Zanzibar 2020 Bara hatuwezi mweka Rais Zanzibar ambaye hatumfahamu vizuri. Tutamweka Mwinyi

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,742
Wazanzibari msijidanganye kuwa eti mtachagua Rais. Bara tunafahamu kuna baadhi ya Wanzanzibar wanaogombea nafasi hiyo wanataka waje kutumika na Maarabu. Hatutaruhusu hilo.

Hussein Mwinyi ndiye ambaye tutamweka awe Rais wa Zanzibar nanyi mwende kumpigia kura ya kumpitisha. Kuna watu wasitegemee kuja kuwa marais wa Zanzibar mmoja wapo ni Seif Muhamad huyu aachane na habari hizo. labda agombee udiwani tu.

SAFARI HII URAIS ZANZIBAR TUNA WATU WAWILI TUMEWAPANGA. TUNAENDELEA KUWAHOJI VIZURI
 
Rais wa zenj ni kama mkuu wa mkoa tu! Inagwa ana escort 3, mpambe kanali wa jeshi na wasaidizi kibao lakini akianza kutumika kuihujumu jamhuri ya muungano wa Tanzania ndani ya SAA 24 anaanza kujutia.

Anaweza kufukuzwa kazi kwa njia kadhaa ikiwa ni pamoja na kamati kuu ya ccm kumvua uanachama.
 
Wazanzibari msijidanganye kuwa eti mtachagua Rais. Bara tunafahamu kuna baadhi ya Wanzanzibar wanaogombea nafasi hiyo wanataka waje kutumika na Maarabu. Hatutaruhusu hilo.

Hussein Mwinyi ndiye ambaye tutamweka awe Rais wa Zanzibar nanyi mwende kumpigia kura ya kumpitisha. Kuna watu wasitegemee kuja kuwa marais wa Zanzibar mmoja wapo ni Seif Muhamad huyu aachane na habari hizo. labda agombee udiwani tu.

SAFARI HII URAIS ZANZIBAR TUNA WATU WAWILI TUMEWAPANGA. TUNAENDELEA KUWAHOJI VIZURI
Sasa katiba ya Zanzibar ina mkata Mwinyi kwenye kinyanganyiro. Mwinyi hakuzaliwa Zanzibar kazaliwa Bara. Ameanza kwenda Zanzibar baada ya baba yake kuwa rais. Kama una kumbukumbu ubunge wake wa kwanza aliupatia Bara. Katiba ya Zanzibar ina hitaji uwe umezaliwa Zanzibar.
Sisi tuna kwenda na Prof. Mbarawa na Khamis Mussa Omar.

Muulizeni Mwinyi kwanini ana ficha alizaliwa wapi? Ana andika kazaliwa Tanzania. Hata kule Marangu ni Tanzania. Aonyeshe ID yake ya Taifa. Pia kati ya 2000 na 2005 alikuwa naibu waziri kwanini haonyeshi alikuwa mbunge wa jimbo pia? Na alitokea jimbo gani?
Kama ana anza kudanganya sasa hivi je mkimpa urais si atatuuza huyu?
 
Safari hii nyuzi za "Maruhani"zitaongezeka sana.Unaweza kudhani ni mtu kamili kumbe ni dude linapima hali ya hewa ama lina tengeneza mazingira ya ku changanya watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri.
 
Zanzibar ilipata uhuru wake kutoka kwa Waarabu, kisha wakatengenezewa kile kinachoitwa mapinduzi na mkoloni wake mpya Tanganyika. Imegeuka kuwa koloni kwa maigizo ya kuyadumisha mapinduzi matukufu.

Hiyo ni nira ambayo hawana njia isipokuwa kuitua wao wenyewe kupitia viongozi wao wenyewe. Karume Sr alitambua jambo japo kwa kuchelewa sana, Mzee Jumbe vyema alilitambua jambo hili na kujitahidi kujinasua lkn akaishia kuondolewa madarakani, Maalim Seif analitambua kwa kina jambo ndiyo maana hawachi kumpoka ushindi wake, Karume Jr alilitambua jambo hili ndiyo maana akasukumwa na uwepo wa SUK.

