Zaidiyyah, Zaidism, or Zaidi Shiasm (Arabic: الزيدية az-zaydiyya, adjective form Zaidi or Zaydi (occasionally known as Fiver Shias) is one of the Shia sects closest in terms of theology to the Ibadi and Mutazila schools. Zaidiyyah emerged in the eighth century from Shi'a Islam. Zaidis are named after Zayd ibn ʻAlī, the grandson of Husayn ibn ʻAlī and the son of the fourth Imam Ali ibn 'Husain. Followers of the Zaydi Islamic jurisprudence are called Zaydi Shia and make up about 50% of Muslims in Yemen, with the greatest majority of Shia Muslims in that country being of the Zaydi school of thought.
Katibu wa uenezi wa CCM mh Polepole katika kusheherekea siku ya wanawake duniani amesema wanawake wana akili kuliko wanaume tena wana uwezo kuliko wanaume.
Polepole amesema kwa mujibu wa Biblia ya kiyunani mwanamke hakuumbwa kama msaidizi wa mwanamme bali aliumbwa ili kumsaidia mwanamme na mara...
Shalom,
Baada ya kuwa Ulaya kwa miaka zaidi ya minne, hatimaye mwezi wa tisa mwaka 2020 niliamua kurejea nyumbani ili kumjulia hali baba yangu mzazi pamoja na ndugu zangu.
Kwa kawaida mimi napenda sana kutembea, zaidi napenda kufurahia na kujifunza namna miji duniani kote ilivyojengwa. Hivyo...
Tunajua Tanzania yako Madhehebu mengi ya Kiimani ila tusidanganyane wala tusizunguke kusema ukweli kwamba tokea Uhuru wa nchi hii hadi sasa Kanisa Katoliki lina nguvu ya 75% ndani ya Watanzania wengi na hata katika Kuamua Tawala (za Kisiasa) katika nchi hii. Wenye Akili najua kwa hili mtakuwa...
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema kununua ndege siyo kipaumbele sahihi kwa maendeleo ya nchi yetu ukilinganisha na Elimu, Afya na Miundombinu.
Mbowe amesema uwekezaji kwenye ATCL unahitaji mtaji mkubwa, utaalamu uliotukuka kwa watu wetu na mbinu za kisasa kuhimili ushindani wa soko...
Bila ubishi wakuu mwonekano wa hii dizaini ya hiki kiramani cha nyumba ni zaidi ya hatari.
So pretty, so beautiful, so gorgeous, so cute.
Angalia mwenyewe, mkuu.
Karate ni mchezo mtamu sana, na hautumii nguvu nyingi sana kama ndondi.
Ndondi haiwezi kukupa uhakika wa zaidi ya 50% katika suala zima la self defense.
Karate inakufundisha kila kitu even magic kama utabahatika kufikia level ya kuanzia mkanda wa blue.
Sema tu Bongo karate hailipi sana...
Sikuwahi kuwa Shabiki kindaki ndaki korean DRAMAS , Aidha ipambwe na ihit sana mtandaoni hapo ningejisogeza nipate kuangalia
Kutokuwa shabiki wa movie hizo haimaanishi hawajui hawa jamaa kwenye movie zao wako makini mno
Movie zao ni kali shout out kwa "Waongozaji wao"
Kwakweli movie zao ni...
Habari zenu wadau wapenda movies hasa zile za kutisha.
Hivi juzi Kati hapa nilicheki movie inayoitwa 'the conjuring', nilicheki sehemu ya Kwanza na ya pili.
Hii ni baada ya kupata habari zake humu JF kwamba inatisha Sana na kilichonivutia zaidi kutaka kuzicheki hizi movies Ni kwasababu they...
Wale mliozaa na kusomesha mpaka watoto wamepata kazi na kuoa /olewa.
Sasa baba akapata uhamisho wa kikazi akahama mkoa, mke akamwachia nyumba na mtoto mmoja labda ila wengine wameshaoa.
