Zanzibar 2020 Namba 7: Mohamed Jaffar Jumanne achukua fomu kuwania Urais wa Zanzibar

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,403
Bwana Mohamed Jaffar Jumanne amechukua fomu ya kuwania kuteuliwa kugombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM katika ofisi kuu ya CCM Zanzibar Kisiwandui, ambapo sasa anakuwa ni mgombea wa 7 kuchukua fomu hiyo.

1.jpg
 
Namba 7 kiroho huwa ni namba yenye nguvu mno. Asiposhinda huyu basi atapata nafasi nyingine ya juu serikalini aidha Za Zanzibar au Muungano.
 
Back
Top Bottom