Market maker
Member
- Jun 6, 2026
- 18
- 43
Mtu ukiwa unauwezo wa kujenga nyumba ya zaidi ya million 200.
Basi jitahidi kuwawapa kazi kampuni mzuri ya ujenzi.
Pia Kuleta interior and external designer ili nyumba iwe na mvuto.
Sio nyumba inakuwa ya gharama afu Iko ovyo. Haipendezi.