Wawakilishi Zanzibar wamjia juu Waziri kwa kumkashifu mtume wa waislamu, wamlazimisha aombe radhi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
30,405
2,000
Wajumbe wa baraza la wawakilishi Zanzibar wamemshukia kama mwewe waziri asiye na wizara maalumu kwa kumkashifu mtume.

Wawakilishi hao wamesema mbunge huyo wa kuteuliwa na Rais kutoka chama cha upinzani amekuwa fedhuli na mwenye tabia ya kishenzi hivyo wao kama waislamu na siyo wawakilishi wanamtaka kwa lazima awaombe radhi waislamu wote wa Zanzibar.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
 
safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
5,841

Waziri gani huyo ?
 
Citizen B

JF-Expert Member
May 13, 2019
2,451
2,000
Mtaje jina tu hata usiseme kasemaje wala sitaki ushahidi naenda kukuletea kichwa chake...takbiiiir
 
Zanika

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,217
2,000
Wajumbe wa baraza la wawakilishi Zanzibar wamemshukia kama mwewe waziri asiye na wizara maalumu kwa kumkashifu mtume.

Wawakilishi hao wamesema mbunge huyo wa kuteuliwa na Rais kutoka chama cha upinzani amekuwa fedhuli na mwenye tabia ya kishenzi hivyo wao kama waislamu na siyo wawakilishi wanamtaka kwa lazima awaombe radhi waislamu wote wa Zanzibar.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
JANA ZBC nlishangaa sana kuona yule Mzee Muislam akikomalia neno lake bila kujali anamkashfu Mtume wa Dini Yake
 
Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,242
2,000
Mbona habari yako imekaa kama taarabu?
Ingekuwa enzi zileeee, hii habari ingekuwa ilishafutwa. Enzi hizo mods walikuwa wanachelewa kulala. Enzi hizo huwezi kukuta habari isiyo na shingo wala kichwa, habari ikiingia hapa imesheheni.
Hii habari ya mkuu haisemi huyo mtu kasema nini halafu haimtaji mtu ambaye anasemani waziri!
 
bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
8,829
2,000
johnthebaptist,
Ukiwa JF-expert member wengi tunakuangalia kwa hiyo nafasi yako kama expert ktk matumizi na viwango vya kupashana habari kwa kutumia W5 + H1 ili habari itimie.
  • Who was involved?
  • What happened?
  • When did it happen?
  • Where did it happen?
  • Why did it happen?
  • How did it happen?
Tukizingatia uandishi na uwasilishi wa habari kwa hizo W5 + H1 basi JamiiForums itabaki kuwa jukwaa pendwa la habari kamilifu na ya viwango kuigwa.
 
Chereko tena

JF-Expert Member
Dec 9, 2019
435
500
johnthebaptist,
Ukiwa JF-expert member wengi tunakuangalia kwa hiyo nafasi yako kama expert ktk matumizi na viwango vya kupashana habari
Haaaaaa kumbe Nina title kubwa ndani ya miezi saba tu Ni expert member nilimuona humu jamaa mmoja miaka 12 bado sinia member
 
Top Bottom