Zanzibar 2020 Namba 18: Waziri wa Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi, Mmanga Mjengo Mjawiri achukua fomu kuwania Urais Zanzibar kupitia CCM

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,444
3,354
Waziri wa Kilimo, Mali Asili, Mifugo na Uvuvi, Mmanga Mjengo Mjawiri amefika kuchukua fomu ya kuwania Urais wa Zanzibar.

Mmanga anakuwa mgombea wa 18 kuchukua nafasi hiyo kupitia CCM.

photo_2020-06-22_11-03-51.jpg
 
Back
Top Bottom