zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA yatangaza kusudio la kuweka Mgombea Urais wa Zanzibar

    Taarifa hii imetolewa leo na Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho upande wa Zanzibar Mh. Salum Mwalimu Mjini Zanzibar alipokuwa akiongea na Waandishi wa Habari. ===== TAMKO LA KUTANGAZA NIA KUWANIA NAFASI YA RAIS WA ZANZIBAR KUPITIA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) Chama Cha Demokrasia...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kwenda utalii nchi jirani ya Zanzibar. Naombeni utaratibu

    Nafikiria kwenda Zanzibar kutalii. Naomba kufahamu maeneo mazuri ya kutalii. Gharama zikoje kwa sasa na mahala pazuri pa kulala ambako sio ghali. Mahala ambapo ntapata room double isiyozidi 200k per day. Kwa ujumla Zanzibar sijawahi kufika nataka kwenda kutalii angalau siku 2 au 3 nijionee...
  3. JamiiForums Tanzania Kimenuka: UVCCM Zanzibar warejesha kadi Kisiwandui, kumbe walitapeliwa kwamba watapewa ajira, imebainika ni uongo!

    Chama cha Mapinduzi Zanzibar kimepata pigo kubwa baada ya mamia ya Vijana wa uvccm waliotumikishwa kwa miaka mingi kwenye sekta ya Mazombie na Janjaweed kuzinduka na kuanza kukumbushia ahadi walizopewa na viongozi wao , kwamba watapatiwa ajira . Leo baada ya danadana za kipindi kirefu...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akutana na Rais Zanzibar, mzee Mangula na Dr Bashiru Ikulu Dodoma

    Rais Magufuli ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM amekutana na Rais wa Zanzibar Dr Shein ambaye pia ni makamu wa mwenyekiti CCM huko visiwani. Katika kikao hicho alikuwepo pia mzee Mangula na Dr Bashiru Ally. Baada ya kikao hicho Rais Shein alienda kuweka udongo kwenye jiwe la msingi la ujenzi wa...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi 2020 Zanzibar: Prof. Mbarawa vs Dr. Mwinyi, nani namba zinambeba?

    Kama tunavyojua kuwa 2020 Dr Shein atakuwa anafikia muhula wake wa mwisho wa uongozi visiwani Zbar, kinyang'anyiro cha kumpata mrithi wake kinaweza kikatawaliwa na 'wababe' hawa wawili yani Dr Mwinyi na Prof Mbarawa. Sasa nimekuja kwenu wachambuzi wa maswala ya siasa mtoe uchambuzi wenu kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC): Hatuwezi kubeba lawama kwa wananchi kukosa Vitambulisho vya Mzanzibar mkaazi kwani sio Mamlaka yetu

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Jaji mstaafu Hamid Mohamoud Hamid, amesema Tume hiyo haiwezi kubeba lawama kwa wananchi kukosa Vitambulisho vya Mzanzibar mkaazi kwani hiyo sio Mamlaka yake kwa mujibu wa sheria. Akizungumza na Waandishi wa habari, Ofisi ya Tume ndogo ya Uchaguzi...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna siku CCM Zanzibar ilipata tabu kama tarehe 25 - 28 Oktoba, 2015

    Kama mtakunbuka hali ilikuwa tete Zanzibar kwenye kinyanganyiro cha uchaguzi wa 2015 Zanzibar. CCM ilikuwa na hali Mbaya katika Maeneo yote. Uwe po Wa GNU kilikuwa kikwazo cha kwanza. Kukataliwa kwa ccm na wazanzibari kilikuwa kikwazo cha pili. GNU kuliinyima CCM Zanzibar bar Uhuru...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Rais wa Zanzibar 2020 aweje?

    Heri za Siku kuu ya Eid na Baraka tele za Mfungo wa Ramadhan. Poleni kwa kupambana na maisha na Ugonjwa thikili wa Corona. Sasa wakati wa kufuma viongozi watakao iongoza ama kuitawla nchi zetu mbili ndani ya Jamuhuri ya Muungano umefika. Ila jioni ya leo nitajihusisha upandewa Zanzibar. na...
  9. JamiiForums Tanzania Aliyetoa taarifa juu ya dhuluma ya vitambulisho Zanzibar akamatwa na Polisi

    ZANZIBAR: ALIYELALAMIKIA ZOEZI LA VITAMBULISHO AKAMATWA NA POLISI Mkazi wa Jundamiti Kiwani Kisiwani Pemba, Abdalla Khamis Muhammed (Tuba) anashikiliwa na Polisi Mkoa wa Kusini Pemba kwa madai ya kufanya uchochezi baada ya kudai kitambulisho cha Mzanzibar Mkaazi. Mohammed ni miongoni mwa...
  10. JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu Zanzibar kufunguliwa Juni Mosi, Michezo kuanzia tarehe 5 Juni, 2020