Lakini kwa sasa Wanzabari wengi wamekwisha kung'amua kuwa wapo chini ya mkoloni mweusi, anaye lazimisha kuwa nao ktk ndoa iliyojaa mashaka mengi. Kwa mtizamo wangu wa jumla naona kabisa mwaka huu wa uchaguzi wa 2020 ndipo watakapokuwa kuwa na kauli moja juu ya aina ya muungano wanaoutaka, na wala sio kupandikiziwa magavana na serikali iliyo kifichoni ya Tanganyika.
 
_BY MZEE WA ATIKALI_

_*"Everytime you see Hon. Dr. Hussein Mwinyi in public, you immediately note that he has a Statesman's demeanor, looks and sounds Presidential"*_.
THOMAS J. KIBWANA, 19.6.2020

1. *Usuli*

Ibara ya 18(1) ya Katiba ya Tanzania 1977, kama ilivyorekebishwa, inaeleza-:

_*"........Kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, kupokea na kutoa habari kupitia chombo chochote..."*_.

_MZEE WA ATIKALI_ anatembelea kwenye Ibara hii kutoa maoni yake kuhusu suala la Urais ambalo ni muhimu sana kwa mustakabali wa Taifa letu.

_ATIKALI_ ya leo inamuhusu Mh. Dr. HUSSEIN ALI HASSAN MWINYI ambaye _MZEE WA ATIKALI_ anamuona ana sifa zote za kuwa Rais wa awamu ya nane wa Zanzibar, na panapo majaliwa kuja kuwa Rais awamu ya sita wa Jamhuri ya Muungano mwaka 2025.

Je, Dr. HUSSEIN alizaliwa wapi, lini, alisoma wapi, uzoefu wake ni upi na kwanini ana nafasi kubwa ya kuwa Rais?

*Twende pamoja.......*

2. *Kuzaliwa*

HUSSEIN alizaliwa Zanzibar siku ya Ijumaa, tarehe 23.12.1966, akiwa ni mmoja wa watoto 12 wa Mh. ALI HASSAN MWINYI, Rais wa awamu ya pili TZ.

3. *Elimu:*

3.1 *Elimu ya Msingi & Sekondari*

HUSSEIN alipata elimu ya msingi _"Oysterbay Primary School"_ kuanzia mwaka 1974. Enzi hizo hii ndio ilikuwa shule bora ya msingi TZ.

Mh. Mzee MWINYI alipojiuzulu uwaziri wa Mambo ya Ndani mwaka 1976 na kuteuliwa kuwa Balozi nchini Misri alihama na familia yake.

Hivyo, HUSSEIN alisoma Misri katika shule ya _"Manor House Junior School"_ kuanzia 1977.

Mzee MWINYI aliporejea nchini, HUSSEIN akajiunga na _"Azania Secondary School"_ kisha _"Tambaza Secondary School"_.

3.2 *Chuo Kikuu*

HUSSEIN alipata Shahada ya Utabibu _"Doctor of Medicine"_ huko _"Marmara University, Instanbul, Turkey"_ na baada ya hapo akapata _"Masters"_ na PhD huko _"Hammersmith Hospital"_ UK.

4. *Ajira*

4.1 *Muhimbili*

Mwaka 1993, HUSSEIN akawa daktari Muhimbili na mwaka 1994 akawa Msajiri.

4.2 *Hubert Kairuki*

Mwaka 1998-99, Dr. HUSSEIN alikuwa _"Specialist doctor"_ pale _"Hubert Kairuki Memorial University"_, Mikocheni, Dsm.

Mwaka 1999, Dr. HUSSEIN akawa _"Lecturer"_ chuoni hapo.

5. *Ubunge*

Mwaka 2000, Dr. HUSSEIN aligombea ubunge jimbo la Mkuranga, Pwani na kushinda kwa kishindo.

6. *Rais MKAPA Amteua Mh. Dr. HUSSEIN Kuwa Waziri*

Mwezi Desemba 2000, Rais MKAPA alimteua Mh. Dr. HUSSEIN kuwa Naibu Waziri wa Afya.

7. *Rais KIKWETE Amteua Mh. Dr. HUSSEIN Kuwa Waziri*

Tarehe 6.1.2006, Rais J. KIKWETE alimteua Dr. HUSSEIN kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya VP, Muungano.

8. *Rais KIKWETE Amhamisha Wizara Mh. Dr. HUSSEIN*

Tarehe 13.2.2008, Rais KIKWETE alimteua Dr. HUSSEIN kuwa Waziri wa Ulinzi & Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).

