Duu! Namba ya gari imekuwa ndiyo bei? Ndugu mwandishi zamani namba za magari zilikuwa zinaanza na TZ halafu inafuata herufi, baadaye namba. Mfano TZA 250; TZB 470 nk. Hiyo hapo kwenye tangazo la gazeti namba yake ilikuwa ni TZH 3830View attachment 3636601
tuwahi kununua magari tusije shangaa passo bila mil 100 hupati.
Wewe utakuwa Gen Z, umekurupuka.. iweje bei ya gari 3830 wakati huo huo kwenye tangazo lingine nauli ya kuwarudisha nyumbani vijana wa shule ni 10000?View attachment 3636601
tuwahi kununua magari tusije shangaa passo bila mil 100 hupati.
Mwaka 1992 tuliuza 504 Tsh.70,000.Sasa hiyo afutatu imetokea wapi?Gari inauzwa afu 3,nauli afu 10 mleta mada we huogopi😀😀😀😀
TZH3830 ni namba ya gari, sio beiView attachment 3636601
tuwahi kununua magari tusije shangaa passo bila mil 100 hupati.
TZH ni gari za miaka ya mid 90s, Kuna uwezekano mtoa mada alikuwa hajazaliwaHiyo namba ya gari mwehu wewe
TZP166View attachment 3636601
tuwahi kununua magari tusije shangaa passo bila mil 100 hupati.
Hii comment imenichekesha bwanaWewe utakuwa Gen Z, umekurupuka.. iweje bei ya gari 3830 wakati huo huo kwenye tangazo lingine nauli ya kuwarudisha nyumbani vijana wa shule ni 10000?