Kwa bahati mbaya baba kazi zake ni nyingi kiasi anashindwa kurudi weekend nyumbani, miaka imekata zaidi ya...
Mkandarasi anayejenga stendi kubwa ya mabasi ya kimataifa ya Ngangamfumini, Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro yenye thamani ya bilioni 28, ametoa wiki moja kwa serikali imlipe fedha zake ambazo ni zaidi ya bilioni 1 anazodai kabla hajasimama kuendelea na ujenzi wa stendi hiyo.
Charles...
Mada hapo juu yaeleweka.
Serikali ya awamu hii imeibua mradi mwingine wa Matrilioni wa ujenzi wa secondary mpya zaidi ya 1056. Katika shule hizi 26 zitakuwa za bweni huku kila mkoa Tanzania bara ikipata shule moja ktk hizo 26. Hapo naipongeza serikali kwa hilo la shule 26.
Shule nyingne zaidi...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameahirisha vikao vya Bunge hadi Machi 30, 2021, na kusema kuwa serikali ipo kwenye utekelezaji wa kujenga shule mpya 1026, kwa kutumia mkopo wa Benki ya Dunia ili kusaidia elimu ya Tanzania na kupunguza uhaba wa shule na madarasa nchini.
Waziri Mkuu Majaliwa...
WASAALAM
Fatemeh Khishvand, anayejulikana na jina lake la Instagram Sahar Tabar ni mwanada wa Irani ambaye alijizolea umaarufu mnamo 2017 kwa upasuaji na mapambo , kwenye picha zake zilizoenea mtandaoni ili tu afanane na mwigizaji nguli wa hollywood ANGELINA JOLIE
Ilisemekana kwamba alikuwa...
Jana kulikuwa na mechi kubwa hapa kwetu Simba na Azam! Matokeo tuliyaona na mpira ulikuwa mzuri. Cha kushangaza na sio Afya kwa mpira wetu ni uwepo waa Lundo la wageni. Zaidi ya asilimia 50 waliocheza jana ni wageni! ni kweli Ligi yetu sio ya ridhaa na mpira ni biashara ...Ila hii biashara Ina...
Wanajukwaa jumapili njema,
Hivi hii kitu vodacoma wameleta wakati mtu unapiga simu kwenda voda mnaionaje? Wameshindwa kutuma ujumbe mmoja kwa kila mteja waache kutupigia kelele kila tunapotaka kupiga simu?
Inafikia kiwango mpaka sasa mtu unaona tabu kupiga simu. Muda mwingine unapiga unaweka...
Wananchi wa kata ya Ifumbo wilayani Chunya wameripotiwa kuugua ugonjwa usiofamika ambao mtu akiugua anatapika damu mpaka anapoteza maisha, na mpaka sasa tayari watu zaidi ya 15 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 50 wanaendelea kuugua, hali ambayo imesababisha halmashauri hiyo kuomba msaada wa...
Watu 80 wanashikiliwa na polisi nchini China kwa kutengeneza dawa inayofanana na chanjo ya COVID19 ambayo ni maji yenye chumvichumvi tu.
Hadi sasa katika jimbo la Jiangsu na Shandong chanjo feki zaidi ya 3,000 zimekatwa. Polisi hawajaweza kusema ni chanjo kiasi gani zimeuzwa.
Sinopharm ni...
Waziri mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali ipo katika mchakato wa kutoa vitambulisho vipya vya wafanyabiashara wadogo.
Mtendaji mkuu huyo wa shughuli za Serikali ameagiza machinga kutosumbuliwa katika biashara zao huku akiwataka wajasiriamali hao kutotumika na wafanyabiashara...
Wakala wa Usajili, Ufilisi, na Udhamini (RITA) umetoa vyeti vya talaka 221 katika Mkoa wa Dar es Salaam baada ya wanandoa kuamua kuachana.
Akizungumza katika maonesho ya Wiki ya Sheria yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, Wakili Mwandamizi wa Serikali wa RITA, Edna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.