Unachokipitia sasa ni matokeo ya kile ambacho ulikianzisha zamani

Thecoder

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2015
Posts
2,443
Reaction score
6,327
Dunia kwa ujumla wake ni sehemu ya matokeo yaliyo na sababu fulani.

Hakuna jambo lolote duniani ambalo linaweza kumkuta mtu au kutokea kwa bahati mbaya, bali kila jambo ambalo linamkuta mtu au linatokea jua ni matokea ya sababu au vyanzo vya kale.

Kwa maana hiyo basi, dunia haijawahi mtendea mtu jambo lolote ambalo hastahili bila kujali ya kwamba jambo hilo ni baya au zuri ila maadam limekutokea au kukupata basi kuwa na hakika hilo ni jambo ambalo limesababishwa na chanzo fulani katika kale yako.

Twende taratibu hapa, iko hivi, matokeo yoyote huandaliwa ingawa watu wengi wamezoea kufanya maandalizi kwenye matokeo ya mazuri ya kimwili ila yale matokeo mabaya ambayo huja tu kwa surprise hasa ya kiroho hawajui kama na yenyewe yaliandaliwa iwe kwa kujua au kutokujua iwe kwenye maisha haya au yaliyopita.

Kwasababu dunia haijawahi kuwa na kitu kipya, vitu ni vile vile ambavyo hujirudia kulingana na nyakati kwa kuzingatia vyanzo vyake ndani ya mbegu zilizomea katika nyakati au zama husika.

Na kimsingi wote tunajua ya kwamba, ukuaji na maendeleo yote hutegemea watu na mtu si mwili tu unaoonekana bali mtu ni roho iishiyo ndani ya mwili.

Sasa, roho ni mfano wa mbegu ambayo haiwezi potea duniani, na kama ilivyombegu nyingine huota pale ilipozikiwa.

Huwezi ukaizika mbegu Dar halafu utarajie iende ikaote Arusha, bali pale ilipozikiwa ndipo itakapochipukia.

Kwahiyo, ukuaji na maendeleo yanayotokea maeneo mbalimbali duniani kwakua huletwa na watu basi kuwa na hakika sehemu ambazo zimezika mbegu nyingi bora ndizo zitakazo otesha miche bora sana itakayopelekea uvunaji wa matunda mazuri.

Sawa, najua bado hujanipata vizuri ila wacha nijaribu kujenga hoja itakayonifanya nielekee kwenye mfano ambao utakupa mwanga kidogo, ni hivi….

Zipo mbegu ambazo husafirishwa kutoka katika nchi moja hadi nyingine au eneo moja hadi jingine na kwenda kuzikwa huko, kwahiyo utaona hapo ya kwamba kiasili si mbegu za maeneo hayo ila zimesafirishwa na kwenda kuzikwa kwenye maeneo mengine na yale ya asili yake ya kwanza, kisha zikaota na kumea huko.

Na nilikwambia mbegu ni mfano wa roho, kwahiyo pale ambapo utazikiwa ndipo ambapo utachipukia, inawezekana umeishi maisha yako yote Tanzania ila ikatokea ukaumwa ukaenda India kutibiwa ukafa na wakaamua kukuzika huko basi kwenye mzunguko ujao roho yako itachipukia India sio Tanzania tena.

Na hii ndio ambayo hupelekea kuna baadhi ya watu kiasili ni wanatokea kwenye mataifa fulani kwa namna ya kimwili na kule ambako walikozaliwa ila ndani yao hujikuta wanauhusudu sana utamaduni wa nchi au jamii tofauti na ile ambayo yeye anatokea.

Hili sio jambo la makusudi wala bahati mbaya ila ni jambo ambalo hutokea kwasababu wewe halisi yaani roho anakua na kumbukumbu fichi na ile asili yake ya kwanza kwasababu unakuta aliishi kwenye hiyo asili kwa takribani nusu na robo ya maisha yake yote yaliyopita kwahiyo hiko unachojiskia ni matokeo ya yale maisha ya nyumba ambayo roho yako iliwahi kuyaishi.

Kwahiyo kifo ni mwanzo wa maisha mapya, ingawa mwanzo huo hautokei kwa haraka kwa maana process nzima ni ile ya mtindo wa FIFO yaani first in first out.

So, utakufa mwili utapata uharibifu ila roho kama mbegu itarudi kwenye foleni kusubiri kurudishwa kwenye mzunguko mwingine wa duniani, ni kama vile ambavyo utazika mbegu ya muhindi kisha itaota na kumea na itapata mwili wa kuiunganisha moja kwa moja na Dunia kisha ule mwili utafika ukomo na kufa ila mbegu itahifadhiwa na kusubiri msimu wake ufike ipandwe tena.

