zamani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mmejazana kwenye kijiwe cha kahawa hapo stendi ya Zamani Chato mkifurahia Manunga ,Mbunge wenu na wenzake kupandishwa mahakamani

    Mna mambo ya ajabu sana hapo Chato. Ndio mmepata story ya kufurahia? Kwa hiyo kwa hii CCM mnadhania watafungwa?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Makalla: Mgogoro wa wenye maduka stendi ya zamani Arusha unakuzwa na watu wenye maslahi. Viongozi wanakodi kwa 250,000 na kupangisha kwa 1,500,000

  3. JamiiForums Tanzania R. Kelly achunguzwa akidaiwa kumiliki Namba ya zamani ya Mkuu wa Gereza ndani ya jela

    R. Kelly anachunguzwa na mamlaka za shirikisho baada ya nambari ya simu ya mkuu wa gereza aliyestaafu kupatikana katika daftari lake katika gereza la North Carolina. Mwimbaji huyo wa R&B aliyeporomoka sifa anatumikia vifungo virefu vya shirikisho baada ya kutiwa hatiani kwa makosa ya uhalifu wa...
  4. JamiiForums Tanzania Mtandao wa X zamani twitter watoweka hewani - Februari 16, 2026

    Nimewasha mpaka VPN wapi, vipi kuna hitilafu kwenye mtandao wa x?
  5. JamiiForums Tanzania Mwaka 2026 JF Inatimiza Miaka 20! Tuwakumbuke Wana JF wa Zamani, Tuwaenzi, Tuwarudishe, na Wale ma GT wa Enzi Zile Waurejeshe Moto Kama Ule au ..?

    Wanabodi, Mwaka Huu 2026 JF Inatimiza Miaka 20!, tangu uwepo wake, tangu enzi zile za JamboForums. Pia soma Miaka 20 ya JamiiForums (Machi 2006 - Machi 2026): Tukio gani hutalisahau lililotokea ndani JF? Pia unaweza kujikumbusha Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums... Natoa wito, kwanza...
  6. JamiiForums Tanzania Hawa mbu wa siku hizi ni Toleo Jipya au ni walewale wa zamani?

    Nauliza tu kwa kutaka kujua hawa mbu ninaowaona siku hizi ni toleo jipya au? Maana hata uwapulizie na nini hawafi
  7. R

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Aliyekuwa waziri wa sheria, Abubakar Malami na Mwanawe Abdulaziz wanakabiliwa na Mashtaka ya Ugaidi

    Polisi wa jimbo nchini Nigeria Jumanne wamewashtaki aliyekuwa Waziri wa Sheria, Abubakar Malami, pamoja na mwanawe Abdulaziz, kwa makosa matano yanayohusiana na ugaidi na umiliki wa silaha, miezi kadhaa baada ya taasisi ya kudhibiti uhalifu wa kifedha kuwafungulia mashtaka ya utakatishaji wa...
  8. JamiiForums Tanzania Mwingine tayari au huyu wa zamani

    Nimeona kwa tulia ila kifo
  9. JamiiForums Tanzania RIDHWANI je ulimaanisha hakuna kuhama vituo kwa wanoanza kazi au wote hata wa zamani?

    NCHI MOJA MATAMKO KIBAOOO KILA WAZIRI AKIJA ANABADILI SERA je nyie hamuoni mnageuka MIUNGU WATU? Ridhwani tuambie je umemaanisha wanaonza kazi yaani First appointment ndio hawaruhusiwi kubadili vituo au kuhama au unamaanisha WOOTE hata wa zamani katika.maeneo yao? Nakukumbusha tu kupitia Bunge...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Redio nyingi hazisikiki vizuri hapa mjini ukilinganisha na zamani

    Changamoto hii inasababishwa na nini? Kiss FM RFA CLOUD FM CAPITAL RADIO RADIO ONE TBC 1 N.K Hizi ni moja ya radio zilizosikika vizuri sana iwe kwenye simu au radio yenyewe. Radio zibgine kama wasafi fm, na chipukizi zote hazisikiki vizuri ukiwa kwenye gari au ukiwa na simu au radio kuna...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Waziri wa zamani wa Mafuta Nigeria afunguliwa Kesi ya rushwa London kwa tuhuma za Maisha ya kifahari

    Aliyekuwa Waziri wa Rasilimali za Mafuta wa Nigeria, Diezani Alison-Madueke, amefikishwa mahakamani jijini London akikabiliwa na tuhuma za kupokea rushwa zenye thamani ya mamilioni ya pauni kwa njia ya fedha taslimu, mali za kifahari na matumizi ya majengo ya gharama kubwa kutoka kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Tumetoka mbali: Mada maalum ya matukio ya zamani

    London. Mkoloni ana njia nyingi za kuwaweka katika mstari ulionyoka. Machief wa Tanganyika ziarani Uingereza 1951.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini watanzania wengi bado wanapenda magari ya zamani yenye gearbox za 4AT badala ya gearbox za kisasa yenye CVT ?

    Magari mengi yenye gearbox za 4at ni yamiaka zaidi ya 15 iliyopita Magari ya CVT ni ya kisasa zaidi na yanatumia mafuta kidogo Lakini unawakuta watu wapo radhi kununua gari yenye 4at yenye gharama kubwa zaidi kuzidi yenye cvt. Kwanini watanzania wanaogopa CVT ?
  14. JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu Masaju: Majaji na Mahakimu wawezeshwe kuishi maeneo salama na yenye hadhi kama ilivyokuwa zamani

  15. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza hivi karibuni ukienda upande wa photos hautokuta uzi wa warembo wa kali ukitrend namba 1 kama zamani.

    Hii shift sio ya kawaida, There is a depeer meaning.
  16. JamiiForums Tanzania Baadhi ya mambo ambayo tulifanya toka zamani ila kiuhalisia Kama jamii tulifeli pakubwa mnoo

    1: Kuruhusu mgeni alale na mtoto wako mdogo chumba au kitanda kimoja 2: Kuwabania vikali mabinti katika mikusanyiko ya kila siku ya maisha, hii imetengeneza vijana wengi machapati mikoa ya pwani 3: Ubinafsi na ukoloni wa baba katika uendeshaji na ushirikishaji wa mali zake 4: Kuwachezea...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wale wasafiri wa zamani waliopita mlima Sekenke, unakumbuka nini?

    Achana na Sekenke ya sasa hivi iliyochongwa, kuna ile ya zamani ambayo haikuwa na lami. Mara ya kwanza napita pale 2006 kwanza tukashushwa kwenye gari wakabaki wazee, watoto na wagonjwa, bus likaanza kukata mlima. Kwakweli ilikuwa hali ya kutisha.
  18. JamiiForums Tanzania Badilisha PC yako ya zamani kuwa Powerful MIKROTIK ROUTER

    Router zenye uwezo mkubwa bei yake ipo juu sana. Sasa nikaanza kufanya research ya kama PC ikiwa na Windows OS ya kawaida kama inaweza kufanya kazi kama Router. Nilihangaika mpaka kuja kupata majibu kuwa kama unataka kutumia PC yako kama Router basi inabidi usasishe (install) OS ambayo ni...
  19. JamiiForums Tanzania Hizi hela za zamani zina dili gani au ni ushirikina?

    Wenye ujuzi wa haya mambo tunaombeni elimu
  20. I

    JamiiForums Tanzania Maisha hayawezi kuwa kama zamani

    Kwa mauwaji yale. Tanzania haiwszi kuwa kama zamani. Ushauri wangu kwa wale Lumumba Buku 7, acheni kupoteza muda wenu. Huwezi kuua watu namna ile halafu ukadhani maisha yataendelea tu kama kawaida. Haiwezekani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…