964...
  8. JamiiForums Tanzania Anaweza kuelezea faida za muungano aje atuambie. Je Tanganyika ingekosa fursa zipi Kama Zanzibar wangeungana na Kenya?

    Tumelishwa imani nisiyojua nini maana yake. Licha ya Tanzania kuungana na Zanzibar bado Mombasa wana maingiliano makubwa ya kitamaduni na Unguja na Pemba nadhani kuzidi hata Dar es Salaam. Je, Nani anaweza kufafanua manufaa ambayo Tanganyika imeyapata kutokea muungano ya kiuchumi, kisiasa na...
  9. JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya Muungano 2022: Rais Samia asamehe wafungwa 3,826

    Katika kuadhimisha Miaka 58 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Rais Samia Suluhu Hassan amewasamehe wafungwa wapatao 3,826 kwa masharti mbalimbali Msamaha huo utahusisha Wafungwa wanaotumikia adhabu kwa makosa ya usafirishaji wa Dawa za Kulevya ambao wamekaa gerezani kuanzia miaka 20 na...
  10. JamiiForums Tanzania Boti iliyookotwa Zanzibar hii hapa, Wanajeshi waifanyia uchunguzi baada ya hofu ya mabomu

    Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja ambae pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa huo, Rashid Hadid Rashid amesema hakuna mabomu yaliyokutwa katika boti iliyookotwa kando kando mwa fukwe ya bahari ya Bwejuu kama ilivyodhaniwa na baadhi ya wavuvi walioisogeza boti hiyo ufukweni RC...
  11. JamiiForums Tanzania Asasi za Kiraia: Kukosekana kwa Mifumo Imara chanzo Wanawake kukosa haki za Uongozi Zanzibar

    ZANZIBAR IMEELEZWA kuwa kukosekana kwa mifumo imara inayotoa fursa sawa za upatikanaji wa haki za msingi kwa wanawake na wanaume katika jamii nyingi nchini ndio chanzo cha wanawake wengi kukosa uwezo wa kusimama kudai haki zao na kushiriki kikamilifu katika ngazi mbalimbali za maamuzi. Hayo...
  12. JamiiForums Tanzania Deputy Head of Zanzibar Office-NOC at UNDP

    BACKGROUND As one of the original eight pilot countries for the UN Reform initiative Delivering as One, Tanzania is a global leader in advancing reforms of the UN system, with a view to support accelerated harmonization in implementation practices, coherence in programming, and alignment with...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Tangu tupate Uhuru ni mara ya kwanza sherehe za Muungano kuhudhuriwa na Marais wote kutoka upande wa Zanzibar

    Sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hufanyika kila mwaka. Ni kawaida rais wa JMT na rais wa Zanzibar kuhudhuria. Mwaka huu kwa mara ya kwanza viongozi Wakuu wote ni kutoka upande wa Zanzibar yaani wote (top two) ni Wazanzibari. Muungano halisi uko wapi hapo. Anyways, hakuna ubaya ni...
  14. JamiiForums Tanzania Zanzibar imewahi kutawaliwa na mwanamke karne ya 17

    Mnamo mwaka 1696 hadi 1698 utawala wa Unguja unatajwa kuwa uligawanyika ambapo aliyekuwa mtawala wa Zanzibar Kaskazini alikuwa ni Malkia Fatuma binti Yusuf al-Alawi. Fatuma alikuwa mtoto wa mfalme wa Unguja, Yusuf. Utawala wa Fatuma ulikuwa katika kipindi ambacho wareno walikuwa wanataka...
  15. JamiiForums Tanzania Uzembe wa madereva watajwa kuwa chanzo kikuu cha ajali za barabarani Zanzibar

    ASILIMIA 48 ya wahojiwa kuhusu ajali za barabarani, kisiwani Zanzibar wameeleza kwamba uzembe wa madereva ni kati ya chanzo kikuu cha ajali za barabarani, huku asilimia 27 wakisema ni kutozingatiwa sheria za barabarani. Takwimu hizo zimebainishwa hivi karibuni Mkoani Dar es Salaam, kwenye...
  16. JamiiForums Tanzania Tanganyika hatuna chetu kwenye mapato na usimamizi wa utalii Zanzibar, hili swala la Mnaijeria linakuwaje la muungano?

    Inakuwaje watu wa bara wanashadadia, kupambania na kuutetea ugali ambao hawana mgao wake. Kuna binti mnaijeria alikuja Zanzibar mwaka jana kusherekea birthday yake, she claims that angebakwa isingekuwa kusingizia ana ukimwi ila hata hivyo bado aliibiwa takribani milioni 2.4, alipoenda polisi...
  17. JamiiForums Tanzania Kamisheni ya Utalii Zanzibar kuchunguza Madai ya Mtalii kutoka Naijeria kudhalilishwa kingono

    Zanzibar’s Commission for Tourism has come out to respond to an explosive account of assault shared online by a Nigerian woman on her experience at a ritzy hotel on the island last year. Zainab Oladehinde, through her Twitter account on Saturday, narrated her 23rd birthday celebration at Warere...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Zanzibar kwenye Muungano

    Je, Wazanzibar wanaomba kupitia ajira portal hii au kuna ajira portal yao? Nimeona nafasi za TRA usaili ulifanyika DSM, Dodoma na Zanzibar. Hao waliofanya usaili Zanzibar walipatikanaje? Naomba muongozo
  19. JamiiForums Tanzania Ufafanuzi: Kwanini ukinunua kitu Zanzibar, ukija nacho Tanzania Bara unatakiwa kulipia kodi?

    Hii kitu inaumiza sana , Tanganyika na Zanzibar ni nchi 2 tofauti tujue kabisa ! Mtu unanunua gari Zanzibar ukija bara unadaiwa tena ushuru , kwanini ? Wataalamu wa Kodi mnaweza nielezea hili kwa nini iwe hivi ? Kama sisi ni nchi 2 tofauti tuelewe basi
  20. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Mwanaume afikishwa Mahakamani kwa kukata viuno hadharani

    Zanzibar ni nchi ya kiislamu? === Maulid Hussein Abdallah maarufu kama Mauzinde (29) amefikishwa Mahakama ya Mwanzo katika Kijiji cha Mwera Wilaya ya Magharibi Unguja Kisiwani Zanzibar, kwa tuhuma ya kukata viuno hadharani. Kijana huyo mkazi wa Rahaleo anatuhumiwa kutenda kosa hilo huko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…