Kwa mujibu wa ripoti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar SMZ iliyochapishwa kwenye ukurasa wa kijamii wa Twitter wa mbunge Zitto Kabwe ambayo imetoka ndani ya Serikali, inaonyesha kuwa mpaka jana mei 6, 2020 Zanzibar ina visa vya COVID 235 na vifo vitokanavyo na ugonjwa huo vipatavyo 32...
Ukimya wa Wizara ya Afya ya Zanzibar kuhusiana na Taarifa za Maambukizi mapya ya corona umeleta mashaka makubwa , hakuna tena taarifa mpya kama Tanganyika wanavyofanya.
Wafuatiliaji wa mambo wana hofu kwamba huenda Mh Waziri kapokea maelekezo maalum , haiwezekani Tanganyika na Zanzibar kukosa...
Wana JF
Tanzania imebarikiwa kuwa na vyanzo vya maji ya asili ikiwemo mito, mabwawa, maziwa, bahari, chemchem nk. Kutokana na vyanzo hivi tunapata samaki wa aina mbalimbali wakiwemo perege/sato, kambale, kambamiti (prawns), vibua, changu, kaa n.k.
Samaki ni chanzo cha lishe, kipato na ajira...
Baraza la wawakilishi Zanzibar ambalo liko kwenye mkutano wao wa mwisho kabla halijavunjwa rasmi limeamua fedha zote zilizobaki kwenye akaunti zitumike kutengeneza Barakoa ambazo zitagawiwa bure kwa wananchi.
Fedha hizo atakabidhiwa makamu wa Rais balozi Seif ili azikabidhi kwa vikosi vya...
1. Serikali imezifunga skuli zote za maandalizi, msingi, sekondari, vyuo Vikuu pamoja na madrasa
2. Ndege za kutoka Italia na sehemu nyengine zenye maambukizi ya Corona zimezuiwa
3. Serikali imezuia mikusanyiko inayokutanisha watu wengi kwa wakati mmoja ikiwemo mikutano, makongamano...
Mfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz ametoa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya sh 500 milioni kuisadia Zanzibar katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Covid 19.
Akipokea msaada huo na michango mingine ya sh 100 milioni kutoka Kagera Sugar na sh 12 milioni kutoka kwa Subash...
WAGONJWA WA COVID-19 WAFIKIA 58 Z’BAR, VIFO VITATU
Idadi ya wagonjwa wa Covid-19 visiwani Zanzibar imeongezeka na kufikia 58 na idadi ya waliofariki kwa ugonjwa huo sasa ni watu watatu. Wizara ya Afya Visiwani humo imetangaza leo kuwa kati ya wagonjwa wapya 23, wagonjwa 21 ni Watanzania na...
1) Tukumbuke Mwalimu Julias Kambarage Nyerere alisema sitawapiga Mabomu Wazanzibari wakikataa Muungano haki hio tunayo.
Kama Rais Naamrisha Wabunge wote Wa Zanzibar ikiwa CCM au CUF ACT. Kutoka Bungeni Kurudi Zanzibar.
2) Nikiwa kama Rais wa Zanzibar Nasitisha Shughuli zote za Kimuungano...
Waziri wa habari wa Zanzibar amezuia mikutano yote ya waandishi wa habari na mtu yoyote mwenye jambo la kuhabarisha Umma basi alifikishe ofisi ya Maelezo na waandishi watatumiwa taarifa.
Source: Clouds tv
Katika kujikinga na maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa #COVID19, Serikali imesema kuanzia leo mikutano ya Waandishi wa Habari na shughuli nyingine zitakazowafanya waandishi wa habari kukusanyika zinasitishwa
Hivyo, taarifa za Waziri wa Afya kuhusiana na ugonjwa huo zitatolewa kwa njia ya...
Watanzania na dunia tumekuwa tukipewa taarifa mbili tofauti za visa vya Corona kutoka katika taifa la Tanzania (Tanganyika na Zanzibar) huku wakati mwingine kukiwa na mchanganyo wenye kutupa wasiwasi au marudio ya taarifa zile zile pasipo sababu ya msingi.
Waziri wa Afya wa Tanzania, Ummy...
Waziri wa Afya wa Zanzibar, Hamad Rashid atangaza kuongezeka kwa wagonjwa 2 na kufanya idadi ya wagonjwa 9.
Wagonjwa hao 2 ni watanganyika na hawajawahi kusafiri kwenda nje ya nchi.
Taarifa kamili inafuata.
UPDATE.
Wagonjwa Tanzania wafikia 32 na vifo 2 zaidi na kufanya idadi ya waliokufa...
IDADI YA WAGONJWA WA COVID19 WAONGEZEKA Z’BAR
Wizara ya Afya Zanzibar imetangaza wagonjwa wapya wawili wa maambukizi ya virusi vya #Corona na hivyo kufanya idadi ya waliopata maambukizi hayo kufikia saba.
Wagonjwa hao wapya wote ni Watanzania, wanaume wenye miaka 33 na 27 na waliingia Zanzibar...
Msajili wa vyama vya siasa ambaye kwa sasa anafanya uhakiki wa vyama vyote vya siasa nchini amekuta mapungufu kwa baadhi ya vyama vya siasa Zanzibar.
Msajili amesema baadhi ya vyama hali zao zinatisha na kimojawapo ofisi yake ipo sebuleni kwa mtu ambapo familia ya mtu huyo inatumia pia sebule...
Waziri wa afya Zanzibar mh Hamad Rashid amesema idadi ya wagonjwa wa Corona nchini Zanzibar imeongezeka na kufikia Watatu.
Mgonjwa mpya ni mzanzibari aliyetoka nchini Uingereza.
Source ITV habari
Ukiwa mfuatiliaji wa habari utagundua mara zote waziri wa afya Zanzibar mh Hamad Rashid amekuwa akimtangulia Ummy Mwalimu kwenye kutoa taarifa za Corona.
Mfano kuwaweka abiria wanaoingia nchini katika karantini alianza Hamad then Ummy akafuatia.
Jana Hamad Rashid katangaza ongezeko la mgonjwa...
Watu wa Tanganyika wenye makazi ya kudumu Zanzibar na Wazanzibar wenye makazi ya kudumu Tanganyika, wapewe uhiari, haki na uraia wa kuendelea kuishi Zanzibar au Tanganyika mtawalia.
Endapo Tanganyika na Zanzibar zitaendelea kuwa na uraia wa nchi moja, basi nchi hizi mbili ziwe na makubaliano...
Zanzibar ni nchi ndogo lakini ina mikakati imara kila linapotokea swala au janga la kitaifa.
Waziri wa afya mh Hamad Rashid ni mpinzani kutoka chama cha ADC lakini ndiye aliyepewa majukumu muhimu katika vita hii.
Nadhani Tanzania bara tuna jambo la kujifunza kutoka Zanzibar na ni jambo jema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.