Tunauza ng'ombe bora wa maziwa rungwe

Tunauza ng'ombe bora wa maziwa rungwe

munroe

Senior Member
Joined
Apr 3, 2019
Posts
115
Reaction score
105
Tunauza ng'ombe wa maziwa rungwe mbeya
Tunao ng'ombe aina mbalimbali wenye uwezo wakutoa lita 30 kutwa

Kuna pure breed za Aryshire, Friesian, jersey, red bull etc.
Namba zetu :0756416149
:0717847599

Attachments

  • VID_20260516_121922.mp4
    26.5 MB
  • VID-20260510-WA0000.mp4
    8.4 MB
Tunao ng'ombe wazuri wa maziwa wanaoweza kifika hadi lita 30 kwa siku
Wapo
Ndama
Nusu mitamba
Mitamba tupu
Mitamba yenye mimba
Waliozaa wanauzwa na vindama vyao vyenye umri wa chini ya miezi mitatu
Wenye maziwa
Wenye mimba na maziwa
Mimba kubwa
Karibu bei ni kawaida tupo rungwe mbeya
Tupigie 0756416149
Tutafute Whatsapp kwa picha na maelezo zaidi
 
Attachments

  • VID-20260701-WA0001.mp4
    18.5 MB
  • VID-20260510-WA0000.mp4
    8.4 MB
  • VID-20260131-WA0002.mp4
    2.4 MB
  • VID-20260126-WA0002.mp4
    16.5 MB
Sasa mkuu weka bei
Mkuu nakuelewa nimetaja ng'ombe wa aina na umri tofauti kwa ujumla ng'ombe wa maziwa wanaanzia 600k kwa ndama wa miezi minne kuendelea hadi 3.5m wamaziwa wanauzwa na ndama wao tafadhari huu sio utapeli hahitaji utume hela tunataka ujeshamabani tushauriane mambo mambo mbalimbali ya ufugaji Asante.
 
Mimi kama hizi ndo hobby yangu hizi kazi nyengine tunafanya tu
 
Mkuu nakuelewa nimetaja ng'ombe wa aina na umri tofauti kwa ujumla ng'ombe wa maziwa wanaanzia 600k kwa ndama wa miezi minne kuendelea hadi 3.5m wamaziwa wanauzwa na ndama wao tafadhari huu sio utapeli hahitaji utume hela tunataka ujeshamabani tushauriane mambo mambo mbalimbali ya ufugaji Asante.
Safi sana. Kama ni hela mteja anatolea shambani baada ya kusaminisha mali.
 
Back
Top Bottom