Kwa mtazamo wangu, Raia wa Zanzibar wako more informed kuliko wa Tanganyika.
Uthibitisho ni wakati Zanzibar ni nchi ya Pili afrika kuwa na Television miaka ya sabini sisi tumeanza mambo hayo tena kwa tabu sana miaka ya 90. Exposure yao iko huu kuliko sisi. Information is power.
Sitegemei CCM...
Mantiki ya kisiasa inaonyesha Dkt. Hussein Mwinyi ana weledi, busara na nidhamu za kuulinda muungano bila nongwa yoyote, aidha ni mwaminifu na myenyekevu anayeshauriwa na kusikiliza, kwa sifa hizo anastahili kupewa nchi kupitia sanduku la kura hapo Oktoba 28, Wanazanzibari kwa umoja wenu...
Maalim aahidi ndani ya mwaka mmoja WaZanzibar wote wasio na kazi au kuajiriwa wataanza kulipwa kila mwezi, na hilo sio la kichama bali ni lazima serikali iliyopo madarakani iwaangalie wananchi wake, tokea wanazaliwa hadi wanaingia kaburini, Alitalia kwa kusema cheo ni dhamana na amana hivyo...
Kwa political analysists wazuri watakubaliana na mimi kuwa katika uhai wake kama Chama cha Siasa kimefail kuwa na ushawishi katika upande wa pili wa muungano. Jambo hili halina afya nzuri kwa chama cha siasa Tanzania kwani kinapaswa kuwa na uwezo, wanachama na nguvu katika pande zote za...
Katibu mkuu wa CHADEMA J J Mnyika amesema chama chake kitaendelea na kampeni za uchaguzi leo huko Unguja katika visiwa vya Zanzibar.
Wote mnakaribishwa.
Maendeleo hayana vyama!
Mzarau chake mtumwa na ndivyo walivyo CCM,wamejisahaulisha na kuuficha ukweli wa msemo wa kiswahili ..usemao Mtu mzima dawa..tunawaona CCM katika ubora wao wanashindwa kuelewa hekima za mtu mzima kwa mtizamo wao hata Nyerere hafai ndipo Maria Nyerere alipowatemea mate na kuwapa neno lililowapa...
Baada ya ushindi wa dhoruba unaoonekana bila ya chenga kuiangusha CCM, Maalim Seif Sharif amezidi kutoa matumaini ya uhakika kuwa kiti cha Umoja wa Mataifa cha Zanzibar kitahakikishwa kinarudishwa kama ilivyo katika mpira, maendeleo yameonekana ndani ya Afrika Masharikii, Zanzibar inatoa timu...
Hivi ni kwa nini CCM Zanzibar haiwatumii wastaafu ktk kampeni au mkutano mkuu wa chama,Huku bara tunaona wastaafu kama JK na wastaafu wengine huwa wanatumika sana au kushiriki mkutano mkuu wa chama lakini kwa Zanzibar hali ni tofauti,Je hawana ushawishi tena?
Wapwa,
Magufuli anaendelea na kampeni zake, wakati wakiendelea kunadi sera, akachomekea kuwa akimaliza uraisi ataoa mwanamke wa pili Zanzibar hii ni baada ya kudokezwa na mzee Mwinyi kuwa siri ya yeye kuishi maisha marefu ni kuwa na wake wawili.
Hivi First Lady yuko Zanzibar au anaangalia TBC...
Wapwa
Kwenye mikutano mingi Ali Hassan Mwinyi hutambulishwa kama mwenyekiti mstaafu wa CCM na Rais mstaafu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kwa wasiojua Ali Hassan Mwinyi ndio mtanzania pekee ambaye ameshawahi kuwa Raisi wa Zanzibar ( 1984 - 1985 ) kabla hajawa Rais wa Tanzania ( 1985 -...
Ni mkakati wa ACT wazalendo chini ya uongozi wa Maalim Seif Sharif Hamadi na timu yake ya ushindi,amesema hilo halina ubishi wala mjadala ni mazungumzo yalioasisiwa na utekelezaji wake upo mezani.
Jambo ambalo limeshindwa kutekelezwa na Chama Cha Mapepari(CCM) kwa muda wa miaka 55,mapepari...
Mliosema “Magufuli hampendi Mwinyi anapretend tu” sasa kesho muwe macho muone support.
Mkutano mkubwa kuliko tunausubiri hapo kesho katika viwanja vya Mnazi Mmoja.
PICHA: Jinsi Dkt. Magufuli alivyowasili visiwani Zanzibar
PROMO:
Dkt. Magufuli amewasili Zanzibar na kuwashukuru wananchi kwa mapokezi mazuri aliyoyapata.
Baada ya kuwasili Dkt. Magufuli aliwatembelea waathirika wa kukatwa mapanga huko Pemba wakati wanatoka msikitini. Dkt. Magufuli amesema atawafanyia kampeni wagombea wote wa CCM huko Zanzibar.
Source...
Huu hapa ni mkutano uliopigwa leo kwenye viwanja vya Mapofu , Wingwi kisiwani Pemba , Maalim Seif si mtu wa kawaida hii ni Taasisi , haiwezekani kwa mtu wa kawaida kuungwa mkono kwa kiwango hiki .
Riziki Pembe, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar ameeleza namna ambavyo Wizara ilivyokuwa ikiendelea na shughuli zake pindi alipokuwa hospitali kwa matibabu ya maambukizi ya Corona.
Waziri huyo amesema alikuwa akiwasiliana kupitia mtandao wa WhatsApp na viongozi wenzake, akiwemo Naibu...
Katika hali ya kushangaza na kusuasua kwa kampeni za CCM bara na visiwani , Jana mgombea wa urais wa Zanzibar Hussein Mwinyi hakutokea kwenye mkutano wa hadharani Bububu, watu wanaulizana kulikoni?
Asalam aleykum,
Nilishawahi kutoa ushauri huu awali na wala sio wazo jipya nchini, nishauri wananchi wajipange na kuunda vikosi vya kujilinda kwenye vitongoji au vijiji vyao. Hili wazo ni sawa na lile la Sungusungu miaka ya zamani. Si jipya na wala halihitaji leseni ya serekali.
Nashauri...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba linamshikilia Katibu wa Chama Cha ACT Wazalendo Tawi la Kosovo Shehia ya Kangani Hassan Hamad Hassan mwenye umri wa miaka 56, kwa tuhuma ya kuwashambulia kwa kuwakata mapanga wanachama wa Chama Cha Mapinduzi akiwemo Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Wete...
Wazanzibar hamueleweki kabisa katika nyakati hizi za kampeni Mana kwenye kila mkutano uwe wa maalim Seif na ACT yake au uwe wa Mwinyi na CCM yake nyomi la watu linakuwa kubwa.
Hapo mnatoa dalili gani kuhusu mshindi halali wa uchaguzi?
Mana Kuna mgombea mmoja yeye kila akiona nyomi kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.