zaidi ya

Zaidiyyah, Zaidism, or Zaidi Shiasm (Arabic: الزيدية‎ az-zaydiyya, adjective form Zaidi or Zaydi (occasionally known as Fiver Shias) is one of the Shia sects closest in terms of theology to the Ibadi and Mutazila schools. Zaidiyyah emerged in the eighth century from Shi'a Islam. Zaidis are named after Zayd ibn ʻAlī, the grandson of Husayn ibn ʻAlī and the son of the fourth Imam Ali ibn 'Husain. Followers of the Zaydi Islamic jurisprudence are called Zaydi Shia and make up about 50% of Muslims in Yemen, with the greatest majority of Shia Muslims in that country being of the Zaydi school of thought.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kina Chikwende ni zaidi ya akina Ajibu!

    Jana kulikuwa na mechi kubwa hapa kwetu Simba na Azam! Matokeo tuliyaona na mpira ulikuwa mzuri. Cha kushangaza na sio Afya kwa mpira wetu ni uwepo waa Lundo la wageni. Zaidi ya asilimia 50 waliocheza jana ni wageni! ni kweli Ligi yetu sio ya ridhaa na mpira ni biashara ...Ila hii biashara Ina...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wengi hatuifahamu Chato kumbe, tunaponda tu! Makusanyo ya zaidi ya bilioni 40 si mji mchache!

    Hiyo ni kwa 2021/2022, nafikiri ni fedha nyingi sana kwa halmashauri inayoendelea. Wengi nafikiri hatukulifikiria hili. Source: Star Tv (habari saa 2)
  3. JamiiForums Tanzania Vodacom sasa hii imezidi, tunaomba msitishe huu ujumbe wenu ambao unachukua zaidi ya sekunde kumi kuhusu uhakiki wa namba

    Wanajukwaa jumapili njema, Hivi hii kitu vodacoma wameleta wakati mtu unapiga simu kwenda voda mnaionaje? Wameshindwa kutuma ujumbe mmoja kwa kila mteja waache kutupigia kelele kila tunapotaka kupiga simu? Inafikia kiwango mpaka sasa mtu unaona tabu kupiga simu. Muda mwingine unapiga unaweka...
  4. JamiiForums Tanzania Watu zaidi ya 15 wafariki kwa ugonjwa usiofahamika, Chunya

    Wananchi wa kata ya Ifumbo wilayani Chunya wameripotiwa kuugua ugonjwa usiofamika ambao mtu akiugua anatapika damu mpaka anapoteza maisha, na mpaka sasa tayari watu zaidi ya 15 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 50 wanaendelea kuugua, hali ambayo imesababisha halmashauri hiyo kuomba msaada wa...
  5. JamiiForums Tanzania China: Watu 80 mbaroni kwa kutengeneza chanjo feki ya COVID -19

    Watu 80 wanashikiliwa na polisi nchini China kwa kutengeneza dawa inayofanana na chanjo ya COVID19 ambayo ni maji yenye chumvichumvi tu. Hadi sasa katika jimbo la Jiangsu na Shandong chanjo feki zaidi ya 3,000 zimekatwa. Polisi hawajaweza kusema ni chanjo kiasi gani zimeuzwa. Sinopharm ni...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali kuja na Vitambulisho vipya kwa Machinga vitakavyodumu zaidi ya mwaka

    Waziri mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali ipo katika mchakato wa kutoa vitambulisho vipya vya wafanyabiashara wadogo. Mtendaji mkuu huyo wa shughuli za Serikali ameagiza machinga kutosumbuliwa katika biashara zao huku akiwataka wajasiriamali hao kutotumika na wafanyabiashara...
  7. JamiiForums Tanzania RITA yatoa talaka zaidi ya 200 kwa Mkoa wa Dar es Salaam kuanzia Januari hadi Desemba 2020

    Wakala wa Usajili, Ufilisi, na Udhamini (RITA) umetoa vyeti vya talaka 221 katika Mkoa wa Dar es Salaam baada ya wanandoa kuamua kuachana. Akizungumza katika maonesho ya Wiki ya Sheria yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, Wakili Mwandamizi wa Serikali wa RITA, Edna...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Vipi mnahamasisha wengine kulipa kodi ikiwa ninyi hamlipi kodi? Mtajua vipi kodi zilizopo ni kandamizi ilihali ninyi haziwahusu?

    Mabibi na mabwana tunapo tapatapa na pumzi kuweza kupumua, kumejitokeza mielekeo chanya sana katika kuwasaidia TRA kubaini vyanzo zaidi vya mapato yasiyokuwa na utata wowote. Ni vizuri kila aitwaye mtu na hasa aliye mzalendo wa kweli akalipa kodi kwa kila aina ya pato alipatalo. Huo ndiyo ulio...
  9. JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka sasa Mifugo itozwe kodi. Msukuma au Mmasai anamiliki zaidi ya ng’ombe 1,000 na hachangii chochote! It is not fair

    Hivi karibuni kumeibuka manung'uniko makubwa ya uonevu kwa wafanyabiashara kuhusu tozo kubwa za kodi. Mishale na lawama wamekuwa wakitupiwa ndugu zetu wa TRA. Lakini, ukichunguza kwa umakini utagundua tatizo la msingi haliko kwao. Tatizo ni ubunifu usiotosheleza wa nchi yetu katika kubainisha...
  10. JamiiForums Tanzania TANZIA Larry King, Mtangazaji nguli kwa zaidi ya miaka 50 afariki dunia

    Nguli wa habari Larry King kwa habari zilizopo ameshikwa na umauti akiwa na umri wa miaka 87. Kwa taarifa zilizopo ikidaiwa covid -19 alipokuwa akipatiwa matibabu Los Angeles. Anakumbukwa kwa umahiri wake wa kuhoji na kufanya vipindi na watu wakubwa, matijiri, viongozi na n.k King died at...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania bado nchi masikini sana, 90% ya magari yanayotimika Tanzania yana umri zaidi ya miaka 10

    Nashukuru mwaka jana baada ya uchaguzi waziri Mpango alikiri kua umasikini Tanzania ndio nyumbani kwao. Ukitaka kujua kama raia wa Tqnzania ni mafukara angalia, magari zaidi ya 90% yanayotembea Tanzania ukiachia magari ya serikali yana umri zaidi ya miaka 10. Maana yake ni kua watanzania bado...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini kuna wabunge wapo kwenye kamati zaidi ya moja?

    KWANINI WABUNGE WENGINE WAPO KWENYE KAMATI ZAIDI YA MOJA? Na Elius Ndabila 0768239284 Sawa! Swali lako ni la msingi. Labda kwa faida ya wengine nianze kwa kusema hivi:- Utaratibu unaongoza kupata kamati hizi za Bunge ni kwa mjibu wa Kanuni za kudumu za Bunge. Kifungu cha 135 cha kanuni za...
  13. JamiiForums Tanzania Ni nini kinafanya Kenya (KRA) kukusanya mapato zaidi ya Tanzania (TRA)?

    Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza "Ni nini kinafanya Kenya kukusanya mapato zaidi ya Tanzania?" Kwa muda nimekuwa mfuatiliaji wa Budget wa nchi za Jumuiya ya AFRIKA MASHARIKI. Katika ufuatiliaji huo nimekutana na maswali ambayo nimekuwa siyapatii majibu. Kwa kutumia nchi mbili KENYA na...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Pamoja na ufaulu kidato cha Nne kuongezeka zaidi ya nusu wamepata div 4

    Wakati matokeo ya kidato cha nne yaliyotangazwa Januari 15 mwaka huu yakionyesha ufaulu kupanda kwa asilimia 5.19, zaidi ya nusu ya waliofanya mtihani huo wamepata daraja la nne. Kulingana na takwimu na Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) watahiniwa 221,049 sawa na asilimia 50.74 wamepata...
  15. JamiiForums Tanzania Unakaaje hapa duniani zaidi ya miaka 80 huna hata nyumba ya kwaachai watoto,serikali iingilie kati

    Habari wakuu Mimi binafsi linanikela sana hili swala ,mwanaume unazaa watoto zaidi ya watano ,nyumba huna,biashara huna,kazi huna ,kilimo cha mkono huku ukijipa moyo huenda mtoto atakuwa jakaya,au Mandela ,au Obama,ujinga mtupu Kuwalisha tuu ni shida achana na mavazi ,huduma za mhimu tu ni...
  16. JamiiForums Tanzania Zaidi ya watu milioni 2 wafa kwa COVID-19

    Zaidi ya watu milioni mbili duniani wamekufa kwa ugonjwa wa COVID-19. Takwimu hizo ni kulingana na Chuo Kikuu cha Johns Hopkins. Vifo hivyo vimetokea wakati ambapo chanjo zinaendelewa kutolewa duniani ikiwa ni kampeni ya kuumaliza ugonjwa huo Huku takwimu hizo zikiwa zimetolewa na mashirika ya...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Kodi za Tanzania ni za ajabu sana, inawezekanaje gari ya miaka 20 iuzwe kwa zaidi ya Milioni 20?

    Sijui ni sababu ya kodi ama umasikini lakini gharama za maisha Tanzania zinasikitisha sana. Hii nchi kweli bado masikini na kuja kutoka hapa sio leo. Leo ukiagiza gari ya mwaka 2001, gari ambayo nchi karibu zote Duniani zimeiondoa barabarani kwa sababu ya kimazingira na kiafya isipokua...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kama Ilani ya CCM 2015/2020 ilitekelezwa kwa zaidi ya 95 mbona Mawaziri wanatumbua tumbua watendaji kila kona?

    Najiuliza tu kwa kuwa wakati wa kampeni tuliambiwa katika maeneo mengi ilani ya CCM imetekelezwa kwa 100% na maeneo machache kwa zaidi ya 95% inakuwaje tumbua tumbua iendelee kwa kasi kubwa? Kwa mfano Naibu waziri wa maji, Naibu waziri wa afya, Naibu waziri wa TAMISEMI, waziri mwenyewe wa...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa kujaribu kuitingisha misingi ya demokrasia nchini Marekani iliyodumu kwa miaka zaidi ya 300, Trump aliamsha dude!

    Rais Donald Trump wa Marekani amenajisi misingi imara ya demokrasia nchini humu kwa dhana potofu kwamba labda yuko juu ya sheria. Kwa kitendo cha wafuasi wake kuvamia bunge la nchi hiyo kwa nia ya kusimamisha shughuli halali za bunge hilo kama alivyowaamuru, amevuka mstari usiovukwa. Dunia ina...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Bilionea wa China, Jack Ma adaiwa kutojulikani alipo kwa zaidi ya miezi miwili tangu alipoikosoa Serikali na Chama Tawala

    Uvumi umezagaa kuhusu wapi alipo bilionea wa China, Jack Ma kutokana na kutojitokeza kwake hadharani kwa muda wa miezi miwili. Jack Ma ambaye ni mwanzilishi wa kampuni ya Alibaba hajaonekana katika sehemu ya mwisho ya kipindi chake alichokianzisha cha ‘Africa’s Business Heroes,’ kinachowapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…