9. *Rais KIKWETE Amuhamisha Tena Wizara Mh Dr. HUSSEIN*

Tarehe 7.5.2012, Rais KIKWETE alimteua Dr. HUSSEIN kuwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii.

10. *Rais KIKWETE Amrudisha Mh. Dr. HUSSEIN Wizara ya Ulinzi*

Tarehe 14.1.2014, Rais KIKWETE alimteua Mh. Dr. HUSSEIN kuwa Waziri wa Ulinzi na JKT.

11. *Dr. JPM Amteua Mh. Dr. HUSSEIN Waziri wa Ulinzi*

Mwezi Desemba 2015, Rais wa awamu ya tano, Mh. Dr. MAGUFULI alimteua Dr. HUSSEIN kuwa Waziri wa Ulinzi & JKT.

12. *KINYANG'ANYIRO CHA URAIS ZANZIBAR*

12.1 *Mh Dr. SHEIN Anan'gatuka*

Mh. Dr. ALI MOHAMED SHEIN anamalizia muhula wake wa pili kama Rais wa 7 wa ZNZ. Hivyo, mchakato wa kumpata Rais wa 8 wa Zanzibar ndio umeanza.

12.2 *Makada wa CCM Watia Nia*

Mwezi Juni 2020, Makada 32 wa CCM walichukua na kurudisha fomu za kugombea Urais ZNZ ili kumrithi Dr. SHEIN.

12.3 *Dr. HUSSEIN Amuiga Dr. JPM*

Dr. HUSSEIN alienda kuchukua fomu Afisi ya CCM Kisiwandui, siku ya Jumatano, tarehe 17.6.2020 saa tisa alasiri. Dr. HUSSEIN alikuwa kada wa tano wa CCM kuchukua fomu.

Kama ilivyokuwa kwa Dr. JPM mwezi Julai 2015 Idodomia, Dr. HUSSEIN nae alikataa katakata kuongea na waandishi wa habari, tofauti na wagombea wenzake ambao walidadavua kwa kirefu sera zao. Dr. HUSSEIN, kwa unyenyekevu mkubwa, alitiririka-:

_*"Nawaombeni radhi ndugu zangu waandishi kwani mimi leo sikuja kuongea na waandishi wa habari kwakuwa jukumu langu lilikuwa ni kuchukua Fomu tu. Hata yaliyomo kwenye Fomu siyajui hivyo niruhusuni nikaisome, niijaze kisha nitekeleze mambo yanayotakiwa na kuirudisha Fomu hii kabla ya muda. Asanteni sana"*_.

12.4 *KAMATI MAALUM _"Yawachinjilia Baharini"_ Wagombea 26*

Kwa mujibu wa Mh. ABDULLA MABODI, Naibu Katibu Mkuu, CCM, ZNZ, jumla ya Wagombea 32 walichukua fomu na mmoja hakurudisha.Jumamosi ya tarehe 4.7.2020, Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu (Taifa) Zanzibar ilipitisha majina 5 na kukata majina 26 baada ya kupitia fomu na taarifa ya kila mgombea.

12.5 *CC _Kufyeka_ Majina 2*

CC ya CCM itakayoketi Idodomia siku ya alhamis, tarehe 9.7.2020, itayapitia majina hayo 5 na kuona kama yanakidhi vigezo 12 vilivyowekwa kisha itayapeleka majina 3 kati ya hayo Halmashauri Kuu ya CCM (NEC).

12.6 *NEC Kupendekeza Jina la Mgombea wa CCM*

Siku ya Ijumaa, tarehe 10.7.2020, NEC itayapokea majina hayo 3 kisha kuchuja 2 na kulipeleka kwenye Mkutano Mkuu jina 1.

12.7 *Mkutano Mkuu Kuthibitisha Jina la Mgombea*

Jumamosi ya tarehe 11.7.2020, Mkutano Mkuu utathibitisha jina la mgombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM lililopendekezwa na NEC.

13. *"Dr. HUSSEIN MWINYI Anatosha ZNZ*

Kwa kuzingatia vigezo ambavyo huwa vinatajwa miaka yote ya uchaguzi nchini, _MZEE WA ATIKALI_ amewiwa kutoa maoni kuwa Dr. HUSSEIN anakidhi vigezo vyote, hivyo anatosha kuibeba bendera ya CCM na hatimaye kuwa Rais wa ZNZ ifikapo mwezi Novemba 2020.