Kwahiyo mchakato mzima wa maisha ya duniani upo katika mtindo wa infinity loop, kwa maana ni kitendo ambacho kinakwenda na kujirudia tena na tena.

Angalia bara la Africa ambavyo limekua na maendeleo makubwa kwenye upande wa imani, utaona makanisa misikiti imeenea maeneo mengi kiasi cha watu kuhoji kwanini kwetu Imani imekua kubwa while kule kwa wale waliotuletea huo utamaduni ni ndogo sana, ukitafakari hapo utapata jibu ya kwamba kuna mabadilishano ya mbegu yalitokea, zipo mbegu imara ambazo zilibebwa kutoka Africa na kupelekwa maeneo mengine ya dunia na kwenda kupandwa huko na pia zipo mbegu zilizotoka maeneo ya huko zilikua Africa na zikapandwa huku, na kama unavyojua mbegu huota pale ilipozikiwa au kupandwa so haya matokeo yote yalisababishwa na hiko chanzo.

Ila kitu kizuri ni kwamba, kwakua maisha ni mzunguko na mabadiliko hutegemeana na aina ya mbegu ambazo zilipandwa katika msimu husika basi tarajia uendelevu wa mabadiliko kulingana na msimu uliopo na aina za mbegu zilizopo kwenye foleni yaani kwenye queue.

Ndio maana utaona kuna baadhi ya watu wameanza kuhoji juu ya uwezo wa kutafakari na ubunifu wa mambo mbalimbali uliopo kwenye kizazi hiki na kile kilichopita, sasa haya yote ni matokeo yaliyoletwa na chanzo cha namna hiyo.

Huwezi kupanda mbegu za hovyo na ukategemea uvune mazao mazuri, mazao mazuri hutegemea aina ya mbegu ambazo zimepandwa.

Kwahiyo Dunia au ulimwengu ni sehemu ya matokeo yenye chanzo, Kila ambacho hufanyika sasa huenda kudefine future ya mtu binafsi au eneo husika, na hapa ndipo ambapo ile dhana ya karma huingia, hasa kwa mtu binafsi.

Kwa maana ulimwengu haumtambui mtu kwa mwili ama sura ila unamtambua mtu kwa mitetemo.

Kwahiyo mitetemo ndio kitu ambacho huenda kuathiri roho ya mtu moja kwa moja, kwahiyo kadri unavyoiathiri roho yako kwa mitetemo hasi basi ndivyo unavyoitengenezea mazingira ya kuanzia hapo kwenye hasi pindi itakaporudi tena kwenye mzunguko.

Lakini ukiiathiri roho yako kinamna chanya pindi itakapopandwa na kurudi tena kwenye mzunguko kuwa na hakika itaanzia hapo hapo kwenye chanya.

Kwahiyo Dunia humtendea mtu halisi kwa namna ile ambayo anastahili, kwasababu Dunia au ulimwengu kwa ujumla ni sehemu ya matokeo yaliyo na chanzo fulani.

Kwa maana hiyo basi, hayo maisha ambayo unayaishi sasa na namna watu wanavyokuchukulia bila kujali muonekano wako wa kimwili au jinsia yako, kuwa na uhakika hayo ni matokeo yaliyoletwa na hiyo mbegu ambayo ipo ndani ya mwili wako.

Najua kunamtu anaweza akasema sasa Mimi nnamakosa gani yaani makosa afanye mtu mwingine halafu tabu nije nizipate Mimi? Jibu ni kwamba, wewe ni yule yule tofauti hapo ni nyakati na mwili ila mbegu ni ile ile tu.

Kwahiyo hakuna mtu mwingine ambae alifanya hayo makosa bali ni wewe mwenyewe ila ni vile tu hauwezi kumbuka na pia hakuna mtu mwingine ambae alifanya wema ni wewe ila hauwezi kukumbuka.

Na ili uelewe vizuri hapa ni kwamba duniani wapo watu ambao wanaishi maisha mazuri yaani luxury life ila hayo maisha mazuri wanayoishi hawajawahi yagharamia wao wenyewe, unakuta mtu tangu anazaliwa hajawahi nunua nguo kwa pesa yake, hajawahi nunua simu, hajawahi jilipia Kodi ya nyumba wala hajawahi jinunulia gari kwa pesa yake, wala hajawahi jilipia nauli kwa pesa yake kwenda nchi tofauti tofauti ila vyote hivyo anavyo na anaishi maisha mazuri kupitia watu.

