Ma "file" ya zamani ya mwenza wako!

Ma "file" ya zamani ya mwenza wako!

Sister Abigail

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2020
Posts
4,169
Reaction score
12,954
Je ulitokea mtu uliemuaamini ukatumiwa au kugundua "mafile" yake yasiyopendeza machoni utachukua hatua gani?
Kwa zama hizi za technology ambazo hawasimulii tu Kwa kinywa Bali Kuna ushahidi wa picha,videos nk
Au response itategemea na ukubwa wa file na uzito wake?😊
Na ikiwa tayari ushaingia nae kwenye ndoa takatifu?

DADA/KAKA utachukua hatua gani?
Si naona tufanye yaliyopita si ndwele mgange yajayo?


Nimehoji baada ya kusoma kisa mahali,msemaji wa klabu ya mpira nguli Tz akidai ndoa yake haikudumu hata week nne,chanzo ni mafile ya zamani ya bibie aliyotumiwa na watu mbalimbali.
Alifanya mahusiano yake kuwa Siri zaidi ya miaka miwili,watu wengi hawakujua,hata alimvyomtolea mahari hawakujua,ila picha za send off zilivyopostiwa tu mtandaoni,wadau toka mahali tofauti wakamuona!!
mafile yakaanza kumiminika kwenye simu yake.alikosa hata nguvu ya kufunga Ndoa,akajikaza but mwezi mmoja tu akashindwa kuvumilia.

Kwa upande wako,dada/kaka
Ukikumbwa na situation kama hizi unazuhandle vipi?
Je ni sahihi kumuacha mwenza wako kisa Maisha yake ya nyuma?
Kumbuka hayo ni ya nyuma.
Bado Kuna Maisha ya mbeleni.

Karibuni
 
Mimi naroga mtu.. Namtupia gundu la kinyesi anuke anukike
IMG-20260506-WA0017.jpg
 
Ina maana msemaji hakuona red flag hata moja??? Au alikua akiongozwa na kichwa kingine?

Mfano tu siku ya kwanza ndo umeenda nae faragha, ukimuweka doggy mtoto anaenda, unajaribu popo kanyea sijui nini kaenda, styles zote unazomuweka anaenda vizureee hiyo ni red flag tosha.

Ila sasa ukisikiliza kichwa cha chini kitakwambia "" hapa ukioa utafaidi, si unaona pisi iko flexible styles zote inaenda""

Hapo unatakiwa ujiulize hizo styles kajifunzia wapi?? Na kina nani???
Screenshot_20250430-095311_YouTube.jpg
 
Back
Top Bottom