14. *Dr. HUSSEIN Kuwa Rais Wa TZ 2025?*

_MZEE WA ATIKALI_ amewiwa pia kutoa maoni kuwa Dr. HUSSEIN ana nafasi kubwa ya kuja kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TZ mwaka 2025, kwasababu Mujarab zifuatazo:

14.1 *Rais Mpya wa Awamu ya 6 TZ Atapatikana 2025*

Mh. Rais Dr. MAGUFULI atakuwa anamaliza muhula wake wa pili na wa mwisho Kikatiba, kama _Bongolanders_ wengi tuaminivyo kuwa atashinda kwa kishindo 2020, hivyo 2025 itakuwa ni fursa kwa mgombea mpya;

14.2 *Hoja ya MUUNGANO "itambeba"*

14.2.1 Dr. HUSSEIN ni muumini mkubwa wa Muungano. Muungano ni kitu muhimu sana hivyo ni lazma tujiridhishe pasina shaka kuwa tunaemchagua kuwa Rais ataulinda Muungano wetu huu wa kipekee duniani;

14.2.2 *Dr. HUSSEIN anauakisi Muungano*

Dr. HUSSEIN ndiye Mtanzania pekee aliyewahi kuwa Mbunge wa pande zote za Muungano. Alianza kuwa mbunge Bara (Mkuranga 2000-2005) na kisha Visiwani (2005--, Kwahani);

14.2.3 *Dr. HUSSEIN Amewahi Kuwa Waziri wa Muungano*

Dr. HUSSEIN amewahi kuwa Waziri wa Nchi, Afisi ya Makamu wa Rais, hivyo matatizo na changamoto za Muungano anazielewa vizuri;

14.3.4 *Dr. HUSSEIN anapendwa sana Wizara ya Ulinzi*

Dr. HUSSEIN anapendwa sana Wizara ya Ulinzi, ambayo ni ya Muungano, kutokana na utendaji kazi wake kuntu na kujali na kufuatilia stahili za Wanajeshi.

14.2.5 *Itapendeza 2025 Rais akitoka ZNZ*

Toka Tanganyika iungane na Zanzibar tarehe 26.4.1964, zimepita awamu tano za Urais wa Muungano ambapo Mzanzibar amekuwa Rais kwenye awamu moja tu hivyo itapendeza Rais wa awamu ya sita atoke ZNZ.

14.3 *Dr. HUSSEIN Ana Uzoefu Mkubwa*

Dr. HUSSEIN amekuwa mbunge na Waziri kwa miaka 20 hivyo ana uzoefu wa kutosha wa uongozi;

14.4 *Dr. HUSSEIN ana Haiba ya Uongozi*

Dr. HUSSEIN ni mtu mwenye haiba ya uongozi, mnyenyekevu, mkarimu na mcha Mungu.

14.5 *Dr. HUSSEIN Hana Kashfa*

Dr. HUSSEIN ni mtu aliyelelewa kwa maadili na asiye na tamaa za mali na ndio maana hana kashfa yoyote.

14.6 *Dr. HUSSEIN Alisifiwa na Rais Dr. JPM*

Tarehe 27.1.2020, Mh. Rais Dr. JPM alipokuwa akimuapisha Mh. GEORGE SIMBACHAWENE kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, alimsifia sana Dr. HUSSEIN kwa utendaji wake wa kazi Mujarab na kumtaka Mh. SIMBACHAWENE aige utendaji huo wa Dr. HUSSEIN.

14.6 *Dr. HUSSEIN Atafuata Nyayo za _"MZEE RUKSA"_*

Rais MWINYI@ _MZEE RUKSA_ alikuwa Rais wa ZNZ toka tarehe 30.1.1984 hadi tarehe 24.10.1985 na akawa Rais wa TZ toka tarehe 4.11.1985 hadi tarehe 4.11.1995.

Hivyo, Dr. MWINYI nae atakuwa Rais wa ZNZ, iwapo atapitishwa, kisha atakuwa Rais wa Muungano.

15. *TAMATI:*

Haya ni MAONI tu ya _MZEE WA ATIKALI_ kama aonavyo yeye kwani ni haki ya kikatiba ya kila mmoja kutoa maoni yake ili mradi asivunje sheria za nchi.