Yaani unakuta hata kazi ya maana hana ila anapewa gari, anapewa nyumba, anapewa OFA ya safari ya hapa na pale, tena wala sio kwamba analazimisha ila ni vitu ambavyo huja kwake venyewe. (Hapa sizungumzii wale wadangaji na wenye mambo ya hovyo nazungumzia wale ambao wako na akili timamu na ni watu wa maana sana ila wamejikuta tu maisha yao yanaenda kimtindo huo kiasi cha kufanya hata wao wasielewe ni kwanini mambo huwa hivyo ila kimsingi hayo yote ni matokeo ambayo yamesababishwa na maisha yaliyopita na ndio hapa sasa ambapo tunasema karma)

Pia kuna watu ambao utakuta wao ni wapole sana na wako na mionekano ya upole hata kwa sura zao ila ni watu ambao huogoza kuteswa na watu au kuonewa na watu wengine bila sababu za msingi, yaani unakuta Kila sehemu ambayo anaenda hatendewi vizuri na watu wa eneo hilo kiasi cha kufanya ajihisi labda ako na mikosi ila wala sio mikosi bali ni matokeo yaliyosababishwa na mbegu iliyopo ndani mwako kwa kuzingatia yale maisha ya nyuma na hiyo ndio karma.

Pia wapo watu ambao wao kazi yao ni kusaidia wengine tu, na kuna wakati mwingine si kwamba wako na kipato kikubwa kifedha ila hicho hicho kidogo unakuta wanagawana na wengine, na unakuta kutokana na tabia zao hizi wanapokua kwenye ndoa wanapata wakati mgumu kwa wenza wao kwa maana wanajikuta hadi wanachukiwa au kuachwa kabisa kwa maana maendeleo hakuna ila mtu kila akipata pesa lazima apatane na kipengele cha kutoa msaada na hii huendelea hadi mwisho wa maisha yake.

Haya yote ni matokeo yaliyosababishwa na maisha yaliyopita na hiyo ndio karma yenyewe, kiufupi matokeo yanayofuata taratibu za kilimwengu huwa ni ya kimsimu, kwahiyo hutokea zama hadi zama.

Ndio maana kila jambo ambalo utalifanya kiroho matokeo yake huwa ni ya kiroho na si yote unaweza yashuhudia kwa zama hizi ulizopo na kila jambo ambalo hufanyika kimwili matokeo yake huonekana kimwili na haya lazima utayaona kwa haraka sana, ingawa pia yapo mambo ambayo huathiri maeneo yote mawili kwa maana kiroho na kimwili katika wakati mmoja.

Na hupaswi kusahau ya kwamba ili upate mbegu bora lazima ujitahidi kuutunza mche uliobeba mbegu hiyo.
 
Eleza ni kwa namna gani
Kwanza unatakiwa ujue ya kwamba jambo lolote ambalo ni hakika kwa mtu huwa haliepukiki hata ufanyeje.

Na Kila mtu pindi tu anapokuja duniani ramani ya maisha yake inakua tayari imeandaliwa na kwenye hiyo ramani tayari kuna hakika zipo ndani yake, hii hakika nnayosema ni hatima.

Sasa mtu anaweza badili njia za kuiendea hakika yake ila hakika yenyewe itabaki kuwepo pale pale tu.

Ndio maana jambo lolote baya au zuri lililondani yako linaweza likawa ni faida au hasara si kwako tu bali hata kwa watu waliokuzunguka.

Kuna watu walishawahi kuwa kwenye maeneo ambayo walikua wanapata Kila kitu na walisettle hapo kwa maana walikua kwenye comfort zone ila yalitokea mambo yaliyowafanya watoke kwenye maeneo hayo wewe wenyewe bila hata kutarajia, lakini hadi leo hii wamejikuta wapo kwenye maeneo mengine ambayo hawajawahi hata kuyawaza na ukitaka uelewe vizuri hili nenda kasome hadithi ya bwana mmoja anaitwa Yusufu, angalia namna ambavyo alikua anatolewa kwenye comfort zone ili kuielekea hakika yake, kuna kitu utajifunza hapo ya kwamba si Kila ubaya unaofanyiwa na mtu ni kusudio la mtu huyu kuutenda kwako bali ni external force iliyoutumia ubaya uliondani yake ili uwe chanzo cha kuleta mabadiliko ya msimu mpya wa kuelekea kwenye hatima yako wewe.