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inaungana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhakikisha kuwa kuanzia tarehe 01 juni, 2020 vyuo vyote vya elimu ya juu vitafunguliwa na kuendelea na programau zao kama kawaida kwa upande wa Zanzibar. Hayo yameelezwe na Makamo wa pili wa Rais...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar sees economic opportunities in East Africa's economic bloc

    ZANZIBAR remain committed to main- tain and strengthen relations in East African Community (EAC) and other regional blocks as it sees more economic opportunities for its development, says the State Minister (State House) Mr Issa Haji Ussi. Talking about Zanzibar's position in regional blocks...
  12. 5

    JamiiForums Tanzania Barakoa ni Lazima Zanzibar

  13. JamiiForums Tanzania Human Resources Officer at Zanzibar Insurance Corporation

    Zanzibar Insurance Corporation was established on the 20th June, 1969 under the Public Enterprises Decree of 1966 legal Notice no. 11 of 1969. It is now operating under the Public Investment Act No.4 of 2002. The Corporation is a Parastatal Organization owned by the Revolutionary Government of...
  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM Zanzibar imekata pumzi. Iko tayari kukubali yaishe??

    Asalam aleykum JFs Hivyo ndivyo tunaweza kusema kuwa pumzi sasa ndani ya ccm na serikali yake imekata. Iko tayari kukubali yaishe. Katika moja ya habari inayosambaa mitandaoni kupitia Tv online ya Dar Mpya inaonesha katibu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu akiongea na waandishi wa habari...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Wawakilishi Zanzibar wamjia juu Waziri kwa kumkashifu mtume wa waislamu, wamlazimisha aombe radhi!

    Wajumbe wa baraza la wawakilishi Zanzibar wamemshukia kama mwewe waziri asiye na wizara maalumu kwa kumkashifu mtume. Wawakilishi hao wamesema mbunge huyo wa kuteuliwa na Rais kutoka chama cha upinzani amekuwa fedhuli na mwenye tabia ya kishenzi hivyo wao kama waislamu na siyo wawakilishi...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Rais Shein: Katazo la Shule kufungwa na michezo Zanzibar liko palepale hali ikiwa nzuri mtaambiwa na michezo na shule zitafunguliwa

    Rais wa Zanzibar Dr Shein amesema katazo la michezo nchini mwao liko pale pale na kwamba hali ya mapambano ya Corona ikiwa nzuri wananchi wataambiwa na michezo na shule zitafunguliwa. Dr Shein amesema Zanzibar ina mipango yake na haiwezi kuiga nchi zingine ila watajitahidi ili wawe wanaenda kwa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika ubuyu wa Zanzibar

    Wana jamvi, Naomba mnisaidie kunielekeza jinsi ya kupika ubuyu wa Zanzibar ule unao kuwa mlaini maana mimi nilijaribu lakini unatoka mgumu hauwi mlaini na wenye unga, nifanye nini?. ========= Jinsi ya kupika Ubuyu Mahitaji. 1. Sukari vikombe 2 2. Maji vikombe 2 3. Nusu kikombe unga wa...
  18. JamiiForums Tanzania Je, kati ya Zanzibar na Seychelles, kipi ni kisiwa kizuri zaidi kwa ajili ya kula raha?

    Kuna baadhi ya watalii waliowahi kutembelea Zanzibar pamoja na Seychelles, wanasema kwamba Zanzibar inavivutio vingi na vizuri vya utalii ila tu havijawa branded ipasavyo. Kule Seychelles wamejitahidi tu kubrand products zao pamoja na kuzipresent na kuzitangaza kisasa zaidi, na hapo ndipo...
  19. JamiiForums Tanzania Virusi vya Corona: Zanzibar Yapokea Mashine Yenye Uwezo wa Kupima Watu 288 kwa Siku

    Zanzibar imepokea mashine moja yenye uwezo wa kupima sampuli 288 kwa saa 24. Mashine nyingine mbili zilizoagizwa zitafika nchini humo muda wowote kuanzia sasa. Zanzibar iliazimia kuwa na Maabara ya kisasa ya kupima COVID19 nchini humo ili wasiwe wanatuma sampuli kwenye maabara zilizoko Dar es...
  20. JamiiForums Tanzania SMZ: Baadhi ya misikiti yafungwa kabisa Zanzibar kuepuka maambukizi zaidi ya Corona

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia kwa waziri wake, Mheshimiwa Hamad Rashid imesema misikiti kadhaa ndani ya nchi ya Zanzibar imefungwa kabisa kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhan ili kuepuka kuenea kwa maambukizi ya virusi vya Corona. Hata hivyo ameshindwa kufafanua kama hatua hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…