Maoni haya yamezingatia jinsi _MZEE WA ATIKALI_ anavyomfahamu Dr. HUSSEIN, vigezo vinavyotumikaga wakati wa uteuzi wa Urais, sifa za Dr. HUSSEIN na Mustakabali wa Taifa letu.

KILA LA KHERI _CAMARADA_ Dr. HUSSEIN ALI HASSAN MWINYI!!!

_BY MZEE WA ATIKALI_
 
Sheria zao zinataka mtu aliyezaliwa Zanzibar, Mwinyi kazaliwa bara, Zanzibar amepelekwa akiwa ameshikwa mkononi, kakosa vigezo
 
umejitahidi kumnadi but for me i dont buy it!! kwanza ni mzanzibara na si mkazi wa mfereji wa wima Zenji na pili ni mkimya sana hawezi hata kuhutubia jukwaa la watu mia na tatu baba yake keshakuwa Rais inatosha urais si milki ya ukoo wake hii ni Republic sio Monarchy nne wizara yake kuna ufisadi wa kutisha hajasema lolote kujisafisha na tano huyu ni mtoto mdogo kwa Jecha urais wataka umri mkubwa na sita si kila mtu lazima awe Rais awaachie koo zingine na saba huyu si mbantu kama sie na nane huyu atatuletea masihara kama baba yake kutuita raia kichwa cha mwendawazimu na tisa yasemekana alifeli muhimbili atoe tamko na kumi hajaulinda Muungano kwa vitendo kama Jecha!!
 
Wazanzibari msijidanganye kuwa eti mtachagua Rais. Bara tunafahamu kuna baadhi ya Wanzanzibar wanaogombea nafasi hiyo wanataka waje kutumika na Maarabu. Hatutaruhusu hilo.

Hussein Mwinyi ndiye ambaye tutamweka awe Rais wa Zanzibar nanyi mwende kumpigia kura ya kumpitisha. Kuna watu wasitegemee kuja kuwa marais wa Zanzibar mmoja wapo ni Seif Muhamad huyu aachane na habari hizo. labda agombee udiwani tu.

SAFARI HII URAIS ZANZIBAR TUNA WATU WAWILI TUMEWAPANGA. TUNAENDELEA KUWAHOJI VIZURI
Naona umeandika kwa hisia za wizvu wa kimapenzi
 
Duh! Katika hayo majina matano ambapo mawili yatakatwa, moja litakuwa la Mbarawa au Mwinyi.. Akikatwa Mbarawa basi Mwinyi ndiye atakaye kuwa Rais wa Zbar.. Akikatwa Mwinyi bac Mbarawa ndiye atakayekuwa Rais wa Zbar.
 
_BY MZEE WA ATIKALI_

_*"Everytime you see Hon. Dr. Hussein Mwinyi in public, you immediately note that he has a Statesman's demeanor, looks and sounds Presidential"*_.
THOMAS J. KIBWANA, 19.6.2020

1. *Usuli*

Ibara ya 18(1) ya Katiba ya Tanzania 1977, kama ilivyorekebishwa, inaeleza-:

_*"........Kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, kupokea na kutoa habari kupitia chombo chochote..."*_.

_MZEE WA ATIKALI_ anatembelea kwenye Ibara hii kutoa maoni yake kuhusu suala la Urais ambalo ni muhimu sana kwa mustakabali wa Taifa letu.

_ATIKALI_ ya leo inamuhusu Mh. Dr. HUSSEIN ALI HASSAN MWINYI ambaye _MZEE WA ATIKALI_ anamuona ana sifa zote za kuwa Rais wa awamu ya nane wa Zanzibar, na panapo majaliwa kuja kuwa Rais awamu ya sita wa Jamhuri ya Muungano mwaka 2025.

Je, Dr. HUSSEIN alizaliwa wapi, lini, alisoma wapi, uzoefu wake ni upi na kwanini ana nafasi kubwa ya kuwa Rais?

*Twende pamoja.......*

2. *Kuzaliwa*

HUSSEIN alizaliwa Zanzibar siku ya Ijumaa, tarehe 23.12.1966, akiwa ni mmoja wa watoto 12 wa Mh. ALI HASSAN MWINYI, Rais wa awamu ya pili TZ.