Sasa, nikijibu swali lako la msingi ni kwamba wema ni hazina na hazina hii inaenda kuaffect mitetemo yako kinamna chanya kwahiyo mzunguko utakapoisha na kuja mwingineo hautaishi kama ulivyokua kwenye mzunguko uliopita, lakini ndani ya mzunguko huu huwezi badili hakika yako lazima utaiface tu.

Kuna hadithi ya Yesu au Issa bin Mariam, angalia ambavyo ubaya wa tamaa uliopo ndani ya Yuda ulivyotumika kama force ya kuspeed up mchakato wa Issa kwenda kuikabili hatima yake, ingawa yeye mwenyewe alitamani sana aepushiwe hiko kitendo ila ikashindikana kwasababu tayari ni kitu kipo kwenye ramani yake katika zama ambazo aliishi.
 
So it means kama Kuna mtu now amekuwa ni mganga basi huko nyuma before hajafa Alikuwa ni mganga pia !!!?

Mbegu ya Muhindi maharage Vina onekana so kwanini hiyo roho haionekani!?
 
Dunia kwa ujumla wake ni sehemu ya matokeo yaliyo na sababu fulani.

Hakuna jambo lolote duniani ambalo linaweza kumkuta mtu au kutokea kwa bahati mbaya, bali kila jambo ambalo linamkuta mtu au linatokea jua ni matokea ya sababu au vyanzo vya kale.

Kwa maana hiyo basi, dunia haijawahi mtendea mtu jambo lolote ambalo hastahili bila kujali ya kwamba jambo hilo ni baya au zuri ila maadam limekutokea au kukupata basi kuwa na hakika hilo ni jambo ambalo limesababishwa na chanzo fulani katika kale yako.

Twende taratibu hapa, iko hivi, matokeo yoyote huandaliwa ingawa watu wengi wamezoea kufanya maandalizi kwenye matokeo ya mazuri ya kimwili ila yale matokeo mabaya ambayo huja tu kwa surprise hasa ya kiroho hawajui kama na yenyewe yaliandaliwa iwe kwa kujua au kutokujua iwe kwenye maisha haya au yaliyopita.

Kwasababu dunia haijawahi kuwa na kitu kipya, vitu ni vile vile ambavyo hujirudia kulingana na nyakati kwa kuzingatia vyanzo vyake ndani ya mbegu zilizomea katika nyakati au zama husika.

Na kimsingi wote tunajua ya kwamba, ukuaji na maendeleo yote hutegemea watu na mtu si mwili tu unaoonekana bali mtu ni roho iishiyo ndani ya mwili.

Sasa, roho ni mfano wa mbegu ambayo haiwezi potea duniani, na kama ilivyombegu nyingine huota pale ilipozikiwa.

Huwezi ukaizika mbegu Dar halafu utarajie iende ikaote Arusha, bali pale ilipozikiwa ndipo itakapochipukia.

Kwahiyo, ukuaji na maendeleo yanayotokea maeneo mbalimbali duniani kwakua huletwa na watu basi kuwa na hakika sehemu ambazo zimezika mbegu nyingi bora ndizo zitakazo otesha miche bora sana itakayopelekea uvunaji wa matunda mazuri.

Sawa, najua bado hujanipata vizuri ila wacha nijaribu kujenga hoja itakayonifanya nielekee kwenye mfano ambao utakupa mwanga kidogo, ni hivi….

Zipo mbegu ambazo husafirishwa kutoka katika nchi moja hadi nyingine au eneo moja hadi jingine na kwenda kuzikwa huko, kwahiyo utaona hapo ya kwamba kiasili si mbegu za maeneo hayo ila zimesafirishwa na kwenda kuzikwa kwenye maeneo mengine na yale ya asili yake ya kwanza, kisha zikaota na kumea huko.

Na nilikwambia mbegu ni mfano wa roho, kwahiyo pale ambapo utazikiwa ndipo ambapo utachipukia, inawezekana umeishi maisha yako yote Tanzania ila ikatokea ukaumwa ukaenda India kutibiwa ukafa na wakaamua kukuzika huko basi kwenye mzunguko ujao roho yako itachipukia India sio Tanzania tena.

Na hii ndio ambayo hupelekea kuna baadhi ya watu kiasili ni wanatokea kwenye mataifa fulani kwa namna ya kimwili na kule ambako walikozaliwa ila ndani yao hujikuta wanauhusudu sana utamaduni wa nchi au jamii tofauti na ile ambayo yeye anatokea.

Hili sio jambo la makusudi wala bahati mbaya ila ni jambo ambalo hutokea kwasababu wewe halisi yaani roho anakua na kumbukumbu fichi na ile asili yake ya kwanza kwasababu unakuta aliishi kwenye hiyo asili kwa takribani nusu na robo ya maisha yake yote yaliyopita kwahiyo hiko unachojiskia ni matokeo ya yale maisha ya nyumba ambayo roho yako iliwahi kuyaishi.

