Kimenuka: UVCCM Zanzibar warejesha kadi Kisiwandui, kumbe walitapeliwa kwamba watapewa ajira, imebainika ni uongo!

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,645
218,099
Chama cha Mapinduzi Zanzibar kimepata pigo kubwa baada ya mamia ya Vijana wa uvccm waliotumikishwa kwa miaka mingi kwenye sekta ya Mazombie na Janjaweed kuzinduka na kuanza kukumbushia ahadi walizopewa na viongozi wao , kwamba watapatiwa ajira .

Leo baada ya danadana za kipindi kirefu wameibuka ofisi kuu ya ccm Kisiwandui kurejesha mamia ya kadi za chama hicho huku wakikituhumu kuwatumikisha bila kutimiza ahadi ya kuwapatia ajira , Je baada ya kurejesha kadi za ccm watajiunga na chama gani ?

Chanzo : Azam TV
 
Kuna cku hata akina bia yangu, wakudadavua..kawe..mgonjwa mtambuka ..Yehova..na wengineo watagoma kuimba na kusifia juhudi fake za ccm na matango poli yake...wenzenu zenj wamegutuka, bado ninyi...bumbulukeni bk 7 hazitawafikisha popote
😆😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom