Mara ya kwanza kufanya mapenzi, ilikuwaje?

Mara ya kwanza kufanya mapenzi, ilikuwaje?

Nyafwili

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2023
Posts
5,954
Reaction score
15,135
109431.jpg

Mimi nilipoteza ubikira wangu kwa kahaba... Inasikitisha sana lakini ndo ukweli wenyewe.

Nakumbuka kipindi hicho tulipokuwa shule ya sekondari. Ikifika mida ya saa mbili usiku rafiki yangu mkubwa Ngaluli alikuwa akinichukua na kunipeleka sehemu ambayo makahaba huwa wanajiuza.

Alikuwa ananipa pesa kisha ananiambia nichague msichana yeyote ninayemtaka.

Baada ya hapo alikuwa anaingia na kahaba aliyemchagua, huku mimi nikibaki nje, wakati huo nilikuwa na aibu sana, na pia sikuwa na pesa hivyo rafiki yangu Ngaluli ndo anaweka mambo sawa ili kuhakikisha jambo linafanyika.

Kwa hiyo nikipewa zile pesa nilikuwa naficha ndani ya boksa yangu baada ya hapo nazuga zuga eneo hilo kisha natoka nje kumsubiri na kujifanya kana kwamba nami nilikuwa nimefanya ngono. Tuliendelea na utaratibu huo huo kwa muda fulani, huku zile pesa nikawa najiwekea kama akiba kila baada ya kutoka kwenye tukio.

Siku moja Ngaluli sijui alishituka nini akaniambia hapana kwa leo ni lazima niingie kwanza mimi kabla yake. Aiseeeee!!!

Niliingia nikiwa na aibu kama zote. Baada ya kufika chumbani yule demu akavua nguo zake haraka, akajitupia kitandani kama gogo na kunipa ishara kuwa nimfuate, Na mimi taratibu nikavua nguo nikamalizia na boksa yangu kisha nikamfuata, lakini kabla hata ya sekunde chache kupita. Nikamaliza.

Nikamwambia, "Samahani." Demu akatabasamu, kisha akaniambia haya ninyonye matiti, basi nikaanza kuyanyonya matiti yake

Baada ya kama dakika ishirini hivi nikatoka mle ndani nikijihisi kama mwanaume kamili

Rafiki yangu akaniuliza, "Aisee, mbona umekaa muda mrefu hivyo?" Nikamjibu kwa kujisifu, "Mimi nina nguvu sana, hadi demu ameniomba nimuache apumzike kwanza!"

Hivyo ndivyo nilivyoanza maisha yangu ya kuvijua vipochi manyoya.
Je, mara yako ya kwanza kufanya ngono ilikuwaje?
 
View attachment 3637701
Mimi nilipoteza ubikira wangu kwa kahaba... Inasikitisha sana lakini ndo ukweli wenyewe.

Nakumbuka kipindi hicho tulipokuwa shule ya sekondari. Ikifika mida ya saa mbili usiku rafiki yangu mkubwa Ngaluli alikuwa akinichukua na kunipeleka sehemu ambayo makahaba huwa wanajiuza.

Alikuwa ananipa pesa kisha ananiambia nichague msichana yeyote ninayemtaka.

Baada ya hapo alikuwa anaingia na kahaba aliyemchagua, huku mimi nikibaki nje, wakati huo nilikuwa na aibu sana, na pia sikuwa na pesa hivyo rafiki yangu Ngaluli ndo anaweka mambo sawa ili kuhakikisha jambo linafanyika. Kwa hiyo nikilewa zile pesa nilikuwa naficha ndani ya boksa yangu baada ya hapo nazuga zuga eneo hilo kisha natoka nje kumsubiri na kujifanya kana kwamba nami nilikuwa nimefanya ngono. Tuliendelea na utaratibu huo huo kwa muda fulani, huku zile pesa nikawa najiwekea kama akiba kila baada ya kutoka kwenye tukio.

Siku moja Ngaluli sijui alishituka nini akambia hapana kwa leo ni lazima niingie kwanza mimi kabla yake. Aiseeeee!!!

Niliingia nikiwa na aibu kama zote. Baada ya kufika chumbani yule demu akavua nguo zake haraka, akajitupia kitandani kama gogo na kunipa ishara kuwa nimfuate, Na mimi taratibu nikavua nguo nikamalizia na boksa yangu kisha nikamfuata, lakini kabla hata ya sekunde chache kupita..... Nikamaliza.
Nikamwambia, "Samahani." Demu akatabasamu, kisha akaniambia haya ninyonye matiti, bssi nikaanza kuyanyonya matiti yake,
Baada ya kama dakika ishirini hivi nikatoka mle ndani nikijihisi kama mwanaume kamili.

Rafiki yangu akaniuliza, "Aisee, mbona umekaa muda mrefu hivyo?" Nikamjibu kwa kujisifu, "Mimi nina nguvu sana, hadi demu ameniomba nimuache apumzike kwanza!"

Hivyo ndivyo nilivyoanza maisha yangu ya kuvijua vipochi manyoya.
Je, mara yako ya kwanza kufanya ngono ilikuwaje?
Ukimuangalia mwanamke kwa kumta.ani, umeshazini tayari. Ndio maana mwanaume hajaumbwa kuwa bikira
 
Back
Top Bottom