Kwahiyo kifo ni mwanzo wa maisha mapya, ingawa mwanzo huo hautokei kwa haraka kwa maana process nzima ni ile ya mtindo wa FIFO yaani first in first out.

So, utakufa mwili utapata uharibifu ila roho kama mbegu itarudi kwenye foleni kusubiri kurudishwa kwenye mzunguko mwingine wa duniani, ni kama vile ambavyo utazika mbegu ya muhindi kisha itaota na kumea na itapata mwili wa kuiunganisha moja kwa moja na Dunia kisha ule mwili utafika ukomo na kufa ila mbegu itahifadhiwa na kusubiri msimu wake ufike ipandwe tena.

Kwahiyo mchakato mzima wa maisha ya duniani upo katika mtindo wa infinity loop, kwa maana ni kitendo ambacho kinakwenda na kujirudia tena na tena.

Angalia bara la Africa ambavyo limekua na maendeleo makubwa kwenye upande wa imani, utaona makanisa misikiti imeenea maeneo mengi kiasi cha watu kuhoji kwanini kwetu Imani imekua kubwa while kule kwa wale waliotuletea huo utamaduni ni ndogo sana, ukitafakari hapo utapata jibu ya kwamba kuna mabadilishano ya mbegu yalitokea, zipo mbegu imara ambazo zilibebwa kutoka Africa na kupelekwa maeneo mengine ya dunia na kwenda kupandwa huko na pia zipo mbegu zilizotoka maeneo ya huko zilikua Africa na zikapandwa huku, na kama unavyojua mbegu huota pale ilipozikiwa au kupandwa so haya matokeo yote yalisababishwa na hiko chanzo.

Ila kitu kizuri ni kwamba, kwakua maisha ni mzunguko na mabadiliko hutegemeana na aina ya mbegu ambazo zilipandwa katika msimu husika basi tarajia uendelevu wa mabadiliko kulingana na msimu uliopo na aina za mbegu zilizopo kwenye foleni yaani kwenye queue.

Ndio maana utaona kuna baadhi ya watu wameanza kuhoji juu ya uwezo wa kutafakari na ubunifu wa mambo mbalimbali uliopo kwenye kizazi hiki na kile kilichopita, sasa haya yote ni matokeo yaliyoletwa na chanzo cha namna hiyo.

Huwezi kupanda mbegu za hovyo na ukategemea uvune mazao mazuri, mazao mazuri hutegemea aina ya mbegu ambazo zimepandwa.

Kwahiyo Dunia au ulimwengu ni sehemu ya matokeo yenye chanzo, Kila ambacho hufanyika sasa huenda kudefine future ya mtu binafsi au eneo husika, na hapa ndipo ambapo ile dhana ya karma huingia, hasa kwa mtu binafsi.

Kwa maana ulimwengu haumtambui mtu kwa mwili ama sura ila unamtambua mtu kwa mitetemo.

Kwahiyo mitetemo ndio kitu ambacho huenda kuathiri roho ya mtu moja kwa moja, kwahiyo kadri unavyoiathiri roho yako kwa mitetemo hasi basi ndivyo unavyoitengenezea mazingira ya kuanzia hapo kwenye hasi pindi itakaporudi tena kwenye mzunguko.

Lakini ukiiathiri roho yako kinamna chanya pindi itakapopandwa na kurudi tena kwenye mzunguko kuwa na hakika itaanzia hapo hapo kwenye chanya.

Kwahiyo Dunia humtendea mtu halisi kwa namna ile ambayo anastahili, kwasababu Dunia au ulimwengu kwa ujumla ni sehemu ya matokeo yaliyo na chanzo fulani.

Kwa maana hiyo basi, hayo maisha ambayo unayaishi sasa na namna watu wanavyokuchukulia bila kujali muonekano wako wa kimwili au jinsia yako, kuwa na uhakika hayo ni matokeo yaliyoletwa na hiyo mbegu ambayo ipo ndani ya mwili wako.

Najua kunamtu anaweza akasema sasa Mimi nnamakosa gani yaani makosa afanye mtu mwingine halafu tabu nije nizipate Mimi? Jibu ni kwamba, wewe ni yule yule tofauti hapo ni nyakati na mwili ila mbegu ni ile ile tu.