3. *Elimu:*

3.1 *Elimu ya Msingi & Sekondari*

HUSSEIN alipata elimu ya msingi _"Oysterbay Primary School"_ kuanzia mwaka 1974. Enzi hizo hii ndio ilikuwa shule bora ya msingi TZ.

Mh. Mzee MWINYI alipojiuzulu uwaziri wa Mambo ya Ndani mwaka 1976 na kuteuliwa kuwa Balozi nchini Misri alihama na familia yake.

Hivyo, HUSSEIN alisoma Misri katika shule ya _"Manor House Junior School"_ kuanzia 1977.

Mzee MWINYI aliporejea nchini, HUSSEIN akajiunga na _"Azania Secondary School"_ kisha _"Tambaza Secondary School"_.

3.2 *Chuo Kikuu*

HUSSEIN alipata Shahada ya Utabibu _"Doctor of Medicine"_ huko _"Marmara University, Instanbul, Turkey"_ na baada ya hapo akapata _"Masters"_ na PhD huko _"Hammersmith Hospital"_ UK.

4. *Ajira*

4.1 *Muhimbili*

Mwaka 1993, HUSSEIN akawa daktari Muhimbili na mwaka 1994 akawa Msajiri.

4.2 *Hubert Kairuki*

Mwaka 1998-99, Dr. HUSSEIN alikuwa _"Specialist doctor"_ pale _"Hubert Kairuki Memorial University"_, Mikocheni, Dsm.

Mwaka 1999, Dr. HUSSEIN akawa _"Lecturer"_ chuoni hapo.

5. *Ubunge*

Mwaka 2000, Dr. HUSSEIN aligombea ubunge jimbo la Mkuranga, Pwani na kushinda kwa kishindo.

6. *Rais MKAPA Amteua Mh. Dr. HUSSEIN Kuwa Waziri*

Mwezi Desemba 2000, Rais MKAPA alimteua Mh. Dr. HUSSEIN kuwa Naibu Waziri wa Afya.

7. *Rais KIKWETE Amteua Mh. Dr. HUSSEIN Kuwa Waziri*

Tarehe 6.1.2006, Rais J. KIKWETE alimteua Dr. HUSSEIN kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya VP, Muungano.

8. *Rais KIKWETE Amhamisha Wizara Mh. Dr. HUSSEIN*

Tarehe 13.2.2008, Rais KIKWETE alimteua Dr. HUSSEIN kuwa Waziri wa Ulinzi & Jeshi la Kujenga Taifa (JKT).

9. *Rais KIKWETE Amuhamisha Tena Wizara Mh Dr. HUSSEIN*

Tarehe 7.5.2012, Rais KIKWETE alimteua Dr. HUSSEIN kuwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii.

10. *Rais KIKWETE Amrudisha Mh. Dr. HUSSEIN Wizara ya Ulinzi*

Tarehe 14.1.2014, Rais KIKWETE alimteua Mh. Dr. HUSSEIN kuwa Waziri wa Ulinzi na JKT.

11. *Dr. JPM Amteua Mh. Dr. HUSSEIN Waziri wa Ulinzi*

Mwezi Desemba 2015, Rais wa awamu ya tano, Mh. Dr. MAGUFULI alimteua Dr. HUSSEIN kuwa Waziri wa Ulinzi & JKT.

12. *KINYANG'ANYIRO CHA URAIS ZANZIBAR*

12.1 *Mh Dr. SHEIN Anan'gatuka*

Mh. Dr. ALI MOHAMED SHEIN anamalizia muhula wake wa pili kama Rais wa 7 wa ZNZ. Hivyo, mchakato wa kumpata Rais wa 8 wa Zanzibar ndio umeanza.

12.2 *Makada wa CCM Watia Nia*

Mwezi Juni 2020, Makada 32 wa CCM walichukua na kurudisha fomu za kugombea Urais ZNZ ili kumrithi Dr. SHEIN.

12.3 *Dr. HUSSEIN Amuiga Dr. JPM*

Dr. HUSSEIN alienda kuchukua fomu Afisi ya CCM Kisiwandui, siku ya Jumatano, tarehe 17.6.2020 saa tisa alasiri. Dr. HUSSEIN alikuwa kada wa tano wa CCM kuchukua fomu.

