zanzibar

  1. Nichumu Nibebike

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi 2020 Zanzibar: Prof. Mbarawa vs Dr. Mwinyi, nani namba zinambeba?

    Kama tunavyojua kuwa 2020 Dr Shein atakuwa anafikia muhula wake wa mwisho wa uongozi visiwani Zbar, kinyang'anyiro cha kumpata mrithi wake kinaweza kikatawaliwa na 'wababe' hawa wawili yani Dr Mwinyi na Prof Mbarawa. Sasa nimekuja kwenu wachambuzi wa maswala ya siasa mtoe uchambuzi wenu kuwa...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC): Hatuwezi kubeba lawama kwa wananchi kukosa Vitambulisho vya Mzanzibar mkaazi kwani sio Mamlaka yetu

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Jaji mstaafu Hamid Mohamoud Hamid, amesema Tume hiyo haiwezi kubeba lawama kwa wananchi kukosa Vitambulisho vya Mzanzibar mkaazi kwani hiyo sio Mamlaka yake kwa mujibu wa sheria. Akizungumza na Waandishi wa habari, Ofisi ya Tume ndogo ya Uchaguzi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna siku CCM Zanzibar ilipata tabu kama tarehe 25 - 28 Oktoba, 2015

    Kama mtakunbuka hali ilikuwa tete Zanzibar kwenye kinyanganyiro cha uchaguzi wa 2015 Zanzibar. CCM ilikuwa na hali Mbaya katika Maeneo yote. Uwe po Wa GNU kilikuwa kikwazo cha kwanza. Kukataliwa kwa ccm na wazanzibari kilikuwa kikwazo cha pili. GNU kuliinyima CCM Zanzibar bar Uhuru...
  4. battawi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais wa Zanzibar 2020 aweje?

    Heri za Siku kuu ya Eid na Baraka tele za Mfungo wa Ramadhan. Poleni kwa kupambana na maisha na Ugonjwa thikili wa Corona. Sasa wakati wa kufuma viongozi watakao iongoza ama kuitawla nchi zetu mbili ndani ya Jamuhuri ya Muungano umefika. Ila jioni ya leo nitajihusisha upandewa Zanzibar. na...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Aliyetoa taarifa juu ya dhuluma ya vitambulisho Zanzibar akamatwa na Polisi

    ZANZIBAR: ALIYELALAMIKIA ZOEZI LA VITAMBULISHO AKAMATWA NA POLISI Mkazi wa Jundamiti Kiwani Kisiwani Pemba, Abdalla Khamis Muhammed (Tuba) anashikiliwa na Polisi Mkoa wa Kusini Pemba kwa madai ya kufanya uchochezi baada ya kudai kitambulisho cha Mzanzibar Mkaazi. Mohammed ni miongoni mwa...
  6. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu Zanzibar kufunguliwa Juni Mosi, Michezo kuanzia tarehe 5 Juni, 2020

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inaungana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhakikisha kuwa kuanzia tarehe 01 juni, 2020 vyuo vyote vya elimu ya juu vitafunguliwa na kuendelea na programau zao kama kawaida kwa upande wa Zanzibar. Hayo yameelezwe na Makamo wa pili wa Rais...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar sees economic opportunities in East Africa's economic bloc

    ZANZIBAR remain committed to main- tain and strengthen relations in East African Community (EAC) and other regional blocks as it sees more economic opportunities for its development, says the State Minister (State House) Mr Issa Haji Ussi. Talking about Zanzibar's position in regional blocks...
  8. 5

    JamiiForums Tanzania Barakoa ni Lazima Zanzibar

  9. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Human Resources Officer at Zanzibar Insurance Corporation

    Zanzibar Insurance Corporation was established on the 20th June, 1969 under the Public Enterprises Decree of 1966 legal Notice no. 11 of 1969. It is now operating under the Public Investment Act No.4 of 2002. The Corporation is a Parastatal Organization owned by the Revolutionary Government of...
  10. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM Zanzibar imekata pumzi. Iko tayari kukubali yaishe??

    Asalam aleykum JFs Hivyo ndivyo tunaweza kusema kuwa pumzi sasa ndani ya ccm na serikali yake imekata. Iko tayari kukubali yaishe. Katika moja ya habari inayosambaa mitandaoni kupitia Tv online ya Dar Mpya inaonesha katibu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu akiongea na waandishi wa habari...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Wawakilishi Zanzibar wamjia juu Waziri kwa kumkashifu mtume wa waislamu, wamlazimisha aombe radhi!