Kwahiyo hakuna mtu mwingine ambae alifanya hayo makosa bali ni wewe mwenyewe ila ni vile tu hauwezi kumbuka na pia hakuna mtu mwingine ambae alifanya wema ni wewe ila hauwezi kukumbuka.

Na ili uelewe vizuri hapa ni kwamba duniani wapo watu ambao wanaishi maisha mazuri yaani luxury life ila hayo maisha mazuri wanayoishi hawajawahi yagharamia wao wenyewe, unakuta mtu tangu anazaliwa hajawahi nunua nguo kwa pesa yake, hajawahi nunua simu, hajawahi jilipia Kodi ya nyumba wala hajawahi jinunulia gari kwa pesa yake, wala hajawahi jilipia nauli kwa pesa yake kwenda nchi tofauti tofauti ila vyote hivyo anavyo na anaishi maisha mazuri kupitia watu.

Yaani unakuta hata kazi ya maana hana ila anapewa gari, anapewa nyumba, anapewa OFA ya safari ya hapa na pale, tena wala sio kwamba analazimisha ila ni vitu ambavyo huja kwake venyewe. (Hapa sizungumzii wale wadangaji na wenye mambo ya hovyo nazungumzia wale ambao wako na akili timamu na ni watu wa maana sana ila wamejikuta tu maisha yao yanaenda kimtindo huo kiasi cha kufanya hata wao wasielewe ni kwanini mambo huwa hivyo ila kimsingi hayo yote ni matokeo ambayo yamesababishwa na maisha yaliyopita na ndio hapa sasa ambapo tunasema karma)

Pia kuna watu ambao utakuta wao ni wapole sana na wako na mionekano ya upole hata kwa sura zao ila ni watu ambao huogoza kuteswa na watu au kuonewa na watu wengine bila sababu za msingi, yaani unakuta Kila sehemu ambayo anaenda hatendewi vizuri na watu wa eneo hilo kiasi cha kufanya ajihisi labda ako na mikosi ila wala sio mikosi bali ni matokeo yaliyosababishwa na mbegu iliyopo ndani mwako kwa kuzingatia yale maisha ya nyuma na hiyo ndio karma.

Pia wapo watu ambao wao kazi yao ni kusaidia wengine tu, na kuna wakati mwingine si kwamba wako na kipato kikubwa kifedha ila hicho hicho kidogo unakuta wanagawana na wengine, na unakuta kutokana na tabia zao hizi wanapokua kwenye ndoa wanapata wakati mgumu kwa wenza wao kwa maana wanajikuta hadi wanachukiwa au kuachwa kabisa kwa maana maendeleo hakuna ila mtu kila akipata pesa lazima apatane na kipengele cha kutoa msaada na hii huendelea hadi mwisho wa maisha yake.

Haya yote ni matokeo yaliyosababishwa na maisha yaliyopita na hiyo ndio karma yenyewe, kiufupi matokeo yanayofuata taratibu za kilimwengu huwa ni ya kimsimu, kwahiyo hutokea zama hadi zama.

Ndio maana kila jambo ambalo utalifanya kiroho matokeo yake huwa ni ya kiroho na si yote unaweza yashuhudia kwa zama hizi ulizopo na kila jambo ambalo hufanyika kimwili matokeo yake huonekana kimwili na haya lazima utayaona kwa haraka sana, ingawa pia yapo mambo ambayo huathiri maeneo yote mawili kwa maana kiroho na kimwili katika wakati mmoja.

Na hupaswi kusahau ya kwamba ili upate mbegu bora lazima ujitahidi kuutunza mche uliobeba mbegu hiyo.
Ukipigwa radi by chance nayo ni matokeo ya mambo uliyoyafanya?

Hakuna mambo yanayotokea randomly?

Unajua hata kuzaliwa watu hujikuta washazaliwa, hawachagui kuzaliwa wala kuzaliwa kwa kuwa wamefanya kitu fulani?
 
So it means kama Kuna mtu now amekuwa ni mganga basi huko nyuma before hajafa Alikuwa ni mganga pia !!!?

Mbegu ya Muhindi maharage Vina onekana so kwanini hiyo roho haionekani!?
Hapo sasa unaingia kwenye aina ya mbegu, watu wapo katika makundi mbalimbali ya kihatima, kwamfano wewe unachokifanya sasa hivi hakijaja by chance ila kimekuja kwasababu kipo kwenye kundi ya mambo yanayoendana na wewe.