Kama ilivyokuwa kwa Dr. JPM mwezi Julai 2015 Idodomia, Dr. HUSSEIN nae alikataa katakata kuongea na waandishi wa habari, tofauti na wagombea wenzake ambao walidadavua kwa kirefu sera zao. Dr. HUSSEIN, kwa unyenyekevu mkubwa, alitiririka-:

_*"Nawaombeni radhi ndugu zangu waandishi kwani mimi leo sikuja kuongea na waandishi wa habari kwakuwa jukumu langu lilikuwa ni kuchukua Fomu tu. Hata yaliyomo kwenye Fomu siyajui hivyo niruhusuni nikaisome, niijaze kisha nitekeleze mambo yanayotakiwa na kuirudisha Fomu hii kabla ya muda. Asanteni sana"*_.

12.4 *KAMATI MAALUM _"Yawachinjilia Baharini"_ Wagombea 26*

Kwa mujibu wa Mh. ABDULLA MABODI, Naibu Katibu Mkuu, CCM, ZNZ, jumla ya Wagombea 32 walichukua fomu na mmoja hakurudisha.Jumamosi ya tarehe 4.7.2020, Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu (Taifa) Zanzibar ilipitisha majina 5 na kukata majina 26 baada ya kupitia fomu na taarifa ya kila mgombea.

12.5 *CC _Kufyeka_ Majina 2*

CC ya CCM itakayoketi Idodomia siku ya alhamis, tarehe 9.7.2020, itayapitia majina hayo 5 na kuona kama yanakidhi vigezo 12 vilivyowekwa kisha itayapeleka majina 3 kati ya hayo Halmashauri Kuu ya CCM (NEC).

12.6 *NEC Kupendekeza Jina la Mgombea wa CCM*

Siku ya Ijumaa, tarehe 10.7.2020, NEC itayapokea majina hayo 3 kisha kuchuja 2 na kulipeleka kwenye Mkutano Mkuu jina 1.

12.7 *Mkutano Mkuu Kuthibitisha Jina la Mgombea*

Jumamosi ya tarehe 11.7.2020, Mkutano Mkuu utathibitisha jina la mgombea Urais Zanzibar kwa tiketi ya CCM lililopendekezwa na NEC.

13. *"Dr. HUSSEIN MWINYI Anatosha ZNZ*

Kwa kuzingatia vigezo ambavyo huwa vinatajwa miaka yote ya uchaguzi nchini, _MZEE WA ATIKALI_ amewiwa kutoa maoni kuwa Dr. HUSSEIN anakidhi vigezo vyote, hivyo anatosha kuibeba bendera ya CCM na hatimaye kuwa Rais wa ZNZ ifikapo mwezi Novemba 2020.

14. *Dr. HUSSEIN Kuwa Rais Wa TZ 2025?*

_MZEE WA ATIKALI_ amewiwa pia kutoa maoni kuwa Dr. HUSSEIN ana nafasi kubwa ya kuja kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TZ mwaka 2025, kwasababu Mujarab zifuatazo:

14.1 *Rais Mpya wa Awamu ya 6 TZ Atapatikana 2025*

Mh. Rais Dr. MAGUFULI atakuwa anamaliza muhula wake wa pili na wa mwisho Kikatiba, kama _Bongolanders_ wengi tuaminivyo kuwa atashinda kwa kishindo 2020, hivyo 2025 itakuwa ni fursa kwa mgombea mpya;

14.2 *Hoja ya MUUNGANO "itambeba"*

14.2.1 Dr. HUSSEIN ni muumini mkubwa wa Muungano. Muungano ni kitu muhimu sana hivyo ni lazma tujiridhishe pasina shaka kuwa tunaemchagua kuwa Rais ataulinda Muungano wetu huu wa kipekee duniani;

14.2.2 *Dr. HUSSEIN anauakisi Muungano*

Dr. HUSSEIN ndiye Mtanzania pekee aliyewahi kuwa Mbunge wa pande zote za Muungano. Alianza kuwa mbunge Bara (Mkuranga 2000-2005) na kisha Visiwani (2005--, Kwahani);

14.2.3 *Dr. HUSSEIN Amewahi Kuwa Waziri wa Muungano*

Dr. HUSSEIN amewahi kuwa Waziri wa Nchi, Afisi ya Makamu wa Rais, hivyo matatizo na changamoto za Muungano anazielewa vizuri;

14.3.4 *Dr. HUSSEIN anapendwa sana Wizara ya Ulinzi*

Dr. HUSSEIN anapendwa sana Wizara ya Ulinzi, ambayo ni ya Muungano, kutokana na utendaji kazi wake kuntu na kujali na kufuatilia stahili za Wanajeshi.

14.2.5 *Itapendeza 2025 Rais akitoka ZNZ*

Toka Tanganyika iungane na Zanzibar tarehe 26.4.1964, zimepita awamu tano za Urais wa Muungano ambapo Mzanzibar amekuwa Rais kwenye awamu moja tu hivyo itapendeza Rais wa awamu ya sita atoke ZNZ.

14.3 *Dr. HUSSEIN Ana Uzoefu Mkubwa*

Dr. HUSSEIN amekuwa mbunge na Waziri kwa miaka 20 hivyo ana uzoefu wa kutosha wa uongozi;

14.4 *Dr. HUSSEIN ana Haiba ya Uongozi*

Dr. HUSSEIN ni mtu mwenye haiba ya uongozi, mnyenyekevu, mkarimu na mcha Mungu.

14.5 *Dr. HUSSEIN Hana Kashfa*

Dr. HUSSEIN ni mtu aliyelelewa kwa maadili na asiye na tamaa za mali na ndio maana hana kashfa yoyote.

14.6 *Dr. HUSSEIN Alisifiwa na Rais Dr. JPM*

Tarehe 27.1.2020, Mh. Rais Dr. JPM alipokuwa akimuapisha Mh. GEORGE SIMBACHAWENE kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, alimsifia sana Dr. HUSSEIN kwa utendaji wake wa kazi Mujarab na kumtaka Mh. SIMBACHAWENE aige utendaji huo wa Dr. HUSSEIN.

14.6 *Dr. HUSSEIN Atafuata Nyayo za _"MZEE RUKSA"_*

Rais MWINYI@ _MZEE RUKSA_ alikuwa Rais wa ZNZ toka tarehe 30.1.1984 hadi tarehe 24.10.1985 na akawa Rais wa TZ toka tarehe 4.11.1985 hadi tarehe 4.11.1995.

Hivyo, Dr. MWINYI nae atakuwa Rais wa ZNZ, iwapo atapitishwa, kisha atakuwa Rais wa Muungano.

15. *TAMATI:*

Haya ni MAONI tu ya _MZEE WA ATIKALI_ kama aonavyo yeye kwani ni haki ya kikatiba ya kila mmoja kutoa maoni yake ili mradi asivunje sheria za nchi.

Maoni haya yamezingatia jinsi _MZEE WA ATIKALI_ anavyomfahamu Dr. HUSSEIN, vigezo vinavyotumikaga wakati wa uteuzi wa Urais, sifa za Dr. HUSSEIN na Mustakabali wa Taifa letu.

KILA LA KHERI _CAMARADA_ Dr. HUSSEIN ALI HASSAN MWINYI!!!

_BY MZEE WA ATIKALI_
Mzee naona umemaliza kila kitu nashukuru nadhani huyu jamaa anaweza kuwa rais wa zenji
 
Wazanzibari msijidanganye kuwa eti mtachagua Rais. Bara tunafahamu kuna baadhi ya Wanzanzibar wanaogombea nafasi hiyo wanataka waje kutumika na Maarabu. Hatutaruhusu hilo.

Hussein Mwinyi ndiye ambaye tutamweka awe Rais wa Zanzibar nanyi mwende kumpigia kura ya kumpitisha. Kuna watu wasitegemee kuja kuwa marais wa Zanzibar mmoja wapo ni Seif Muhamad huyu aachane na habari hizo. labda agombee udiwani tu.

SAFARI HII URAIS ZANZIBAR TUNA WATU WAWILI TUMEWAPANGA. TUNAENDELEA KUWAHOJI VIZURI

Hussein Mwinyi ana dharau sana. Ikitokea kafiri huyu kwa namna yoyote ile ameshinda urais wa Zanzibar, nitakuwa tayari kumuhujumu.

Pia ni uzwazwa baba na mwana wote kuwa marais, kwani watu wengine hawapo?

Ikiwa CCM haina mbadala wa Dk Mwinyi basi ni kheri Maalim achukue kijiti.

Allah Akbar!
 
Back
Top Bottom