    Wajumbe wa baraza la wawakilishi Zanzibar wamemshukia kama mwewe waziri asiye na wizara maalumu kwa kumkashifu mtume. Wawakilishi hao wamesema mbunge huyo wa kuteuliwa na Rais kutoka chama cha upinzani amekuwa fedhuli na mwenye tabia ya kishenzi hivyo wao kama waislamu na siyo wawakilishi...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Rais Shein: Katazo la Shule kufungwa na michezo Zanzibar liko palepale hali ikiwa nzuri mtaambiwa na michezo na shule zitafunguliwa

    Rais wa Zanzibar Dr Shein amesema katazo la michezo nchini mwao liko pale pale na kwamba hali ya mapambano ya Corona ikiwa nzuri wananchi wataambiwa na michezo na shule zitafunguliwa. Dr Shein amesema Zanzibar ina mipango yake na haiwezi kuiga nchi zingine ila watajitahidi ili wawe wanaenda kwa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika ubuyu wa Zanzibar

    Wana jamvi, Naomba mnisaidie kunielekeza jinsi ya kupika ubuyu wa Zanzibar ule unao kuwa mlaini maana mimi nilijaribu lakini unatoka mgumu hauwi mlaini na wenye unga, nifanye nini?. ========= Jinsi ya kupika Ubuyu Mahitaji. 1. Sukari vikombe 2 2. Maji vikombe 2 3. Nusu kikombe unga wa...
  14. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, kati ya Zanzibar na Seychelles, kipi ni kisiwa kizuri zaidi kwa ajili ya kula raha?

    Kuna baadhi ya watalii waliowahi kutembelea Zanzibar pamoja na Seychelles, wanasema kwamba Zanzibar inavivutio vingi na vizuri vya utalii ila tu havijawa branded ipasavyo. Kule Seychelles wamejitahidi tu kubrand products zao pamoja na kuzipresent na kuzitangaza kisasa zaidi, na hapo ndipo...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Virusi vya Corona: Zanzibar Yapokea Mashine Yenye Uwezo wa Kupima Watu 288 kwa Siku

    Zanzibar imepokea mashine moja yenye uwezo wa kupima sampuli 288 kwa saa 24. Mashine nyingine mbili zilizoagizwa zitafika nchini humo muda wowote kuanzia sasa. Zanzibar iliazimia kuwa na Maabara ya kisasa ya kupima COVID19 nchini humo ili wasiwe wanatuma sampuli kwenye maabara zilizoko Dar es...
  16. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania SMZ: Baadhi ya misikiti yafungwa kabisa Zanzibar kuepuka maambukizi zaidi ya Corona

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia kwa waziri wake, Mheshimiwa Hamad Rashid imesema misikiti kadhaa ndani ya nchi ya Zanzibar imefungwa kabisa kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhan ili kuepuka kuenea kwa maambukizi ya virusi vya Corona. Hata hivyo ameshindwa kufafanua kama hatua hiyo...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yanunua mashine yake ya kupimia sampuli za COVID19, itapokelewa visiwani humo kesho

    Waziri wa afya wa Zanzibar mh Hamad Rashid amesema Zanzibar imeamua kununua mashine yake ya kupimia maambukizi ya Covid 19 ili kurahisisha upimaji na kupata vipimo kwa wakati. Mh Hamad amesema mashine hiyo itawasili nchini Zanzibar kesho na baada ya kufungwa takwimu zitaendelea kutolewa kwa...
  18. G Sam

    JamiiForums Tanzania Tazama foleni hii ya wanunuzi wa sukari Morogoro. Juzi Waziri Bashungwa kapitishiwa bajeti ya hovyo iliyoungwa mkono na wanaccm wote Bungeni

    Hii ni foleni ya wanaonunua sukari Morogoro mjini ndani ya duka la mbunge wao. Kinachonikera zaidi juzi waziri wa viwanda na biashara kapitishiwa bajeti mbovu sana huku wabunge wa CCM pamoja na spika wakijikita kuishambulia Chadema. Aidha hawa ni wanunuzi wa jumla. Unapata Corona na sukari...
  19. F

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamati Kuu ya CCM itakutana lini kutangaza tarehe za kutolewa fomu za wagombea urais Zanzibar? Muda unaenda ujue!!

    Mada hapo juu yahusika. Nashangaa kuna ukimya sana ilihali uchaguzi upo palepale mwezi October. Dr. Shein anamaliza muda wake, sioni wala sisikii cherekochereko za kumtafuta mrithiwe. Ndiyo maana mie Freed nauliza kamati kuu CCM mbona kimya sana?
  20. Influenza

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yatangaza ongezeko la Wagonjwa 29 wa COVID19. Jumla ya visa visiwani humo yafikia 134 (Mei 07, 2020)

    Wizara ya Afya Zanzibar imetangaza ongezeko la wagonjwa wapya 29 wa #COVID19 na kufanya idadi ya maambukizi visiwani humo kufikia 134. Wagonjwa wote waliotangazwa leo ni Watanzania Pamoja na ongezeko hilo, Wizara pia imesema wagonjwa wengine watano wamefariki dunia na 11 wamepona na kufanya...
Back
Top Bottom