Kwahiyo sio lazima uwe mganga ili uje kuwa mganga ila unaweza ukawa padre na ukarudi kuwa mganga, unaweza ukawa daktari ukarudi kuwa mganga unaweza ukawa mama ntilie ukarudi ukawa mganga, hii hutokea kwasababu asilimia kubwa ya watu waliopo duniani huwa hawaziendei hatima zao kwa asilimia zote mia moja ila waliowengi hujikuta wanaangukia kwenye mambo yaliyo kwenye kundi moja na yale ya hatima yao ila hatima zao kamili.

Lakini pia inategemea na aina ya udongo ambao umekukuza, kwahiyo kama wewe labda umebeba mambo hayo ya kiimani labda ulikua mtabiri wa nyota au ulikua sheikh mkubwa au mchungaji au daktari na kadhalika then ukajikuta umezaliwa kwenye familia ambayo upande wao wa kiimani ni wa kiganga basi unaweza ukajikuta umeingia kwenye eneo hilo.

Kumbuka Dunia haikutambui wewe kwa sura au umbo lako la nje bali kwa aina ya mitetemo, na kimsingi mitetemo inayofanana huungana au hutengeneza msukumo fulani utakaokufanya uende kule ambako ukomo wako upo.

Na kuhusu kuonekana kwa mbegu ya muhindi ni kwasababu uko na full control nayo ila wewe huna full control na sehemu kubwa ya wewe au ya mtu kwa ujumla.
 
Ukipigwa radi by chance nayo ni matokeo ya mambo uliyoyafanya?

Hakuna mambo yanayotokea randomly?

Unajua hata kuzaliwa watu hujikuta washazaliwa, hawachagui kuzaliwa wala kuzaliwa kwa kuwa wamefanya kitu fulani?
Yeah ukipigwa radi ni matokeo ya yale maisha ambayo uliyaishi hapo awali, coz kutokana na yale maisha kwenye mzunguko mpya umejikuta unaishi maisha yenye njia ngumu za kuuatarisha mwili wakati unapoendelea kusolve puzzle za kihatima.

Mambo hayayokei randomly ila kila jambo linalomtokea mtu ni hakika na hakika huwa haikwepeki.

Ni kama mbegu inavyoweza kuchagua aina ya udongo wa kuota na kumea ndivyo ilivyo kwa mtu anavyoweza kuchagua aina ya wazazi wa kumzaa na kumlea ingawa hii haitokei kwa maamuzi yako binafsi ila inatokea kwa msukumo wa universe.

Mbegu kuota haitegenei rutuba ya eneo husika tu bali hutegemea pia na hali ya hewa, ph na mambo kibao yaliyo kwenye eneo husika.

Ndio maana unaweza ukakuta familia inaitwa familia ya wanamuziki kwamba kuanzia Babu hadi wajukuu wote wanaimba muziki, sasa hii si kwamba ni kweli wote hatima zao zipo hapo ila ni kwamba hatima zao zipo kwenye kundi moja na ndio maana inakua rahisi kuambukizana ila kitakachoonesha yupi alipaswa kuwa hapo na yupi hakupaswa ni namna wanavyodeliver, utagundua huyu ako na kipaji zaidi ya huyu au huyu hatumii nguvu nyingi kama huyu na kadhalika.
 
Hii ni imani ya kidini isiyo na msingi wa kisayansi.

Niliipitia na kuichunguza sana imani hii miaka ya 1990 mpaka 1994 hapo Buddhist Temple Dar es salaam.

Nimetafsiri Damapada kwenda Kiswahili.
 
Kila kitu duniani ni Imani, ila inategemea ni Imani ya wakati ujao au Imani ya wakati uliopita.

Kwahiyo kimsingi hata sayansi ni Imani ila ni Imani ya wakati uliopita, kwasababu hakuna sayansi bila prove na hakuna prove bila kitu kinachotakiwa kufanyia hiyo prove kuwepo.

Kwahiyo kwa maana nyingine unaweza kusema sayansi ilianzia kwenye imani then baadae ikahamia kwenye history kisha kwakua ni kitu ambacho hakikuishia huko kale kikatoka kwenye kuwa history na kupachikwa jina lingine na kuitwa sayansi.

Na mambo yako hivi kwasababu sisi wote tunaishi kwa kuzingatia past na present, hatujali chochote kuhusu future, that's why ukiibuka ugonjwa mpya hapa ambao haujawahi kuwepo tangu katika historia za huko nyuma wote tutakufa kama kuku na hasa ikiwa ugonjwa huo hauna patterns zinazojirudia rudia, ndio maana ugonjwa wote mpya ukitokea watu wanarudi kwenye vitabu kwanza kuangalia history kama uliwahi kuwepo au laa na kama uliwahi kuwepo then ndio wanarudi kwenye patterns na nini ili ile try and error ianzie hapo huku tukiwa tunaendelea kuustudy zaidi.

Kwahiyo Imani pekee ambayo hupigwa na wasomi wengi duniani ni ile ambayo imebeba future coz future haijawahi kuwa na prove.
 
Kuna imani iliyojengwa katika msingi wa uongo na imani iliyojengwa katika msingi wa ukweli.

Ukipanda kwenye ghorofa la kumi ukasema utaruka hewani na kupaa bila ya kusaidiwa na kifaa chochote, hiyo ni imani nayo.

Lakini je, ni imani ambayo imejengwa katika ukweli?

Utaanguka chini na kufa.

Kwa sababu si imani iliyojengwa katika ukweli.

Kwa hiyo, usisisitize kuwa kila kitu ni imani, tuangalie je, imani imejengwa katika ukweli?

Unaposema kila kitu kinatokea kwa sababu ya mambo uliyofanya, kuzaliwa mtu ndiyo mwanzo wa maisha yake yote.

Unataka kusema kuzaliwa kwa mtu nako kunatokea kwa sababu ya mambo aliyofanya awali kabla hajazaliwa?
 
Daahh 😁
 
Uko sawa si Kila Imani imejengwa kwenye misingi ya ukweli ingawa kiuhalisia kitu kikishakua Imani huwa hakiwezi kuwa proved kwahiyo ni ngumu kujua Imani ipi imejengwa kwenye misingi ya ukweli au uongo kwa kusoma au kuskia ikiwa haufeel hata chembechembe yoyote ya kumake sense ndani yako.

Kwasababu Imani ni kama upepo tu, mtu akikwambia kuna upepo lazima uuskie unavyovuma kinyume chake huwezi muelewa.

Ndio maana Mimi nilionesha kama hali ya kusisitiza kidogo ya kwamba karibia Kila kitu duniani huanzia kwenye Imani kabla hakijashift kwenye history kisha kwenda kwenye sayansi while mengine yanaanzia hapo hapo kwenye Imani na kuishia hapo hapo kwenye Imani kwakua hayana past inayokumbukwa na watu wengi.

Yeah, ni kweli mtu anapozaliwa ndio mwanzo mpya wa maisha katika zama mpya ila Kila kitu kuhusu maisha yake tayari kipo coded so ni yeye tu kucall hizo methods vitu vitokee na hapa kwenye hiyo process yote ndio ule muunganiko wa wewe na ulimwengu kulingana na aina ya mitetemo ukiyonayo unapofanya kazi.

Kwahiyo the way unavyomove unavyoconnect na watu, wanavyokutreat, unavyopata connections na aina ya watu unaoconnect nao yote hayo Yana reflect aina ya muunganiko ulio nao na dunia au ulimwengu kwa ujumla na muunganiko huo unategemea sana effect za past yako.

Kuzaliwa kwa mtu kunategemeana na vitu kadhaa katika pande zote za kiroho na kimwili, lakini kiroho mtu kufa hadi kurudi tena inatemea na msimu husika, ingawa si Kila roho iliyowahi kuishi lazima irudi tena kwenye mzunguko ila asilimia kubwa huwa zinarudi.

Kwahiyo ni kweli kuzaliwa kwa mtu hutokea kulingana na aina ya matendo yenye kumpa muunganiko na ulimwengu ambayo aliyoyafanya kabla ya kuzaliwa.

Ni sawa tu na mbegu, utapanda itaota, wakati utafika mwili utafikia ukomo utakauka mbegu itabaki ila kwenye hizo mbegu sio zote zitakazoweza kurudi tena kwenye mzunguko.
 
Unaposema "kiroho" unamaaniaha nini?

Roho ni nini?
 
Unaposema "kiroho" unamaaniaha nini?

Roho ni nini?
Roho ni mbegu ya mtu iliyo ndani ya mwili wa mtu, kwahiyo nikisema kiroho katika hilo andiko mostly namaanisha mchakato wa kiupandaji wa hiyo mbegu yenyewe
 
Hoyo mbegu unaithibitishaje kuwa ipo kweli, na si habari za hadithi tu?
Uthibitisho ni uwepo wa Mimi na wewe na kuendelea kuwepo wanadamu enzi hadi enzi.

Kwa concept ya kimwili uwepo wetu watu wengi hudhani upo kwasababu ya kuzaliana ila kimsingi hakuna kuzaliana pasipo mbegu kupandwa kuota na kumea.

Kwahiyo ili mtu azaliwe lazima afe.

Ili mpapai uendelee kuwepo lazima uzae na ili uzae lazima ufe kwanza then uote na umee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom